Pengo: Nimesamehe

Pengo: Nimesamehe

Wewe unafikiri kiongozi wa kanisa Katoliki Tanzania ni nani? Hapa hauko pekee yako. Watu wengi wanaamini Kadinali Pengo ndiyo mkuu wa Katoliki Tanzania. Je, nchi inapokuwa na nakadinali zaidi ya mmoja inakuwaje? kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania ni Raisi wa TEC na mtendaji wake ni Katibu mkuu wake. Kadinali ni daraja la juu ktk madaraja ya utumishi ndani ya Katoliki, na kiongozi wa Katoliki ktk nchi aweza kuwa Askofu au Kadinali na Papa ni lazima awe Kadinali

Mkuu, Kadinali ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Maaskofu wanapewa kutokana na idadi ya waumini kwa jimbo. Kuna nchi kama Botswana au Namibia zina Askofu mmoja tu nchi nzima na hazina Kardinali, Kwa hiyo wako chini ya Kadinali wa South Africa. Kwenye nchi zenye zaidi ya kadinali mmoja then kila mmoja ana eneo lake la kuongoza. Kwa sasa Tanzania tunaye mmoja tu ndiyo maana akifa anateuliwa mwingine. Ukadinali hautolewi kama vyeo vya jeshini. Madaraka ya kanisa katoriki siyo ya kupokezana kama unavyofikiria. Hayo ya Rais wa TEC ni utaratibu tu waliojiwekea na siyo lazima unatumika kila mahali duniani.
 
Rais wa TEC ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Na sio Kadinali yeyote. Kuna nchi hazina Makadinali.

Sasa unadhani kwa nini tuna Kadinali mmoja tu Tanzania na kwa nini mwingine huwa anapewa hicho cheo baada ya mwingine kufa?? Unafikiri kwa nini Pengo alipewa hicho cheo baada ya Lugambwa kufa??

Cheo cha Kadinali siyo kama cha Urais kwamba kila nchi lazima iwe naye na wala hakitolewi kwa seniority. Nchi nyingi zisizo na wakatoliki wa kutosha hazina hata Askofu ................!!
 
Askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .

"naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama

Mytake:
ushauri kwa jamhuri madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na gwajima ili kuipa uzito maaana ya msamaha unless kama jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa Mungu.

chanzo mimi mwenyewe
sheria ya Jamhuri haitambui dini! Kumbuka hilo ukifanya kosa unahukumiwa accordingly hakuna kuachiwa Gwajima ajibu mashtaka.
 
Mkuu Wewe ndio hujui Kabisa Katoriki linongozwaje. Hakuna sehemu yoyote kwenye canon Law inayomruhusu Pengo kuwa juu ya Rais Wa TEC. Kanisa Katoriki linaongozwa kwa sheria zake. Kama hujui unakaa kimya,Rais wa TEC ndio msemaji Wa Kanisa katoriki Tanzania. Pengo ni mjumbe tu Wa balaza kama wajumbe wengine.

Ndivyo hivyo mnavyodanganywa na Gwajima ........................ Sidhani hata kama Pengo alihudhuria huo mkutano. Pengo kukaa mkutano mmoja na maaskofu wa kujipachika kama Gwajima ni kulipunguzia hazi kanisa katoliki!!

Gwajima namfahu siku nyingi toka akiwa Mchungaji njaa mpaka Kujipachika Uaskofu!! Ni tapeli aliyebobea!!
 
Mimi Mkatoliki na mseminary lakini namwelewa zaidi Gwajima kuliko Pengo . Pengo alitakiwa kuomba Wakatoliki wa Tanzania msamaha kwa ushirika wake na CCM kabla ya kusema amesamehe Gwajima .

Sishangai kuona kuwa umezoea maneno ya taarabu. Watanzania wengi sana wana matatizo ya kufanya analysis hata kwenye kipande kidogo tu cha taarifa. Hivi leo ukiwa na ile audio ya Pengo mbele ya sheria unaweza kueleza alisema upige kura ya aina gani??? Sisi kwetu neno LUNYUNGU ni mmea wa maboga ambao mara nyingi huota sehemu za vyoo, ndio maana nika-doubt sana uwezo wako. May be wewe ni drop-out seminarini
 
Hii dhambi haitamuacha pengo na unafiki wake
 
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?

Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Kwa hiyo unafikiri wewe nani mkuu wa kanisa katoliki tanzania (if at all that cheo exists in the church kwa namna ulivoiweka wewe au Gwajima)
 
Angeshitakiwa na Pengo sawa. Huyo jamaa ni Jamhuri imemshtaki. Ngoja akome kwanza.
 
Sishangai kuona kuwa umezoea maneno ya taarabu. Watanzania wengi sana wana matatizo ya kufanya analysis hata kwenye kipande kidogo tu cha taarifa. Hivi leo ukiwa na ile audio ya Pengo mbele ya sheria unaweza kueleza alisema upige kura ya aina gani??? Sisi kwetu neno LUNYUNGU ni mmea wa maboga ambao mara nyingi huota sehemu za vyoo, ndio maana nika-doubt sana uwezo wako. May be wewe ni drop-out seminarini
Weweee sasa hapo ndo umefanya analysis ya alosema Pengo contradicting ile taarifa ya pamoja ya maaskofu na umefanya pia analysis ya comment za huyu Lunyungu ? so you count yourself as one of the few Tanzanians, as you put it, wanoweza kufanya analysis?.....poor you!!!
 
Angeshitakiwa na Pengo sawa. Huyo jamaa ni Jamhuri imemshtaki. Ngoja akome kwanza.
serious akome?
kwani hati ya mashitaka dhidi yake ni kutaka kumkomesha au ni kile kinachodaiwa ni matusi? ndo maana mwadhama amesamehe sasa jamhuri Kama Ina mambo mengine ni bora iwekwe wazi maana jamii inajua ni kwa sababu ya kile kinachodaiwa ni matusi
 
Askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .

"naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama

Mytake:
ushauri kwa jamhuri madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na gwajima ili kuipa uzito maaana ya msamaha unless kama jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa Mungu.

chanzo mimi mwenyewe

Mimi Sitamsamehe Ng'o Gwajima Wenu Huyo NITAMCHUKIA Daima Kwani Hawezi Kututukania Rais Wetu Wakatoliki Hapa Nchini Tanzania.
 
Askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .

"naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama

Mytake:
ushauri kwa jamhuri madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na gwajima ili kuipa uzito maaana ya msamaha unless kama jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa Mungu.

chanzo mimi mwenyewe

Usiingize dini na mambo ya serikali. Mbona mahakama ya kadhi mnaitolea mapovu eti kwa kuwa ni kitu cha kiimani. Kwanini unataka kuchomeka imani yenu kwenye mambi ya kiserikali? Hata hili tuliache maana linahusu serikali na si imani ya mtu. Kwani Gwajima alitukana kuukashfu ukatoliki ama alimtukana mtu binafsi? Wewe vipi bwana. kaa kimya kama ambavyo mnataka tukae kimya kuhusu mahakama ya kadhi.
 
Anaweza kuwa na msamaha lakini hawezi kusamehewa kamwe kwa kupingana na maaskofu wenzake waliotoa msimamo thabiti kuhusu serilkali kujiingiza katiaka suala la kuandaa Mahakama ya kadhi kupitia Bunge lenye Wakritu na Waislamu.

Hawezi kuwa sehemu ya kuvunja msingi imala wa nchi yetu kutoendeshwa kidini na apate msamaha, yeye ndiye awaombe radhi maaskofu wenzake maana amewadharirisha sana.

Hawezi kuaminika kwa hili.
 
Back
Top Bottom