KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
- Thread starter
- #461
Chama cha siasa kisipokuwa na ndoto ya URAIS hakipaswi kuendelea kuwepo. Hakifai. Wakigeuze kiwe NGO kama TAMWA ya Mama Nkya.
Dr Slaa tayari ana kazi kubwa na nzuri tu. Arumeru haijapungukiwa vichwa vya UBUNGE. Ubunge hauhitaji watu wa kukodi. Uliona Mrema hakumaliza kipindi chake cha Ubunge pale Temeke. Hakujali waliompigia kura. Aliondoka kihuni tu. Hawezi kufanya hivo kwao Vunjo.
kwa hiyo unataka kusema sugu nae ataondoka kihuni mbeya mjini kama mrema temeke sio?
Kuhusu urais usikunyime usingizi mzee,unaweza kuwa rais lakini bila serikali sasa sijui huo urais utakuwa na faida gani?ndio mana tunawaambie mfunguke mpanie kuichukua serikali sio urais,urais ni kitu kidogo sana,ambacho kitakujachenyewe mkiweza kuunda serikali.