exactly mkuu, mtu anayevunja sheria lazima ashughulikiwe. Haijarishi yeye ni askofu au padri au nani. Rais hatakiwi kudebate na mtu kwenye uvunjifu wa sheria. Mesage gani anatupa anavyoenda kulialia mbele ya watu bila kuchukua hatua? Is this country a failed state?Wakatoliki walishamuambia Kikwete 'njoo utukamate kama tunahusika'.
Wakaongeza kuwa ukimya wa Kikwete kutowakamata wauza madawa ni usaliti.
Are we really sincere in fighting against drug trafficking war? Otherwise we should shut up and remain silence forever. Sheria ziko wazi, kwanini hazitumiki kama mkatoliki au bakwata wamejihusisha na biashara ya madawa ya kulevya? Vinginevyo ni yale yale tuliozoea ya hadithi zisizo kwisha, hata kwenye mambo ya hatari kabisa na uwepo wetu
Makongamano ya kiislam yaliyofanyika Tabora, UDOM, Mwanza na Arusha mapema mwaka huu na CD zake kuenenea kona zote Tanzania watoa mada walisema wazi Nyerere si baba wa taifa bali ni baba wa ukristu. Kikwete alitajwa kama mshiriki na mwezeshaji wa kongamano la waislam hivyo hawezi hata siku moja kumwita Mwalimu Nyerere baba wa taifa na aamini hivyo. Kila siku atamwita "Mzee Nyerere" ingawa kimoyomoyo ataita "baba wa ukristu na muasisi wa mfumo kristu"Hivi ni sababu gani zinampelekea Kikwete kutomwita nyerere baba wa taifa?Huwa anamuita hayati mwalimu nyerere
hawawezi kulipoza kanisa,kanisa ni zaidi ya pengo,kilaini n.k hakuna wa kulijenga wala kulibomoa kwakuwa hakuna aliyelijenga hivyo unashindana na kitu(naogopa kulitaja bure!) wanasayansi huita super natural power! Je unaweza kuipoza super natural?
Angeongea hayo mtoto wa mkulima kwa kuwanyooshea BAKWATA kidole angeonja joto ya jiwe, lakini latoka kwa mtoto wa nyumbani wakati anajua namna ya kuwapoza yameshaisha.Viongoz wetu wa BAKWATA tunasubiria kauli zenu. Au mmekubaliana na yanayosemwa?
Mkuu wangu Bakwata waseme nini?.. kama kuna watu wamekamatwa na mkanda upo umeonyesha wauza unga, wao wanatakiwa kujitetea kitu gani... Jamani tuwe wakweli hivyo vyombo vya dini siku hizi ni biashara tupu hakuna cha Saint kamba tupu..kote huko unga na biashara haramu kwa kwenda mbele sii kanisani wala misikitini..Uliona wapi mtu mwenye msikiti au Kanisa ndio hutajirika! - Yaani kanisa au msikiti imekuwa biashara - kwa kuuza kitu gani?Viongoz wetu wa BAKWATA tunasubiria kauli zenu. Au mmekubaliana na yanayosemwa?