Hivi eneo la kanisa sio Tanzania??
Kwanini asiliseme hilo kwenye kanisa la lutheran, pentekoste, anglikana, victor gospol church aende akaseme kanisa katoliki? Na ni kwanini akiambiwa awataje viongozi wa dini wanaouza madawa hawataji? HUYU ****** NI MNAFKI SN NIA YAKE ILIKUA KULICHAFUA KANISA KATOLIKI, KUMBUKA DR SLAA NI MKATOLIKI ANAANDAA MAZINGIRA YA KUMTENGENEZEA KESI.
Ni busara ya kutosha aliyoitumia kumjibu mwalikwa mmoja mpuuzi aliyemkaribisha kwenye hafla yake na kumtusi mbele ya wageni wake. Ni busara kubwa aliyoitumia kutokumjibu huyo mpuuzi pale pale. Ni tafakari kubwa sana aliyofanya kukaa na hilo tusi hadi wakati huu. Na huu usipotoshwe aliwaeleza viongozi wenzake kuwa kitendo cha kiongozi mkuu wa aliyekosa busara kutumia maeneo ya kanisa kutoa kauli chochezi kiasi hiki inaashiria kuwa kuna tatizo ndani ya kanisa. Kama kweli kiongozi huyu wa nchi asipowataja hao mapadri na viongozi wa dini wauzaji wa mihadarati ili kumsaidia Pengo kufanya maamuzi magumu ambayo yeye JK wakati wote ameshindwa NI USALITI. turudie wote NI USALITI. MKUBWA.Inampasa Pengo kusoma alama za nyakati. na kuelewa kuwa Si kila wakati jogoo anawika na kuwa kuwika kwa jogoo kunahitaji Busara.
Atumie hekma kabla kutoa matamko.
Hivi yule msaidizi wake mahir sana Askofu Kilaini yupo wapi? kwani huyu alikuwa na busara sana na kuweza kumfanya kila wakti bosi wake isimpuruchuke
Kwanza kabisa, usijaribu hata kidogo kumlinganisha kiboda kama Kikwete na Obama. There's simply no comparison. Kubali, usikubali, Marekani siyo Tanzania, sawa? Pili, ni wazi hii ishu huielewi, vinginevyo usije kuja na kauli za namna ya "kama Mkapa angekuja na usema kuna baadhi ya Masheikh wanajihusisha na biashara za Unga iwe siku ya Maulidi au sijui Idd Fitr , mimi sioni makosa unless Mkapa ktk hotuba yake ahalalishe matumizi ya Unga."
Pengo siyo tu kwamba amehudhunishwa sana bali pia ni wazi amekosewa heshima na kudhalilishwa na Rais ambaye amechaguliwa na wapiga kura waliyo Waislamu na Wakristo na ambaye alialikwa kwenye shughuli hiyo kwa nia njema, na baadaye kuwageuka walioyomulika kwa kuanza kubwata kuhusu "ufahamu wake wa wauza unga" mbele ya kadamnasi ya Wakristo Wakatoliki tu. Jee, hii inaashiria nini kwa mtu mwenye akili zake timamu?
Mkuuu wangu hakika nimekusoma wewe pamoja na majibu ya wengine woote ya kutambua ya kwamba hapa ni swala la IMANI.. chuki yenu kwa Kikwete sio kwa sababu nyingine isipokuwa Muislaam.. Na wala usijali mimi sina jazba kama mlokuwa nayo nyie, Hata huyo Pengo anaweza kuja siku ya Idd Fitr akazungumzia wauzaunga wanaokwenda Hijja namadawa ya kulevya - hakuna shida yeyote maadam anasema Ukweli! na wala hatakuwa na haja ya kuwataja wauza Unga.Huyo Kikwete alifanya makusudi kabisa kutumia wadhifa wake na occasion au hafla husika, ambayo ilikuwa mbele ya "waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga wakati wa ibada maalumu ya kupewa daraja la uaskofu" kuja na kauli zake ambazo mpaka leo ameshindwa kuthibitisha licha ya kutakiwa kufanya hivyo na walengwa.
