Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Hiyo ilikuwa ni CUF na hii ni CHADEMA, halitupati lolote hatuogopi vitisho CDM songa mbele tuu!!!!!msisahau kuwa cuf nao walikua na mtaji igunga kilichowapata hawatakaa waahau na nyie cdm lazima mtambue ya kwamba uchaguzi huu wa arumeru unaweza kuwaletea matokeo kama ya cuf Igunga
Mkuu wacha ujanja kwa sababu kama hupendi CHEDEMA sasa una nia gani, ungependa taifa lako usingeshabikia maghamba ambao ni wezi wanafilisi taifa!!!!Suala sio chadema mimi kwangu taifa kwanza vyama baadae ndio mana nilikua wa kwanza kupendekeza slaa arudi bungeni kuimarisha makali ya bunge ili serikali isilale usingizi but haina maana naipenda chadema lakini namuhitaji slaa bungeni kwa maslahi ya taifa tuelewane hapa..
Suala sio chadema mimi kwangu taifa kwanza vyama baadae ndio mana nilikua wa kwanza kupendekeza slaa arudi bungeni kuimarisha makali ya bunge ili serikali isilale usingizi but haina maana naipenda chadema lakini namuhitaji slaa bungeni kwa maslahi ya taifa tuelewane hapa..
hawa wametumwa dr keshasema hagombei na hatoki huko sasa wao wanalazimisha nini? nia yao wanataka agombee ili wakamuibie kura na kujifanya hakubaliki ili kummaliza kisisasa hili tunalijua sana hawa ccm sio watu
Ushauri mzuri mkuu na ni nzuri kuona kua una nia njema na taifa lako,lakini kwa Dr kurudi bungeni hapana,hata huku alipo anaiamsha serikali na watanzania pia!nassari nae ni mpambanaji mzuri na ataleta chachu bungeni,kama nia yako ni ya dhati,basi naomba umuunge mkono nassari na kumuacha dr akiendelea na majukumu yake!
Hakuna kitu kama hicho bana..Mzee wangu .....Rais wangu acha kwenda arumeru kugombea nenda kapige kampeni tu.
Usitudanganye KK. Ipo siku mtamwambia Dr Slaa akagombee majimbo ya Pemba!Roho yangu itatulia siku nikimuona DR SLAA anaapishwa pale bungeni ambapowaoshwa vinywa sijui sura zenu hizi mtaziweka wapi..watu wa ajabu sana nyie mnapinga kiongozi wenu asiingie bungeni kuibana serikali?