Pengo amtolea uvivu Kikwete

''Kuna walioandaa wagombea wao, na taasisi zao ambazo ni taasis za heshima zikagharamia uchapishaji wa majarida, wakaandaa semina, makongamano, na kufanya kampeni kwenye kila ibada. Lakini hawakufanikiwa kupenyeza mtu wao kwenye nafasi walioitaka, sasa hii tunayoishuhudia ni kuchanganyikiwa kwao na ndio maana nilieleza kule Dodoma wakati wa sherehe za kuzaliwa CCM kuwa, kuna baadhi yetu bado wamenuna na matokeo ya uchaguzi. Kwa bahati mbaya hata wakiendelea kununa, rais wa nchi hii ataendelea kuwa yule yule, hakuna mwingine, na shida zao watakuja kuniambia mimi hawana pakwenda.'' Huu ndio ujasiri wake Jakaya Mrisho Kikwete rais wa awamu ya nne, Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kuna walioandaa ( Hawajatajwa) taasisi Zao za Heshima (Hazijatajwa) Ujasili upi unaouzungumzia? hata watuhumiwa wa madawa ya kulevya anawafahamu (hawataji na hawashughulikii) Huu ndo Unafiki anaousema pengo.
 
Neno la Mungu linasema "msipoongea mawe yataongea". Iliniuma sana nilipoona Kanisa Katholiki halijotoa tamko kuhusu thuma ya rais Kikwete. Nimefurahi baada ya baba Askofu Pengo kutoa tamko. Hongera baba Cardinal kwa ujasiri wako uliosheheni busara na usahiii wa fikra. Kikwete na wapambe wake wamezoea kubeza dini tena dini moja ya Kikristo.

Wakati wa kuelekea uchaguzi wa 2010 tulishuhudia jinsi viongozi wetu walivyopakwa matope kuwa wanaunga mkono CDM. Watawala wa CCM waiogopa kivuli chao na maovu yao yalivyokuwa yanaanikwa wanafikiri ni viongozi wa dini. Baba Askofu hongera sana na kauli yako tunaoba iungwe mkono na maaskafu wote wa majimbo yete na madhehebu yote.

CCCT walishatoa tamko lao na kwako ni potential nyingine. Wale maaskofu waliosema JK ni chaguo la Mungu ni wakati kujuta kukiri mlipotoka
 
Huyo ndio chaguo la Mungu mlilotutangazia viongozi wa dini kupitia Kilaini sasa vipi tena.Hii ndio matokeo ya kula nyama ya Mtu utarudia tu.Angalia sasa Mtu wenu mliomsifia kwa kuwa fuata wamamtandao wake.
 
Asante kardinal Pengo, serikali ya kikwete imejaa uzushi mtupu. Rais anaropoka utadhani yupo kijiweni! hizi sasa ni chuki dhidi ya wakristo

rais ni lege lege kuliko mrenda, anaogopa mafisadi, wal rushwa wakubwa na madawaa kulevya na nchi imemshinda kuongoza lakini nafikiri hakuwa anaashiria chuki kwa wakristu bali viongozi wote wa dini wa madhehebu yote, lakini anaogopa maana anaweza kuumbuliwa.
 
''we have the worst prsident we ever had''
''we have the president who cannot think beyond the next meal''


hizo kauli mbili hapo juu alizisema mzee wangu juu ya huyu m.kwere.....nami namuunga mkono % zote
 
Kama Mheshimiwa Rais hawezi kuelewa kile alichokisema Kadinali Pengo, basi ni hatari tupu. Ujumbe wa Kadinali Pengo kwa maudhui ya ndani kabisa ni kwamba "Nchi ipo ktk rehani sasa." Sasa JK anasemaje? Maana Jeshi la waumini walioisikia sauti hiyo na kuikubali ni kubwa mno.
 