Kwa hiyo, kutokana na mazingira kama haya, ni nini cha kushangaza kwa hatua hii ya Kadinali Pengo kama Mkuu wa Kanisa Katoliki ku-react kwa kutoa kauli ya wazi kwa Watanzania wote kama alivyofanya Kikwete mbele ya umma ya Watanzania wote? Tunasubiri Kikwete atoe kauli kama hiyo mbele ya Iddi Baraza ijayo dhidi ya wauza unga wa Kislamu ambao kwa miaka mingi wamekithiri na wamekuwa wakitumia kivuli cha kwenda hijja Mekka kuingiza madawa kutoka nchi za Kiislamu kama Afghanistan, Iran na Pakistan.
Jamani msigeuze sana: labda nikumbuke Pengo alikuwa akiwaonya viongozi wenzake kuwa mazingira aliyotumia Rais kuongea mambo hayo ni njia ya kutoa ujumbe kwa kanisa kuwa tatizo hilo lipo kanisani. Aliwaambia watafakari binafsi wajikague na wabadilike.JMushi1,
Mkuu hapana utanisamehe sana, sitokubaliana na wewe ktk hili kwa sababu hata mimi nataka sana JK aondolewe madarakani lakini sio kwa njia hii ya Udini na ufitini.. Hapa inaonyesha wazi UDINI wanaojaribu kuupandikiza hawa jamaa zangu na kama unaweza rudia kusoma hoja za watu humu.. It's all about JK being a Muslim na Pengo Mtukufu wa kikristu kamtolea uvivu JK ktk jambo ambalo halipo.. That is the deal.
Ukweli upo wapi? rudia kasome kichwa cha mada hii..Soma malalamiko ya Pengo with an open mind, halafu tazama maelezo ya Lukuvi akiwa bungeni utaona hapakuwa na sababu kabisa ya malumbano.. Hii mada mkuu wangu hadi sasa hivi imetazamwa na watu zaidi ya 7,000 kwa sababu gani kama sii Majibu ya Kardinali Pengo!.. na tunaendelea kulumbana sababu gani? kama sii hamtaki kuamini Pengo kafanya PIA makosa.. wamefikia hata kuhalalisha Unga ktk vikao vya kidini ati visizungumziwe.. Hapana mkuu wangu, hata sisi tutumie logic ya kwamba haitakuwa vizuri kama JK angetaka kuhalalisha biashara ya Unga ktk jukwaa la dini yoyote lakini sii kuwakanya vionmgozi wanaofanya vitu hivyo waache! where else angeweza kuupeleka ujumbe kama huu kwa viuongozi wa dini kama sii ktk majukwaa ya dini..
Haya utasikia kwa nini liwe jukwaa la Kikatoliki, I mean jamani toka lini tunakuwa na utengano kwa sababu ya madhehebu? Hivi kweli rais akizungumza swala la Ukabila akiwa Mwanza basi kawatukana wasukuma.. kwa nini asizungumzie akiwa Chalinze?.. Noo mkuu wangu ubaguzi tunauanza sisi wenyewe..
Kwa kila tunachomlaumu JK ndicho Pengo kakifanya lakini yeye sii mnafiki kwa sababu gani?.. kama sii utukufu wake kwa wakristu. JK asizungumze maswala ya unga ktk sherehe za kikristu, Kardinali anakuja ktk jukwaa la dini kama lile analopinga yeye kuzungumzia maswala ya wauza unga na JK wakati angeweza kabisa kwenda Ikulu na kuonana na rais na tusingekuwa namalumbano hapa JF..
Kwa nini JK haruhusiwi kuzungumzia hayo jukwaa la wakristu, sipati jibu zaidi ya mila na desturi ambazo JK hazijui. Kwa nini Pengo anataka majina ya wauza unga - sipati jibu isipokuwa JK kashindwa kuwataja! yaani vurugu tupu hakuna tunachosimamia na chenye kuingia akilini. Mkuu wangu, kama wapo wauza unga rais anaruhusiwa kuwasema popote pale na kama sii mila za Kikristu basi hata Pengo hakuruhusiwa (kumtolea uvivu JK) zungumzia maswala ya Unga ktk sherehe za Kikristu..
Acha khili la kanisani, ni JK huyu huyu alipopewa list ya wauza Unga na Marehemu Amina Chifupa ktk moja ya sherehe za Kitaifa alisema anayo list ya wauza unga na kuonya wanaofanya vitendo hivyo.... Alisema nakumbuka vizuri na tukaanza kusubiri lini ataifanyia kazi..Sasa tunachoweza kumlaumu ni kwa nini hajaifanyia kazi hadi leo hii na uzembe wake utokane na kutoifanyia kazi siii kwa sababu alisema ktk mkutano wa Kitaifa kwamba anayo list na majina ya wauza Unga!..Na hili halihitaji mkuu wa dini yoyote kutufahamisha kwamba JK sii rais mzuri tunalijua sana kuliko hawa viongozi wa dini ambao wote kwa ujumla wao walimpa support JK ktk chaguzi zote mbili zilizopita... Siii viongozi wa kiiislaam wala wakristu.
