Zumbe wa Muheza,
Huyo bi. Shosti ameishiwa hoja sasa ameanza viroja. Lakini usiwe na shaka, kama unavyofahamu tuko hapa kuwasaidia hawa watoto wanaojifunza siasa kwa usimamizi wa ofisi ya lumumba.
Twende nao taratibu hatimaye watajitambua tu!
is ccm a role model of chadema?
MKuu si lazima kupima viti CDM ilivyoshinda au kushindwa,.. uwepo wake katika kampeni mbalimbali umepelekea Kusababisha nyufa zaidi ndani ya chama tawala.
Chadema kufuata ushauri wa magamba na antiChademas ni sawa na Hawa kukubali ushauri wa shetani na kula tunda la mti wa kati!
Kamwe hiyo haiwezi kuwa sawa,Dr asimamie kampeni tuu kumuonyesha Lowassa Jeuri yake, hiyo inatosha
Nyufa zipi jamani tuambieni ukweli tuache kufarijiana,nyufa zipi cdm kila uchaguzi inashindwa last time ni pale igunga,unajua bajeti ya chadema waliyoitumia pale igunga?
Sio kweli kwamba chadema imekua imara zaidi baada ya uchaguzi uliopita...sana sana kumekuwa na madai tu ya chadema kutumika na mafisadi,hili wewe hujapata kulisikia huko uliko?
Tunataka slaa arudi bungeni awe anapata publicity ya kutosha kwa kuitingisha serikali kwa kuwa anavyo vyanzo vingi vya taarifa mpaka huko uwt, huyu atatusaidia kwa kuwa ni msafi miongoni mwa viongozi wa chadema na hana simile na mafisadi na ana hasira nao ndio mana unaona hata zile chai za ikulu hakua miongoni mwao.
I like slaa japo mimi sio cdm,wengine wengi tu pale cdm ni ma opportunist,mi huwa simuiamini mfanyabiashara hata siku moja!pengine hapo ndio tunatofautiana.
sasa kwann kwenye hoja zako juu umepinga kuwa CCM hamna nyufa?una uhakika gani kama Lowassa atamsaidia mgombea wa ccm?unaijua hali halisi ilivyo ndani ya ccm mzee?uliza waliokwenda igunga watakueleza.kuna watu waliapa wanataka ccm ishindwe ili waheshimiane.
hivi unaelewa umuhimu wa ngome kwenye politics mzee?kwanini jamaa katoa mfano wa lowassa kutopenda ashindwe kwenye ngome yake?fikiria kwanza kabla ya kukenua,huna hoja toka mjadala umeanza wewe kucheka cheka kishabiki tutatenaneeeeeeei!
aisee ww kweli hoja hamna, yaani unataka tu wadhihirishe nguvu yao kwenye kanda km atashinda au una sababu nyingine?
wewe tatizo lako na wewe unadandia mambo,yeye anaelewa ni wapi alipochemka kunihusisha na cdm ndio mana unaona ananikwepa kwenye suala hilo kwa kuwa nilimuomba ani quote nilipoonyesha kuwa na nasaba na cdm,kashindwa,sasa wewe unakurupuka tu,m pm umuulize atakwambia.
mkuu hapo kwenye bold mwenzako anaelewa kivingine.Nadhani hivi ni viroja vya kufungulia mwaka 2012, kwamba mtu amekanusha kuwa yeye si mwanaChadema lakini anasimama dede kuishauri chadema nini cha kufanya katika uchaguzi mdogo wa arumeru.
Mtu huyo kila anavyozidi kuandika anaonekana ana nia mbaya kabisa, hata katika threads nyengine ameonekana ni antiChadema.
Kinachofanyika hapa kwa maneno machache sana naweza kukiita ni sawa na upendo wa shetani!
​rais atakiwi kugombea ubunge
Chadema haifanyi siasa za kuiga cuf na nccr mageuzi. Kila uchaguzi tunapanda kwa idadi ya wabunge, hiyo itoshe kukuonyesha kwamba tuko tofauti na hao wengine.
Hata chama kilichopo madarakani hakiridhiki sembuse sisi? Tunakuja kimkakati hatukurupuki, hatimaye mtakubali tu.
Nadhani hivi ni viroja vya kufungulia mwaka 2012, kwamba mtu amekanusha kuwa yeye si mwanaChadema lakini anasimama dede kuishauri chadema nini cha kufanya katika uchaguzi mdogo wa arumeru.
Mtu huyo kila anavyozidi kuandika anaonekana ana nia mbaya kabisa, hata katika threads nyengine ameonekana ni antiChadema.
Kinachofanyika hapa kwa maneno machache sana naweza kukiita ni sawa na upendo wa shetani!
zilikua ngapi labda unahisi?na ulimsikia nani akisema hivyo?dr mwenyewe, mbowe, zitto au nani?2010 Dr. ndo alipata kura za kutosha kuweza yeye kuwa rais badala yake tume ikamtangaza JK na hatimaye akaapishwa kuwa ndo rais, mnataka Dr. akagombee ili mumpoke suhindi wake kwa nguvu jimboni ili muhalalishe kura za lile dafu pale magogoni. ndivyo au sivyo?
wewe tatizo lako na wewe unadandia mambo,yeye anaelewa ni wapi alipochemka kunihusisha na cdm ndio mana unaona ananikwepa kwenye suala hilo kwa kuwa nilimuomba ani quote nilipoonyesha kuwa na nasaba na cdm,kashindwa,sasa wewe unakurupuka tu,m pm umuulize atakwambia.
mkuu kweli una viroja.mimi naikubali mikakati yenu na nawapongeza kwa ubunifu kama nilivyowapongeza na kuwaunga mkono mlipoolewa na cuf na kukubali kwa hiari yenu kipindi cha ndoa yenu kumsimamisha na kumpigia kura Lipumba,mlionyesha uungwana sana japo sijui ni kwanini mlijitoe baade naamini mgedumu sasa hivi mngekuwa mbali sana.Lakini pamoja na hayo kiti cha ARUMERU kinataka HEAVY WEIGHT wa aina ya SLAA!Hii tusiisahau.