Usijidanganye ukadhani unaongea na mtu mwepesi namna ya kunitaka niamini kuwa nilikosea kwa jinsi nilivyokufikiria mwanzo. Baraza la walei ndio linatumika kuhoji uhalali wa mambo ndani ya kanisa letu ikiwa ni pamoja na kuwadiscipline viongozi wabovu katika vikao. Sasa hebu tuyarejee maneno ya Mwenyekiti wa Baraza la Walei la Parokia
Sasa unaweza kunieleza huu ni utaratibu wa parokia yenu au wa wapi? Acha maneno ya kuungaunga. Tena jisikie mwenye mkosi kwa kujikosanisha na Mungu mapema namna hii mwaka ukiwa haujamaliza 24hrs. Kama wewe ni mkatoliki basi lazima ukiri imani yako kwa kanisa na sio kuleta majungu. Pale dhahiri ulimaanisha kulihusisha gari analotembelea Askofu na fedha za madawa, na ni kwa kuwa hujui linapatikanaje. Kama kanisa limefikia kuwa na wenyeviti wa mabaraza wa namna yako na kauli zako, basi Mungu atusimamie kwani tuanelekea kubaya.
Mimi sio mkatoliki namba one. Ila katika hali ya kuheshimu kanisa, sipo radhi kuona likichafuliwa na maneno yasiyo na ushahidi. Ni wajibu wa serikali kumkamata Askofu na kumfungulia mashtaka ili kanisa letu libakie kuwa safi. Otherwise ni uzushi na unashusha heshima ya aliyeutamka. Hatuhitaji serikali domokaya wala askofu muuza madawa.
Na bado nitaendelea kusema; Lowassa ameomba kushitakiwa kwa makosa yake anayoshutumiwa kwayo, mbona hashitakiwi? Tutumie akili zetu kama tunazo, kama hatuna tuendelee kujiita wenyeviti wa mabaraza bila aibu kwa kuwa hatujuani, ila Mungu anatujua.