PENDO MAGALUDA Ametutoka

Status
Not open for further replies.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Pendo mahali pema peponi na awajaze nguvu wafiwa kwa kipindi kigumu kinachowakabili kwa sasa.
 
- Mkulu Mfumwa, heshima mbele mkuu ni kweli kwamba huyu Marehemu sister Pendo, ni ndugu na Magoba kama ulivyoouliza, again Mungu amlaze mahali pema sana sister wetu.
 
PENDO MAGALUDA AMETUTOKA

Tumepokea taarifa kutoka kwa Bwana Abel Magaluda kuwa mke wake mpenzi Mrs. Pendo Magaluda amefariki dunia katika hospitali ya Rochester, New York, tarehe 13 Februari 2009 saa mbili na nusu usiku.

Kutoa heshima za mwisho:
Rochester: Jumatatu (16 Februari 2009) - kutakuwa na utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Pendo Magaluda kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi jioni.
Mahali: Rochester Memorial Chapel 1210 Cover Road, Rochester Telephone: 585-797-3553

New York: Ubalozi wa Tanzania, New York utaendelea kuwapa taarifa lini na wapi heshima za mwisho zitatolewa kabla ya kusafirisha mwili Tanzania mara mipango ya kusafirisha itakapokamilika.

Michango

Michango ya hali na mali inaombwa ili kuweza kulipia gharama zifuatazo:

(1) tiketi ya kurejea nyumbani Tanzania, Mama Mlezi wa Marehemu

(2) gharama za kusafirisha personal effects za Marehemu

(3) gharama za funeral home kwa siku mbili hapa New York wakati wa kusubiri safari.

Unaweza kutuma Mchango wako kupitia
HSBC BANK routing
No:022000020.

ACCOUNT NO: 526410230 yenye jina la MAGOBE MAGALUDA NA PENDO MAGALUDA.

Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana wasiliana na

Bwana Abel Magaluda (Mume wa Marehemu) simu namba 1 347 238 9250, pia wafuatao:

Mr. Amos Shindika TEL -1 203 300 4122 na Mr. William Malecela TEL-1 914 664 1518.

Tunaomba tushirikiane na familia ya Bwana Abel Magaluda katika kipindi hiki kigumu. Tafadhali watangazie na Watanzania wengine.
 
- Wakuu ni kwamba kesho tutakuwa na habari zaidi za uhakika kinachotakiwa kuendelea next, so far bado mwili wa marehemu na familia yake wako Rochester, leo na kesho ni siku za kumuaga marehemu kwa huko.

Mungu Amlaze Mahali Pema Marehemu my friend Sister Pendo, na pia awapatie nguvu mume na watoto wadogo watatu aliowaacha.

FMES
 
- Wakuu ni kwamba kesho tutakuwa na habari zaidi za uhakika kinachotakiwa kuendelea next, so far bado mwili wa marehemu na familia yake wako Rochester, leo na kesho ni siku za kumuaga marehemu kwa huko.

Mungu Amlaze Mahali Pema Marehemu my friend Sister Pendo, na pia awapatie nguvu mume na watoto wadogo watatu aliowaacha.

FMES

Mkuu FMES,

Poleni sana kwa msiba huu mzito. Tunaiombea roho ya dada yetu ipate mapumziko mema ya milele. Ameni.
 
R.I.P Pendo. Uliugua na kupata maumivu makali, uliyavumilia na sasa Mungu ameamua kukupumzisha. Na tunashukuru Abel kwa upendo uliomuonyesha mkeo mpenzi Pendo katika uhai wake,, katika raha na taabu hasa katika kumjali na kumtunza katika ugonjwa wake bila kukata taamaa. Watoto wapenzi Mungu awape ujasiri wa kuishi bila mama yao mzazi ila wakifahamu kuwa Mungu amewaachia baba, anayejali. Kweli inauma sana, ni rahisi kusikia ila ni ngumu kuishi mgani na watoto tena wadogo. Pole sana Abel, watoto, ndugu na marafiki.
 
Mungu akupumzishe Pendo. Pole sana kwa mumeo na wanao, may they find peace. truly you will be remebered.
 
Pendo Tulimpenda sana kutokana na uPendo wake lakini Mungu amemPenda zaidi.
Raha ya Milele Umpe Eee Bwana,
Na Mwanga wa Milele Umwangazie,
Apumzike kwa Amani......Amen.
 
Ladies and Gentlemen:
The bible says, '...when sorrow comes it will endure the night, but, joy shall come when dawn breaks through and fills the day with Light".

May you all please join us (jamii forums) in your prayers so that our almighty God rest her soul in eternal peace.

The difference between ordinary and extraordinary is that little extra, that is what we missed for her absence.

Mike (0712 284 150)
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom