- Thread starter
- #201
Acha kumuhusisha Yesu na upuuzi wenu kilaza wewe.
mkuu ukilaza ni upi?
Acha kumuhusisha Yesu na upuuzi wenu kilaza wewe.
mkuu ukilaza ni upi?
Kwa nini mtu anayepinga ccm anahojiwa suala la mali anazomilki lakini anaiba iba na kuunga mkono ccm analindwa???Kasuka ni kasuku tu. Unasema uliyokariri. Ndio maana kukomesha rushwa, ufisadi na sembe ni kazi kubwa Tanzania. Haijalishi ni Kilaini au Gwajima, mtu lazima awe na uwezo wa kueleza kapata wapi pesa zake.
Kama hujui sheria hiyo ipo Tanzania na wamarekani wanashangaa kwa nini haitumiki. Mtu anajenga ghorofa from nowhere lazima aeleze mapato yake na kodi ipi kalipa serikalini. Tunahangaika kutafuta mafaili nani kaiba wakati matunda ya wizi au uuzaji wa sembe yapo dhahiri.
Kama amenunua Chopper kwa hela ya sadaka, athibitishe hilo kwa kuonyesha flow ya mapato yake. Kila week anapata kiasi gani na jinsi anavyo deposit bank.
Sheria tajwa inafumbiwa macho maana itawakumba wakubwa. Sasa wewe umekariri ya kukariri. Akija kiongozi akaitumia hiyo sheria wengi watakimbia nchi nakuhakikishia maana hawawezi kueleza mali wamepata wapi. Lakini kila mtu anajua ni ufisadi au sembe.
Yesu ana mahusiano na papa?
mkuu papa ndiye petro ambaye Yesu alisema wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa na kila utakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa
Cha msingi uwe na ushahidi kweli.Kesho mtasikia Gwajima kapona, Pengo asisahau tu kurudisha silaha zake za maangamizi.
Hii mijitu huwa inakabidhiwa kwa Lucifer kule Vatican (Ataebisha ushahidi nnao, huwa sikisii) na hutembea na mijinni ile mikubwa mikubwa, si mchezo.
Gwajima vijinni vyake bado viduchu havikuweza kupambana na watoto wa Lucifer.
Cheza na Raia wa Vatican? ushetani mtupu kule.
Kesho mtasikia Gwajima kapona, Pengo asisahau tu kurudisha silaha zake za maangamizi.

huyu pengo vip kamsamehe nani.aeleze kama yeye ni muislamu tujue moja manaake anatetea mahakama ya kadhi atueleze gwajima wamempa nini mpaka alazwe wakatoliki hatumsamehi pengo katusaliti
Dhambi ya matusi itamtesa sana Gwajima.
acha kujaribu kuungiza udini wako ukatoliki na majini wap na wap .waislamu ndo hufuga majini
Huu ni upumbavu,kamsabishiaje matatizo,hata kama hakubaliani nae lakini si kumtukana mtu,haikubaliki.
Suala la Gwajima kuhojiwa na vyombo vya usimamizi wa sheria halihusiani na kesi au jalada lolote lililofunguliwa na Askofu Pengo, bali ni utekelezaji wa kusimamia sheria za nchi. Kutukana hadharani ni kosa na unashitakiwa na Jamuhuri, kwa hiyo hata kama Pengo amemsamehe Gwajima hawezi funga jalada lililofunguliwa na Jamuhuri. Tusubiri itakuwaje.