Pengo: Nimesamehe

Pengo: Nimesamehe

Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?

Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.

Wewe unafikiri kiongozi wa kanisa Katoliki Tanzania ni nani? Hapa hauko pekee yako. Watu wengi wanaamini Kadinali Pengo ndiyo mkuu wa Katoliki Tanzania. Je, nchi inapokuwa na nakadinali zaidi ya mmoja inakuwaje? kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania ni Raisi wa TEC na mtendaji wake ni Katibu mkuu wake. Kadinali ni daraja la juu ktk madaraja ya utumishi ndani ya Katoliki, na kiongozi wa Katoliki ktk nchi aweza kuwa Askofu au Kadinali na Papa ni lazima awe Kadinali
 
Serikali ilikuwa wapi ku hoji mali za Gwajima siku zote hizi if at all they had a point juu ya mali zake ? Je wangapi wana mali za kutisha na ni watumishi wanaishi kwa kodi zetu na hawajaulizwa juu ya mali zao ?
Mimi sidhani kama I need to trust Pengo tena . Keshanipoteza . I long time refused Kilaini na Niwemugize now Pengo . Mbinguni hatuendi kwa kuwa wakatoliki guys . Ni matendo yetu .

Mkuu unayoongea ni sawa kabisa,huyu Pengo alishaanza kuwa na ndimi mbili muda mrefu sana lakini hili la juzi amefikia kikomo. Na nishaamua sitahudhuria Misa yoyote itakayoongozwa na Pengo.
 
Sio kusamehe tu na YEYE ameomba msamaha wakristu kwa kutusaliti??..Yeye ni msaliti,Awaombe msamaha maaskofu wenzie kwa usaliti huu mkubwa na kufanya kazi isiyo yake

Pengo nimemdharau sana. kuomba kwake msamaha hakuwezi kusaidia kutibu tatizo la presha alilomsababishia mtumishi wa Mungu, Gwajima. yeye aendelee tu kuitumikia serikali ya CCM halafu mwisho wa siku atavuna alichopanda.
 
Pengo ndio kiongozi wa kanisa Katoliki Tanzania

Kama hufahamu vitu omba ufahamishwe,Pengo/KADINALI sio Mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania/POPOTE pale sababu kuna Nchi ambazo hazina Kadinali au zina Mkadinali zaidi ya wawili. Mwenye mamlaka/ukuu wa Kanisa Katoliki ni Raisi wa Baraza la Maaskofu Katoliki(TEC) ambapo Pengo ni mjumbe wake.
 
Hata mimi msamaha wake unanihusu maana nilimchukia baada ya kuwapinga Maaskofu wenzake na kuonyesha uelekeo wa kumtumikia Kaisari kwa kuipigia Chapuo Mahakama ya Kadhi.

Pengo aliongelea Katiba utata wa kuwaamrisha waumini kupiga kura ya HAPANA katika Katiba pendekezwa na sio issue ya mahakama ya kadhi kama unavyopotosha mkuu...
 
Gwajima or whatever he calls himself ni kumdharau na kumpuuza. Amepatwa na dengue baada ya kuambiwa aeleze chanzo cha utajiri wake. Kuna kitu zaidi ya sadaka.

chanzo cha utajiri wake kinahusianaje na shtaka linalomkabili? ni unungayembe kumtaka mtu aelezee utajiri wake wakati anashtakiwa kosa la jinai. kwani ana kesi ya ufisadi? kwanza mnapaswa kumuuliza askofu kilaini chanzo cha utajiri wake.
 
Akili ya Gwajima iko kwenye kutongozea tu wake za watu
 
chanzo cha utajiri wake kinahusianaje na shtaka linalomkabili? ni unungayembe kumtaka mtu aelezee utajiri wake wakati anashtakiwa kosa la jinai. kwani ana kesi ya ufisadi? kwanza mnapaswa kumuuliza askofu kilaini chanzo cha utajiri wake.

Kasuka ni kasuku tu. Unasema uliyokariri. Ndio maana kukomesha rushwa, ufisadi na sembe ni kazi kubwa Tanzania. Haijalishi ni Kilaini au Gwajima, mtu lazima awe na uwezo wa kueleza kapata wapi pesa zake.

Kama hujui sheria hiyo ipo Tanzania na wamarekani wanashangaa kwa nini haitumiki. Mtu anajenga ghorofa from nowhere lazima aeleze mapato yake na kodi ipi kalipa serikalini. Tunahangaika kutafuta mafaili nani kaiba wakati matunda ya wizi au uuzaji wa sembe yapo dhahiri.

Kama amenunua Chopper kwa hela ya sadaka, athibitishe hilo kwa kuonyesha flow ya mapato yake. Kila week anapata kiasi gani na jinsi anavyo deposit bank.

Sheria tajwa inafumbiwa macho maana itawakumba wakubwa. Sasa wewe umekariri ya kukariri. Akija kiongozi akaitumia hiyo sheria wengi watakimbia nchi nakuhakikishia maana hawawezi kueleza mali wamepata wapi. Lakini kila mtu anajua ni ufisadi au sembe.
 
Hat mimi nimemsamahe Gwajima ,Mungu ampe wepesi apone,ila jamani awe anatumia akili kufikisha ujumbe,ana msgs nzuri sana ila maneno anayotumia ni kama ya wavuta bangi na unga,mara nimempa vidonge vyake ndo nini sasa?kwa mtumishi wa Mungu anatakiwa afikishe ujumbe kwa lugha iliyo na staha
 
ISAYA 1:18-19

Haya njooni tusemezane,
asema Bwana.
Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana,
zitakuwa nyeupe kama theluji;
Zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.

Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi.
 
pengo needs to get back to his senses and see who he is trully serving. A man of God can not intefere with politics mostly on matters that direcly affects the lively hood of the souls he leads. the good will of the people will always prevail.
 
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Mkuu wewe ujuavyo mkuu w akanisa ni CArdinali au?
 
askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam mwadhama pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima na wote walioguswa .
ameyesema hayo wakati wa ibada ya Leo jumapili katika kanisa la st joseph
amesema "naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama

Mytake:niishauri serikali kuachana na gwajima madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake maana yake Mungu ameupokea msahama
source Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa

We may look forward to more backfire against CCM-sponsored Pengo proposed constitution campaign mission. Gwajima may have been implementing a special assignment targeting to mudsling Pengo by aggrieved/displeased colleagues within the TEC. Some quarters amongst the Catholics are construing Pengo as traitor, unruly and unreliable deviant citing the latter's disowning of a prior consented common stand position against establishment of the Khadhi’s Courts and a flopped proposed constitution.
As the episode goes on we should expect Pengo crucifix and downfall, which could soon turn him into a Catholic Church unbearable risk/burden.

Let’s keep waiting.
 
Back
Top Bottom