kalikawe1982
Member
- Mar 16, 2015
- 39
- 13
Its obvious Pengo anatumiwa na watawala kuvuruga maoni ya wananchi. Yeye kama mjumbe wa jukwaa la wakatoliki na jukwaa la wakristu kwa ujumla lazima awajibike kwa tamko la jukwaa ambalo hata yeye binafsi ali sign (collective responsibility). kwa kweli mimi kama mkatoliki naona swala hili limeshusha sana hadhi ta cardinal Pengo mbele ya waumini wake na watanzania kwa ujumla.
Collective Responsibility is not always collective agreement....
Mfumo wa chama kimoja...
Mchakato wa katiba...
Kung'atuka kwa mwalimu
Mchakato wa Bima ya afya-USA
Fanya reference kisha njoo na collective responsibility yako ambayo huwa haipo isipokuwa kwenye vitabu.