The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
Ichanganyikiwe mara ngapi? Heri ingechanganyikiwa kuliko kuharibikiwa tokana na laana ya maovu iliyowatendea watanzaniaWazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa
Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!
Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!
Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hili Gwajma amefeli sana. Aliwaaminisha waumini wake kua amemfuta kabisaa bashite kwenye historia ya siasa za nchi hii. Kumbe ni nabii wa uongo
Naunga mkonoMkuu alihitajika mtu kama Makonda kufufua chama maana Chama kililoose popularity na wanachama walipungua kwa 30%
So lazma warudishe watu kama makonda kwenye system
IPO siku watalipa sawa na matendo yao
Mkuu ni hatari hiyo ni trailer bado mkanda wenyewe.Nawaza tuu hizo picha hakuna nyingine?zikoje?.zinatumika kama silaha?🤣🤣🤣🤣🤣💺🎶🎶🎶🎶This is too much man!why post this!?
Kabisaaa!!🤣🤣🤣🤣💺🎶🎶🎶Simuono saa 100 akivuka 2025......simuoni kabisaaa
Anateuliwa mtu mwenye tuhuma za kutesa na mauaji ya watu wasio na hatia, "because of love"Wazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa
Na shida ya kubwa ni moja haichomi, haiumizi lakini ukiikanyaga lazima uchecheme kama aliyekanyaga mwiba ukamchoma akiwa peku ama ukiwa umevaa kiatu ama kobazi lisilo na soli imara!
Na shida ya kubwa ni moja ukishaikanyaga umeitibua uvundo wake wote
Utanuka wewe na wengine watakukwepa kutokana na harufu hiyo wasijue kutofautisha kama ni yako ama ni ya mwingine umeipitia tuu..!
Tunaaswa na wahenga tukiwa kwenye taharuki tusiwe watu wa kuchukua maamuzi ya haraka! Lakini kubwa kuliko yote kuepuka kuchukua maamuzi yanayotokana na ushauri wa kunguni na papasi
Chama kimeyakanyaga! Kinatoa uvundo mkali.. Wenye pua ambazo silika za kunusa bado zinafanya kazi wataanza kukikimbiaView attachment 2789168View attachment 2789169
Sent using Jamii Forums mobile app
because of loveAnateuliwa mtu mwenye tuhuma za kutesa na mauaji ya watu wasio na hatia, "because of love"
...Na Huyo Kibaka ndio alionekana Kufaa zaidi ya Wanachama Wote Karibuni Milioni 5 wa CCM ?? Pole Zao....Mkuu alihitajika mtu kama Makonda kufufua chama maana Chama kililoose popularity na wanachama walipungua kwa 30%
So lazma warudishe watu kama makonda kwenye system
Huo ni mpango wa Mungu,Wazungu wanasema .. Shortcut is the longest way you were not going... Na Waswahel wanasema unaweza kuruka ndogo(haja) ukadhani umesalimika kumbe unaenda kukutana na kubwa