Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
apewe ''life-ban'' huyu!hana faida hapa jeiefu,zaidi ya udini
Hamna haja ya kumpa ban, unajua watu kama hawa wana wamafrustration kwenye maisha yao, usikute kaachika au mumewe ana-erectile dysfunction, n.k. sasa ndio hivyo hana jinsi ispokuwa kuleta mafrustration yao hapa jamvini badala ya kupata ufumbuzi wa kitabibu.
Unaweza kumsaidia kwa kumu-add kwenye ignore list, kama nilivyofanya.