Kwa ujumla Pengo yupo sahihi kwani hata kutoa maon wananch hawakushawishiwa na mtu kwa kulinda uhuru wao,sasa iwaje leo uwalazimishe kutoa uamuzi? Acheni ushabik rudini ktk hstoria ya mwanzo wa katba.Salaam, Leo katika magazeti nimesikia Pengo akisema yeye hatumiki na CCM katika maswala ya katiba. Askofu Pengo anasema kama yeye anatumika na CCM Je! Wanaompinga wanatumika na UKAWA? Swali langu najiuliza hivi je kwenye vikao vya TEC yeye Pengo na wenzie walikubaliana nini? Na je ni nani mmiliki wa katiba kati ya CCM, serikali, UKAWA au wananchi na kama wamiliki ni wananchi yeye Pengo anavyoona wananchi wamesikilizwa na kama wamesikilizwa matakwa yao yametekelezwa? Kwa ujumla askofu Pengo amechemka kuanza kuwahusisha wenzie na UKAWA. Nawasilisha
Bora asingejibu hizo tuhuma kuliko kujiaibisha
Muadham kadinali Pengo kwanza nakupa pole kwa watu wanaokutuhumu wewe ndio mtu wa dini kwelikweli achana na hao waganga wa kienyeji mm nimesoma shule za roma zinamaadili mazuri sana nimefundishwa adabu nidhamu na kila kitu
Salaam,
Leo katika magazeti nimesikia Pengo akisema yeye hatumiki na CCM katika maswala ya katiba. Askofu Pengo anasema kama yeye anatumika na CCM Je! Wanaompinga wanatumika na UKAWA? Swali langu najiuliza hivi je kwenye vikao vya TEC yeye Pengo na wenzie walikubaliana nini? Na je ni nani mmiliki wa katiba kati ya CCM, serikali, UKAWA au wananchi na kama wamiliki ni wananchi yeye Pengo anavyoona wananchi wamesikilizwa na kama wamesikilizwa matakwa yao yametekelezwa? Kwa ujumla askofu Pengo amechemka kuanza kuwahusisha wenzie na UKAWA.
Nawasilisha
Huyu mzee ni mnafiki
Aseme anamtumikia nani Kanisa au serekali ingawa saa nyingine huwezi kutenganisha kutokana na hulka za kibinadam ila yeye angeeachana na siasa akachapa injili
Kama hatumiki na CCM basi yeye ndiye ana yeitumikia CCM.