Pendekezo: TBC ikabidhiwe kwa CCM

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,772
2,171
Amani na iwe kwenu. Salaam

Natoa pendekezo kuwa "Shirika la Utangazaji la Taifa" TBC likabidhiwe kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ndo awe mmiliki wake kwa 100%. Madhumuni ya pendekezo hili ni kuliwezesha liweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi bila kuwa na mgongano wa kimaslahi. Hatua hii pia itapunguza kelele za vyama vya upinzani kwa TBC inakipendelea chama tawala.

Hii haitakuwa ajabu na mara ya kwanza kufanya jambo kama hili. Mbona viwanja vya mpira vya Sheikh Amri Abeid cha Arusha na cha Nyamagana vilikuwa vya umma lakini vikakabidhiwa kwa CCM?

Nawasilisha.
 
Sisiem wanayo channel teni mkuu

Hii tibisii tupewe ACT maana chadema huwa hawaangalii tibisii
 
CCm hawana hela ya kuindesha kwahiyo inabidi wakae hivohivo ila matendo yote ni ya kiccm
 
Amani na iwe kwenu. Salaam

Natoa pendekezo kuwa "Shirika la Utangazaji la Taifa" TBC likabidhiwe kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ndo awe mmiliki wake kwa 100%. Madhumuni ya pendekezo hili ni kuliwezesha liweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi bila kuwa na mgongano wa kimaslahi. Hatua hii pia itapunguza kelele za vyama vya upinzani kwa TBC inakipendelea chama tawala.

Hii haitakuwa ajabu na mara ya kwanza kufanya jambo kama hili. Mbona viwanja vya mpira vya Sheikh Amri Abeid cha Arusha na cha Nyamagana vilikuwa vya umma lakini vikakabidhiwa kwa CCM?

Nawasilisha.
Iuzwe kwa CCM.

Hakuna maana ya kuwa na shirika la taifa. Ni mzigo kwa walipa kodi.
 
Naskia tibisii ishakua ya mtu binafsi, Kuna laki tano hapa mfuko wa shati, mwenye tibisii anikabidhi hiko chombo fasta..
 
Amani na iwe kwenu. Salaam

Natoa pendekezo kuwa "Shirika la Utangazaji la Taifa" TBC likabidhiwe kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ndo awe mmiliki wake kwa 100%. Madhumuni ya pendekezo hili ni kuliwezesha liweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi bila kuwa na mgongano wa kimaslahi. Hatua hii pia itapunguza kelele za vyama vya upinzani kwa TBC inakipendelea chama tawala.

Hii haitakuwa ajabu na mara ya kwanza kufanya jambo kama hili. Mbona viwanja vya mpira vya Sheikh Amri Abeid cha Arusha na cha Nyamagana vilikuwa vya umma lakini vikakabidhiwa kwa CCM?

Nawasilisha.
Of course, tena waongezee na Channel ten ili ziitwe, CCMTV1 na CCMTV2
 
Hata wakigoma kupokea ushauri wako , kuanzia november 2020 tutaifutilia mbali na majengo yake yatafunguliwa shule
 
Tbc inachosha jamani nyie acheni, itokee bahati umeishiwa Kifurushi na haujalipia, utajuta kumiliki TV ndani!
 
Ifikie mahali tuanzishe station television yakwetu tuache kulialia maana Kama ruzuku chama chetu kinapata je zinaenda Wapi?
 
Back
Top Bottom