Hivyo mkuu wangu namalizia kwa kusema hivi, hoja nzima ya kumkashifu JK haina mshiko isipokuwa ni UDINI unaoendeshwa na vuyombo vya kidini.. Na samahani sana nitarudia kusema JK anachukiwa ktk hili sii kwa sababu nyingine isipokuwa yeye ni Muislaam kawakashifu wakristu na maswala ya kuuza unga ingawa kweli wapo waliokamatwa.. Ilitakiwa Usiri fulani, sio kuyasema maswala ya unga hadharani kwani sii utamaduni wa kanisa -Sawa na mtu kumwambia mzazi aliyejamba - Umejamba, hili ni kosa la kitamaduni...
Sawa mkuu lakini kazi ya Dola sio kutaja majina ya wahusika iwe hadharani au Kanisani bali kuwakamata. Kosa la JK lingekuwa kutowakamata wahalifu lakini sio kuwataja! awataje ili iwe nini? itaweza vipi kulisaidia kanisa!... Hamnijibu..Jamani msigeuze sana: labda nikumbuke Pengo alikuwa akiwaonya viongozi wenzake kuwa mazingira aliyotumia Rais kuongea mambo hayo ni njia ya kutoa ujumbe kwa kanisa kuwa tatizo hilo lipo kanisani. Aliwaambia watafakari binafsi wajikague na wabadilike.
Kitendo cha JK au vyombo vyake kutokutaja majina ya hawa wauaji hakiwezi kulisaidia kanisa au jamii athirika ndiyo maana ya neno "usaliti" kwa maana ya kutokusaidia kutatua tatizo hili.
Jamani achaneni na UDINI hapa.
Nimeisikiliza na kuiangalia Video yote. Ukweli ni uchochezi uliokithiri.UKIISIKIZA HII VIDEO UTAJUA KANISA TZ NI KITU GANI
KAMA HUNA WAKATI (PELEKA MBELE) SIKILIZA JAPO DAKIKA 10 ZA MWISHO
[video]http://blip.tv/mzalendonet/wakristo-wa-tanganyika-walishirikiana-na-wajerumani-kuwaua-waislam-2-5442111[/video]
UBISHI wangu ni kuwa hakuna UDINI hapa.Sawa mkuu lakini kazi ya Dola sio kutaja majina ya wahusika iwe hadharani au Kanisani bali kuwakamata. Kosa la JK lingekuwa kutowakamata wahalifu lakini sio kuwataja! awataje ili iwe nini? itaweza vipi kulisaidia kanisa!... Hamnijibu..
Na hata kama akiwataja sii Kardinali Pengo wala kanisa hawawezi kufanya kitu kutokana na Usiri wa kikanisa wakati hapa tunajadili Utaifa na sheria zake. Labda nambie kwamba kutokana na desturi za Usiri wa kanisa ilitakiwa mambo haya yazungumzwe chini ya pazia... JK kaharibu , makosa kama haya husameheka kwa sababu hakujua...
Jamani hao Wanigeria mnawatetea wa nini tena kama mimi ningekuwa Kardinali Pengo ningemwambia JK fukuza kabisa wachungaji wauza unga wape 24 hrs na niko nyuma yako - hatuwahitaji nchini..
JMushi1,
Mkuu hapana utanisamehe sana, sitokubaliana na wewe ktk hili kwa sababu hata mimi nataka sana JK aondolewe madarakani lakini sio kwa njia hii ya Udini na ufitini.. Hapa inaonyesha wazi UDINI wanaojaribu kuupandikiza hawa jamaa zangu na kama unaweza rudia kusoma hoja za watu humu.. It's all about JK being a Muslim na Pengo Mtukufu wa kikristu kamtolea uvivu JK ktk jambo ambalo halipo.. That is the deal.
