- Thread starter
- #241
Msamaha wa pengo hauna uhusiiano na utendaji wa serikali na majumukumu ya sheria.
Unapo shauri sheria imsamehe muhuni kama huyu gwajima utaifanya sheria iruhusu wajinga wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya viongozi kama kadinari kuendelea kutusi wazee wetu wakijua kuna misamaha wataipata.
Mm sio mkiristo lakini sioni sababu ya gwajima kupata msamaha wa serikali.
Kadinari pengo anahitaji pepo utukufu wa milele anahaki yakusamehe kwakuwa mungu humpenda anae samehe.
Lakini serikali haihitaji pepo wala utukufu wa milele yenyewe inahitaji kusimamia sheria na kuzitekeleleza hiyo ndio sifa ya serikali bila kujali sheria inamkabili nani.
Ni muhim gwajima awe mfano wa wapuuzi wengine wanao tamani kufanya upuuzi kama alio ufanya gwajima.
Nilishangaa sana alipo jitetea akijifananisha na askofu pengo.
Nilijiuliza tokea lini sisimizi anajifananisha na tembo.
Ivi gwajima kapewa nanani uwaskofu mpaka ajifananishe na uaskofu wa pengo?
Lazima serikali isimamie sheria wahuni aina ya gwajima wasisubutu kututukania wazee wetu.
Kama hayana uhusiano kwani wito wa mchungaji gwajima polisi ulikuwa wa nini? si walisema kwa kumtukana pengo sasa mtukanwa amesema amesamehe polisi watamuhoji wa tuhuma zip unless Kama wana kitu nyuma ya pazia