mnafiki huyu yana zaidi ya kutumiwa, tunamjua na sio sisi tunaomfichua ni mungu mwenyewe, kanisa lake ni urojo analishwa anavishwa wenzie wanajenga kwa misuli wanajilisha wenyewe, wote tunajua anachokifanya sasa tumekukataa wewe na CCM wao, wakatoliki pamoja na upole, na kuonekana wamezubaa hawajali kinachoendelea around them, wamechomoka, nchi kwanza maana hata mungu hakuumba dini kabla ya ulimwengu, alitupa nchi nzuri Tanzania, tunasubiri kusilimu kwako tu ndio kilichobaki maana katiba haitakushibisha, sitashangaa nisipokuomba mibinguni maana kilemba chako na wewe mtakua mapahali unapostahihi, sikuhumumu lakini kwa hili moja tulichoona ntashangaa ukikosekana kwa unayemtumikia kwa nguvu huku maluweluwe tu