Ninyi mnaomponda Nyerere mna matatizo binafsi
Nyerere alijitoa kwa manufaa ya hii nchi,alikuwa na uwezo wakufuja mali zote za Tz kwa jinsi yeyote ile.
Mwizi na Baba wa ufisadi ni Mwinyi huyu ndiye aliuza hata madawa ya kulevya na mkewe,alivunja azimio laarusha akiwa zenj kuingiza mwanya ya ufisadi,aliuza mbuga zetu kwa waarabu, alianzisha fujo za kidini,....
Nyerere hakuchoka,akshindwa kuvumilia akaanza kumchapa madogo kwa speech na maandiko, alitamka waziwazi kuwa "Serikali ya awamu ya pili inanuka".
Mwinyi mwinyi mdini period....ndiyo chanzo cha ufisadi Tanzania.