Ivi kwa nini asiwataje hao viongozi wa kanisa wanaouuza ungaa
Anawaogopa?unaweza kuta JK analitumia ilo kama rungu kuwanyamazisha bila kujua kuwa kuna waadilifu ambao wataendelea kumponda
 
''Kuna walioandaa wagombea wao, na taasisi zao ambazo ni taasis za heshima zikagharamia uchapishaji wa majarida, wakaandaa semina, makongamano, na kufanya kampeni kwenye kila ibada. Lakini hawakufanikiwa kupenyeza mtu wao kwenye nafasi walioitaka, sasa hii tunayoishuhudia ni kuchanganyikiwa kwao na ndio maana nilieleza kule Dodoma wakati wa sherehe za kuzaliwa CCM kuwa, kuna baadhi yetu bado wamenuna na matokeo ya uchaguzi. Kwa bahati mbaya hata wakiendelea kununa, rais wa nchi hii ataendelea kuwa yule yule, hakuna mwingine, na shida zao watakuja kuniambia mimi hawana pakwenda.'' Huu ndio ujasiri wake Jakaya Mrisho Kikwete rais wa awamu ya nne, Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
wewe unashili kuchukua sifa ya punguani kwa kutona kuwa raisi alikosea, atasemaje vile ndani ya kanisa hili ni kutaka kuchafua kanisa kwanini asingeongea yale aliyoitiwa ? wewe unapima utendaji kazi wa Mzaramo kwa maneno ? tukumbuke kanisa halikuchukua hatua yeyote baada ya Kikwete kuongea likimsikilizia ataje majina na badala yake anasema ni makanisa madogomadogo sio ninyi huu ni uropokaji wa hali ya juu sana na tena hauvumiliki,hapa JK hashambuliwi kwa uislamu wake bali anashambuliwa kwa hoja zake za kuropoka ropoka.
 
Who is mzee wako anyway...asije akawa ndo yule mzee aliyeng'olewa shamba lake la bangi wilaya ya Kwimba miezi michache iliyopita. YOU R NOT STUPID BUT YOU ARE NONSENSE...
 
baadaye ataweka Tweet kwamba tuwe part of solution ina maana hajui tatizo ni yeye
usaliti kama huu wa wazi, ili kanisa kila siku linasoa kauli kupinga aliyosema kama kweli yeye alisema
ukweli na anawajua maaskofu wanaouza unga anashindwa nini kumwaga ugali maana wao walishamwaga mboga
alafu baadaye kuna watu kama ndugai watasema tumueshimu kiongozi kama huyu na tuwe wazalendo !!!!!!!!
kuna uzalendo zaidi ya kumvumilia kikwete kuwa raisi wa nchi hii kwa miezi zaidi ya sita haliyopo madarakani toka uchaguzi wa
kuchakachua 2010?
 
Ni dhahiri kuwa Raisi alikosea kusema vile kama hakuna watuhumiwa ndani ya kanisa Katoliki,ni dhahiri kuwa Raisi alikosea kama Binadamu yeyote akoseaye cha msingi asilichukulie hili kisiasa au akachukulia kiubabe CCM kwa mara nyingi kauli zao zimekuwa ni zakuponda Kanisa pale wanapobanwa. Raisi ametumia Membari vibaya tunajua si mara ya kwanza kwa KIKWETE kuropoka kumbukeni yale aliyoyasema wakati wa akipinga mgomo wa Walimu kama kweli yalikuwa maneno ya Raisi au aliropoka KIUHALISIA SI MARA YA KWANZA LEO KWA RAISI KUROPOKA.
 
Who is mzee wako anyway...asije akawa ndo yule mzee aliyeng'olewa shamba lake la bangi wilaya ya Kwimba miezi michache iliyopita. YOU R NOT STUPID BUT YOU ARE NONSENSE...
Nadhani akili yako imefiks ukomo wa kufikiri na ninaona sasa JF haikufai tena
 
Atakuellewa kwa vile Mungu kamjalia uwezo wa kuwatambua hata punguani wa hoja kama wewe use ona kosa la wazi namna hii,hatukuapaswa kukujibu ila tunatest tu ukomo wa fikra zako?
 
Back
Top Bottom