Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

Umesesema anagombea kupitia chama gani vile????????????????? Kumbe ...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 
Naomba link niko quito mkoloni kanituma huku
 
hongera kubenea ni maswala ya uhuru wa kikatiba kuweza kuchaguliwa na kuchagua
 


Hii ni April fools' day?
 
Jamani jamani, Kubenea hata uko Arusha kwenye mkutano wa PPF na wahariri hakwenda. Sasa amenunuliwa vipi? Nimeomngea na mhariri wake mmoja pale ofisini kwake amesema hata makala za PPF zilizoandikwa baada ya kurudi ARUSHA ziliandikwa na Jabir na Ndimara si yeye. Yeye alikuwa India wakati huo.

Nilipomuuliza hili la kugombea Igunga, amenithibitishia kwamba naye amesikia, ingawa hajamsikia Kubenea mwenyewe.
 
 
Kubenea, unafit sana kwenye Uandishi na siyo kufanya siasa. Achana na hiyo mambo kama ni kweli, Magamba watakufanyizia mbaya, si umesikia wanavyomsema vibaya Seif baada ya kuingia anga zao. Take a note
 
Mh Saidi S Kubenea Mbunge mteule wa Jimbo la Igunga CHADEMA
kwa cdm sawa lakini kwa magamba sijui labda maana siasa bwana ni namna ulivyojipanga lakini kubenea na ccm waliompofua atasemaje jukwaani kuwa ccm na maisha bora kweli kubenea kwa mdomo wake ikiwa hivyo kweli watanzania wote ni vichaa na mazuzu
 
Sitta?...no!

Nape,the Vuvuzela?...certainly NOT.

Mwakyembe?....not known kwa siasa za jukwaa!

Msekwa?...a walking dead man!

Kazi wanayo!!!
 
Kuna uwezekano mkubwa ataongoza Katibu wa UVCCM Martin Shigela au mtunza Hazina wa Chama Mwigulu Lameck Mwigulu
 
ni kweli unautaka ubunge kupitia CCM JIMBO la Igunga? Wa JFTmlio karibu nae plz nisaidie huyu bwana aweke mambo hadharani.
 
Kubenea siku hizi mpambe wa mapacha watatu! Wamebakia wawili, Kubenea pamoja nakujua na kufuatilia mawasiliano ya Zitto Kabwe na Boss wa Usalama wa Taifa, lakini mpaka leo hajamjua nani alimwagia tindikali
 
Kubenea siku hizi mpambe wa mapacha watatu! Wamebakia wawili, Kubenea pamoja nakujua na kufuatilia mawasiliano ya Zitto Kabwe na Boss wa Usalama wa Taifa, lakini mpaka leo hajamjua nani alimwagia tindikali

hii ni hoja vapour ..... you are a Hate Preacher


hoja rojo rojo hii
 
hapo sawa kwa factor ya kumwagiwa tindikali na kutojua mpaka leo nakubaliana nawe
 
lakini huyu jamaa kama kweli atakuwa anataka kugombea kwa tiketi ya ccm ntamchukulia uroho wa madaraka kwa jinsi anavyokipaka matope chama tawala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…