mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,772
- 2,171
Amani na iwe kwenu. Salaam
Natoa pendekezo kuwa "Shirika la Utangazaji la Taifa" TBC likabidhiwe kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ndo awe mmiliki wake kwa 100%. Madhumuni ya pendekezo hili ni kuliwezesha liweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi bila kuwa na mgongano wa kimaslahi. Hatua hii pia itapunguza kelele za vyama vya upinzani kwa TBC inakipendelea chama tawala.
Hii haitakuwa ajabu na mara ya kwanza kufanya jambo kama hili. Mbona viwanja vya mpira vya Sheikh Amri Abeid cha Arusha na cha Nyamagana vilikuwa vya umma lakini vikakabidhiwa kwa CCM?
Nawasilisha.