Pengo: Nimesamehe

Pengo: Nimesamehe

Pengo kamsamehe mlopokaji Gwajima!? Sasa presha itabakia ktk mali amezipata wapi wakati yy ni mtumish wa kanisa kama anavyojinasibu wakati wajanja wanajua yeye mfuasi wa dini ya shetani.

Serikali ilikuwa wapi ku hoji mali za Gwajima siku zote hizi if at all they had a point juu ya mali zake ? Je wangapi wana mali za kutisha na ni watumishi wanaishi kwa kodi zetu na hawajaulizwa juu ya mali zao ?
Mimi sidhani kama I need to trust Pengo tena . Keshanipoteza . I long time refused Kilaini na Niwemugize now Pengo . Mbinguni hatuendi kwa kuwa wakatoliki guys . Ni matendo yetu .
 
askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam mwadhama pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima na wote walioguswa .
ameyesema hayo wakati wa ibada ya Leo jumapili katika kanisa la st joseph
amesema "naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama

Mytake:niishauri serikali kuachana na gwajima madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake maana yake Mungu ameupokea msahama
source Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa

Ama kweli! Yani umetoka kanisani spidi ili uje upindishe mambo? Cardinal hakumtaja Gwajima
 
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?

Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.

kwani wewe unafikiri mkuu wa kanisa katoliki ni pengo! basi wewe ndo unauelewa mdogo
 
Atakuwa hajala maharage leo!Akila tu anaanza!
 
Kauli yake ya kisaliti ndiyo mwanza wa mengine.
Mbona yeye hajaomba msamaha kwa kauli yake ambaye imehatarisha uthabiti wa TEC na kanisa kwa ujumla na pia kudharirisha wenzake.
 
Nani kamsababishia mwenzake matatizo? Salary slip, sikujui, lakini huwa naona post Zako za mtu msomi! Sasa hii statement yako inanipa mashaka makubwa sana. Nani kamsababishia mwenzake matatizo, nifafanulie
Huko polisi alienda kufanya nini?

Hata kama hakwenda polisi kushitaki,lakini si bado angeweza kuwataka polisi wamfutie mashitaka hayo?Sasa amekaa kimya anasubiri atangaze msamaha siku ya ibada mbele ya waumini ili iweje?

Kwa kiongozi wa kiroho mwenye kujua maama ya kusamehe tofauti na mtu wa kawaida, asingefikisha jambo hili polisi au baada ya kuona Gwajima anapelekwa polisi basi angewataka polisi kumfutia mashitaka yake yote na si kusubiri kutangaza msamaha siku ya ibada.

Isitoshe,alipaswa kuwa amenda kumuona hospitali aliko lazwa.

Ndugu yangu,siku hizi hatuna viongozi wa kiroho bali tuna viongozi wasanii tu kama hawa wa kisiasa.
 
kwanza katiba zenyewe wanatoa kwa majina tuiombe serikali iteue stationary mikoani wazitoe kopi tuwe tunanunua kama vipi
 
sawa amemsamehe gwajima atashitakiwa kwa mujibu wa sheria ya jamhuri ya tanzania kutoa matusi hadharani
 
Huko polisi alienda kufanya nini?

Hata kama hakwenda polisi kushitaki,lakini si bado angeweza kuwataka polisi wamfutie mashitaka hayo?Sasa amekaa kimya anasubiri atangaze msamaha siku ya ibada mbele ya waumini ili iweje?

Kwa kiongozi wa kiroho mwenye kujua maama ya kusamehe tofauti na mtu wa kawaida asingefikisha jambo hili polisi au baada ya kuona Gwajima anapelekwa polisi basi angewataka polisi kumfutia mashitaka na si kusubiri kutangaza msamaha siku ya ibada.

Isitoshe,alipaswa kuwa amenda kumuona hospitali aliko lazwa.

Ndugu yangu,siku hizi hatuna viongozi wa kiroho bali tuna viongozi wasanii tu kama hawa wa kisiasa.

Makosa ya gwajima ni criminal! jamhuri ndiye inayemshitaki, Pengo ni shahidi, hana mamlaka ya kuiambia polisi waache utaratibu wao wa kushughulikia makosa ya jinai! Kama una rafiki mwanasheria muulize. Sheria ya jinai iko hivyo.
Pengo lililo katika uwezo wake ni civil tort against Gwajima! hilo anaweza akaiambia mahakama kuwa amesamehe, not criminal! Jamhuri ikiamua hata ukasema nimemsamehe wao wana mamlaka ya kisheria kuendelea na kesi!
 
Pengo ndio kayasababisha haya yote ,aende Hospital akamjulie hali Askofu mwenzake
 
Sio kusamehe tu na YEYE ameomba msamaha wakristu kwa kutusaliti??..Yeye ni msaliti,Awaombe msamaha maaskofu wenzie kwa usaliti huu mkubwa na kufanya kazi isiyo yake

Hii nimeipenda sana. Nakupongeza sana.
 
Pengo ni mnafiki anaungana na polisi wanataka wamwue Gwajima kisa elekopta,wakati elekopta ni usafiri Wa kawaida, mbona polisi wanashindwa kuoji hela anazogawa Lowasa kwa wenye mtindio Wa ubongo kumshawishi agombee urais

Na ukiombwa ushahidi wa tuhuma zako uwe nao!.
 
Makosa ya gwajima ni criminal! jamhuri ndiye inayemshitaki, Pengo ni shahidi, hana mamlaka ya kuiambia polisi waache utaratibu wao wa kushughulikia makosa ya jinai! Kama una rafiki mwanasheria muulize. Sheria ya jinai iko hivyo.
Pengo lililo katika uwezo wake ni civil tort against Gwajima! hilo anaweza akaiambia mahakama kuwa amesamehe, not criminal! Jamhuri ikiamua hata ukasema nimemsamehe wao wana mamlaka ya kisheria kuendelea na kesi!
Anyway,inawezekana ingawa nina mashaka.
 
na mimi nimemsamehe Kadinali Pengo kwa kuwakana Maaskofu wa Kanisa la Mungu na nitapiga kura ya HAPANA kama nilivoelekezwa na Maaakofu wa Kanisa la Mungu
 
Mimi Mkatoliki na mseminary lakini namwelewa zaidi Gwajima kuliko Pengo . Pengo alitakiwa kuomba Wakatoliki wa Tanzania msamaha kwa ushirika wake na CCM kabla ya kusema amesamehe Gwajima .

Safi sana mseminary, uko na busara, nimeipenda.
Ubarikiwe.
 
askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam mwadhama pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima na wote walioguswa .
ameyesema hayo wakati wa ibada ya Leo jumapili katika kanisa la st joseph
amesema "naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama

Mytake:niishauri serikali kuachana na gwajima madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake maana yake Mungu ameupokea msahama
source Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa

Pengo ni mnafiki sana. na yeye asamehewe pia kwa kuwakwaza watanzania. mtu ukiwa mfuasi wa CCM, lazima uwe na mnafiki na mpenda fedha kama alivyo askofu pengo.
 
Back
Top Bottom