Ukweli upo wapi? rudia kasome kichwa cha mada hii..Soma malalamiko ya Pengo with an open mind, halafu tazama maelezo ya Lukuvi akiwa bungeni utaona hapakuwa na sababu kabisa ya malumbano.. Hii mada mkuu wangu hadi sasa hivi imetazamwa na watu zaidi ya 7,000 kwa sababu gani kama sii Majibu ya Kardinali Pengo!.. na tunaendelea kulumbana sababu gani? kama sii hamtaki kuamini Pengo kafanya PIA makosa.. wamefikia hata kuhalalisha Unga ktk vikao vya kidini ati visizungumziwe.. Hapana mkuu wangu, hata sisi tutumie logic ya kwamba haitakuwa vizuri kama JK angetaka kuhalalisha biashara ya Unga ktk jukwaa la dini yoyote lakini sii kuwakanya vionmgozi wanaofanya vitu hivyo waache! where else angeweza kuupeleka ujumbe kama huu kwa viuongozi wa dini kama sii ktk majukwaa ya dini..
Haya utasikia kwa nini liwe jukwaa la Kikatoliki, I mean jamani toka lini tunakuwa na utengano kwa sababu ya madhehebu? Hivi kweli rais akizungumza swala la Ukabila akiwa Mwanza basi kawatukana wasukuma.. kwa nini asizungumzie akiwa Chalinze?.. Noo mkuu wangu ubaguzi tunauanza sisi wenyewe..
Kwa kila tunachomlaumu JK ndicho Pengo kakifanya lakini yeye sii mnafiki kwa sababu gani?.. kama sii utukufu wake kwa wakristu. JK asizungumze maswala ya unga ktk sherehe za kikristu, Kardinali anakuja ktk jukwaa la dini kama lile analopinga yeye kuzungumzia maswala ya wauza unga na JK wakati angeweza kabisa kwenda Ikulu na kuonana na rais na tusingekuwa namalumbano hapa JF..
Kwa nini JK haruhusiwi kuzungumzia hayo jukwaa la wakristu, sipati jibu zaidi ya mila na desturi ambazo JK hazijui. Kwa nini Pengo anataka majina ya wauza unga - sipati jibu isipokuwa JK kashindwa kuwataja! yaani vurugu tupu hakuna tunachosimamia na chenye kuingia akilini. Mkuu wangu, kama wapo wauza unga rais anaruhusiwa kuwasema popote pale na kama sii mila za Kikristu basi hata Pengo hakuruhusiwa (kumtolea uvivu JK) zungumzia maswala ya Unga ktk sherehe za Kikristu..
Acha khili la kanisani, ni JK huyu huyu alipopewa list ya wauza Unga na Marehemu Amina Chifupa ktk moja ya sherehe za Kitaifa alisema anayo list ya wauza unga na kuonya wanaofanya vitendo hivyo.... Alisema nakumbuka vizuri na tukaanza kusubiri lini ataifanyia kazi..Sasa tunachoweza kumlaumu ni kwa nini hajaifanyia kazi hadi leo hii na uzembe wake utokane na kutoifanyia kazi siii kwa sababu alisema ktk mkutano wa Kitaifa kwamba anayo list na majina ya wauza Unga!..Na hili halihitaji mkuu wa dini yoyote kutufahamisha kwamba JK sii rais mzuri tunalijua sana kuliko hawa viongozi wa dini ambao wote kwa ujumla wao walimpa support JK ktk chaguzi zote mbili zilizopita... Siii viongozi wa kiiislaam wala wakristu.
Hivyo mkuu wangu namalizia kwa kusema hivi, hoja nzima ya kumkashifu JK haina mshiko isipokuwa ni UDINI unaoendeshwa na vuyombo vya kidini.. Na samahani sana nitarudia kusema JK anachukiwa ktk hili sii kwa sababu nyingine isipokuwa yeye ni Muislaam kawakashifu wakristu na maswala ya kuuza unga ingawa kweli wapo waliokamatwa.. Ilitakiwa Usiri fulani, sio kuyasema maswala ya unga hadharani kwani sii utamaduni wa kanisa -Sawa na mtu kumwambia mzazi aliyejamba - Umejamba, hili ni kosa la kitamaduni...
