Pengo: Nchi imeoza!

Pengo: Nchi imeoza!

Mnafiki mkubwa sana jamaa yaani udini udini udini ...

Yaani mimi n mkatoliki pure kabisa ila hapana Kikwete watu walimwambia ukweli lakini Magufuli sijui wanamuogopa nini?.
Hutowasikia tena hao na kina slaa mpaka baada ya 2025, tutunze kumbukumbu tu. Alafu jamaa wanawaona watanzani bado ni wajinga sana. Ukitaka kuamini hilo fuatilia matamko ya kabudi huko nyuma alaf linganisha na huyu wa sasa HV.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.

  • Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
  • Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
  • Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
  • Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
  • Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Arudi atoe maoni yake tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie kutupandishia uzi wa 2009 nikuturudisha nyuma, naomba muache hizo tabia. Huu uzi ungeupandisha pale tu alipogoma kuukubali Waraka uliopita wa baraza la maaskofu, sasa unaupandisha leo kwenye issue ya CAG unawakilisha nini? Acheni kutupotosha kwenye mambo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom