hatumwi name ccm? basi anajikomba ccm. roho ya mnafiki haifichiki.
Pengo amevuruga Wakatoliki na wakristo wote kiujumla! Hadi sasa bado wanajiuliza pindi ukifika muda wa kupigia kura katiba pendekezwa wapigie kura ya ndiyo au hapana?
Amejifedhehesha mno! Hafai - By Gwajima.
naona upuuzi tu hapa. kwaherini.
Amejifedhehesha mno! Hafai - By Gwajima.
Kwa ujumla Pengo yupo sahihi kwani hata kutoa maon wananch hawakushawishiwa na mtu kwa kulinda uhuru wao,sasa iwaje leo uwalazimishe kutoa uamuzi? Acheni ushabik rudini ktk hstoria ya mwanzo wa katba.
​tumuache kardinali afanye kazi yake ya uchungaji mana mambo ya siasa anashikwa tu na ashki majinuni muda mwingine ndo mana anaingilia
Hamna kitu hapo ni GAS tu Roma hakuna maadili historia inasema