Haya umeona sasa! wewe imekuwaje utoke kwenye mada hii unakuja na video iliyoletwa na Mkristu mwingine ili ijewe!...Je, nikikuletea video za wachungaji wa Kikristu kina Jimmy Swagat wanaotukana Uislaam na kuita dini ya mashetani - utasema nini?..Sisi Waislaam hatuna muda huo na hakika nyie ndio mnazo video nyingi zinazoukashifu Uislaam lakini huwezi kuta video inayokashifu Ukristu isipokuwa tunakashifu matendo maovu kama kuuza unga, pombe, kula nguruwe n.k... Sasa maadam wewe pengine unawajua wakristu anaouza unga, unafikiri Waislaam wanawazungumzia Wakristu kumbe sivyo - unga ni haramu pande zote mbili..Nimeisikiliza na kuiangalia Video yote. Ukweli ni uchochezi uliokithiri.
Uadilifu unahitajika unaposikiliza ni kashfa za kutisha na mengine ya kutunga. Kwa mfano sikujua kama kwenye Koran kuna ujumbe kuwa makafir hawaaminiki/hawana fadhila! Nimeshtuka sana.
Jamani kila kitu kina Historia mbaya na nzuri tuache huu uchafu wa kuangalia Historia kwa mtindo hasi kila wakati.
Jamani hatutaki haya malumbano! ni uchafu! ni ujinga! ni upumbavu.
Wakristo tafadhali msijibu lolote.
yako mambo mengi sana kwenye Historia yanayoweza kutugombanisha.
mfano waendeshaji wa Biashara ya utumwa (historia). Ukianzisha mjadala huu utagombana na uislamu.
Ukienda kwenye umafia wa Italy utagombana na wakatoliki.
Tuachane nayo!!!
JMushi1,
Mkuu hapana utanisamehe sana, sitokubaliana na wewe ktk hili kwa sababu hata mimi nataka sana JK aondolewe madarakani lakini sio kwa njia hii ya Udini na ufitini.. Hapa inaonyesha wazi UDINI wanaojaribu kuupandikiza hawa jamaa zangu na kama unaweza rudia kusoma hoja za watu humu.. It's all about JK being a Muslim na Pengo Mtukufu wa kikristu kamtolea uvivu JK ktk jambo ambalo halipo.. That is the deal.
Ukweli upo wapi? rudia kasome kichwa cha mada hii..Soma malalamiko ya Pengo with an open mind, halafu tazama maelezo ya Lukuvi akiwa bungeni utaona hapakuwa na sababu kabisa ya malumbano.. Hii mada mkuu wangu hadi sasa hivi imetazamwa na watu zaidi ya 7,000 kwa sababu gani kama sii Majibu ya Kardinali Pengo!.. na tunaendelea kulumbana sababu gani? kama sii hamtaki kuamini Pengo kafanya PIA makosa.. wamefikia hata kuhalalisha Unga ktk vikao vya kidini ati visizungumziwe.. Hapana mkuu wangu, hata sisi tutumie logic ya kwamba haitakuwa vizuri kama JK angetaka kuhalalisha biashara ya Unga ktk jukwaa la dini yoyote lakini sii kuwakanya vionmgozi wanaofanya vitu hivyo waache! where else angeweza kuupeleka ujumbe kama huu kwa viuongozi wa dini kama sii ktk majukwaa ya dini..
Haya utasikia kwa nini liwe jukwaa la Kikatoliki, I mean jamani toka lini tunakuwa na utengano kwa sababu ya madhehebu? Hivi kweli rais akizungumza swala la Ukabila akiwa Mwanza basi kawatukana wasukuma.. kwa nini asizungumzie akiwa Chalinze?.. Noo mkuu wangu ubaguzi tunauanza sisi wenyewe..
Kwa kila tunachomlaumu JK ndicho Pengo kakifanya lakini yeye sii mnafiki kwa sababu gani?.. kama sii utukufu wake kwa wakristu. JK asizungumze maswala ya unga ktk sherehe za kikristu, Kardinali anakuja ktk jukwaa la dini kama lile analopinga yeye kuzungumzia maswala ya wauza unga na JK wakati angeweza kabisa kwenda Ikulu na kuonana na rais na tusingekuwa namalumbano hapa JF..
Kwa nini JK haruhusiwi kuzungumzia hayo jukwaa la wakristu, sipati jibu zaidi ya mila na desturi ambazo JK hazijui. Kwa nini Pengo anataka majina ya wauza unga - sipati jibu isipokuwa JK kashindwa kuwataja! yaani vurugu tupu hakuna tunachosimamia na chenye kuingia akilini. Mkuu wangu, kama wapo wauza unga rais anaruhusiwa kuwasema popote pale na kama sii mila za Kikristu basi hata Pengo hakuruhusiwa (kumtolea uvivu JK) zungumzia maswala ya Unga ktk sherehe za Kikristu..
