Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Huu ni upumbavu,kamsabishiaje matatizo,hata kama hakubaliani nae lakini si kumtukana mtu,haikubaliki.Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Pengo ni mnafiki anaungana na polisi wanataka wamwue Gwajima kisa elekopta,wakati elekopta ni usafiri Wa kawaida, mbona polisi wanashindwa kuoji hela anazogawa Lowasa kwa wenye mtindio Wa ubongo kumshawishi agombee urais
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.

Askofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam, mwadhama Pengo amesema amemsamehe mchungaji Gwajima na wote walioguswa. Ameyesema hayo wakati wa ibada ya Leo Jumapili katika kanisa la St. Joseph
Chanzo: Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa
yeye hajaomba msamaha kwa kukwaza watu? Au yeye ni mungu anayekosewa tu?
Sio kusamehe tu na YEYE ameomba msamaha wakristu kwa kutusaliti??..Yeye ni msaliti,Awaombe msamaha maaskofu wenzie kwa usaliti huu mkubwa na kufanya kazi isiyo yake
Truth mkuuU are right brother...huyu mzee atuombe msamaha kwa dhati kwa kutumika kutuambia ----- wake....
Halafu aache ku take advantage ya matukio,no wonder akawa anajigamba "si mnaona Gwajima hoi,msicheze na mimi"
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Asante baba askofu ila sisi hasa mimi sitamsamehe mwanaharamu huyu so called Gwajimaaskofu mkuu wa jimbo la dar es salaam mwadhama pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima na wote walioguswa .
ameyesema hayo wakati wa ibada ya Leo jumapili katika kanisa la st joseph
amesema "naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama
Mytake:niishauri serikali kuachana na gwajima madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake maana yake Mungu ameupokea msahama
source Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa
Nani kamsababishia mwenzake matatizo? Salary slip, sikujui, lakini huwa naona post Zako za mtu msomi! Sasa hii statement yako inanipa mashaka makubwa sana. Nani kamsababishia mwenzake matatizo, nifafanulie