Acha khili la kanisani, ni JK huyu huyu alipopewa list ya wauza Unga na Marehemu Amina Chifupa ktk moja ya sherehe za Kitaifa alisema anayo list ya wauza unga na kuonya wanaofanya vitendo hivyo.... Alisema nakumbuka vizuri na tukaanza kusubiri lini ataifanyia kazi..Sasa tunachoweza kumlaumu ni kwa nini hajaifanyia kazi hadi leo hii na uzembe wake utokane na kutoifanyia kazi siii kwa sababu alisema ktk mkutano wa Kitaifa kwamba anayo list na majina ya wauza Unga!..Na hili halihitaji mkuu wa dini yoyote kutufahamisha kwamba JK sii rais mzuri tunalijua sana kuliko hawa viongozi wa dini ambao wote kwa ujumla wao walimpa support JK ktk chaguzi zote mbili zilizopita... Siii viongozi wa kiiislaam wala wakristu.
Hivyo mkuu wangu namalizia kwa kusema hivi, hoja nzima ya kumkashifu JK haina mshiko isipokuwa ni UDINI unaoendeshwa na vuyombo vya kidini.. Na samahani sana nitarudia kusema JK anachukiwa ktk hili sii kwa sababu nyingine isipokuwa yeye ni Muislaam kawakashifu wakristu na maswala ya kuuza unga ingawa kweli wapo waliokamatwa.. Ilitakiwa Usiri fulani, sio kuyasema maswala ya unga hadharani kwani sii utamaduni wa kanisa -Sawa na mtu kumwambia mzazi aliyejamba - Umejamba, hili ni kosa la kitamaduni...
<br />Sawa mkuu lakini kazi ya Dola sio kutaja majina ya wahusika iwe hadharani au Kanisani bali kuwakamata. Kosa la JK lingekuwa kutowakamata wahalifu lakini sio kuwataja! awataje ili iwe nini? itaweza vipi kulisaidia kanisa!... Hamnijibu.. <br />
<br />
Na hata kama akiwataja sii Kardinali Pengo wala kanisa hawawezi kufanya kitu kutokana na Usiri wa kikanisa wakati hapa tunajadili Utaifa na sheria zake. Labda nambie kwamba kutokana na desturi za Usiri wa kanisa ilitakiwa mambo haya yazungumzwe chini ya pazia... JK kaharibu , makosa kama haya husameheka kwa sababu hakujua...<br />
Jamani hao Wanigeria mnawatetea wa nini tena kama mimi ningekuwa Kardinali Pengo ningemwambia JK fukuza kabisa wachungaji wauza unga wape 24 hrs na niko nyuma yako - hatuwahitaji nchini..
Afadhali uende kabisa! maanake umerukia hii tu. Siyo wewe uliyeleta hii nafikiri. Mimi napinga kwa nguvu zote kuleta video za kichochezi humu JFHaya umeona sasa! wewe imekuwaje utoke kwenye mada hii unakuja na video iliyoletwa na Mkristu mwingine ili ijewe!...Je, nikikuletea video za wachungaji wa Kikristu kina Jimmy Swagat wanaotukana Uislaam na kuita dini ya mashetani - utasema nini?..Sisi Waislaam hatuna muda huo na hakika nyie ndio mnazo video nyingi zinazoukashifu Uislaam lakini huwezi kuta video inayokashifu Ukristu isipokuwa tunakashifu matendo maovu kama kuuza unga, pombe, kula nguruwe n.k... Sasa maadam wewe pengine unawajua wakristu anaouza unga, unafikiri Waislaam wanawazungumzia Wakristu kumbe sivyo - unga ni haramu pande zote mbili..
Anyway nilikuwepo sasa hivi nawaageni endeleeni na mjadala na nawaombea kila la kheri lakini kumbukeni usia wangu.. Mnaiweka mahala pabaya sana Chadema..
What's wrong with that!... eeeeeh..Rais Kikwete alisema: "Inasikitisha kuona biashara hii haramu (ya dawa za kulevya) sasa inawavutia hata watumishi wa Mungu, Taifa letu litaharibika tusipokuwa makini katika hili, baadhi yenu tumewakamata...Kwa kauli zenu kemeeni jambo hili kwa kuielimisha jamii, hususani vijana waweze kuepuka na matumizi ya madawa ya kulevya."