Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

Kubenea siyo mmiliki wa gazeti la Mwanahalisi, bali mhariri gazeti hilo. Hivyo anaweza na anayo haki ya kugombea ubunge kupitia chama chochote anachopenda yeye. Kwakuwa Kubenea ni mwanamageuzi hawezi wala hataki kugombea kupitia Magambaz. Kwa kipindi hiki na wakati huu, kujiita Mwana Magambaz ni kujidhalilisha na kujishusha hadhi.
 
ha ha haa, duh....! Chineke ooo ogah! I was about to unleash terror and spit.....



Mtm,

you must be genius.....!

igunga inawatu wanaofaa kutumika na sio mtu ambaye kamwe hafahamu shida za watu wa igunga. Watu hawa walikandamizwa kiasi cha kutisha sana.

Wasomi wa igunga na ndio wanao faa ni akina dr. Kafumu wa itumba ni kamishna wa madini, bw. Mboje mzaliwa wa igunga ambaye ni mtumishi wizara ya mifugo na uvuvi kwasasa yuko marekani kuongeza ujuzi,wapo wengine akina jafar, mapinda, malembela ...... Je kati ya hawa kuna mmoja nayefaa kushirikiana na ndugu zake wa igunga katika kuleta maendeleo ya jimbo hili.

Fika igunga hakuna huduma nzuri za matibabu, shule feki nyingi sana hakuna walimu, shule za msingi hakuna madawati, barabara mbovu hakuna madaraja pita njia ya mbutu hakuna daraja watu wengi wanapata shida wakati wa masika, nenda itumba barabara mbovu, elimu duni, maji hakuna! Vyote hivi anatakiwa mtu wa igunga na si vinginevyo.

Akina mboje na kafumu wanatufaa sana. Mwenye link na mboje aliyeko marekani aje sasa tunamuhitaji sisi wananchi wa igunga.huyu msimu ulopita aliweka bayana jinsi rostam anavyowadanganya watu wa igunga, hataki rushwa,anawiwa na maendeleo ya igunga

ituganhila mashikolo
igunga
 
Ni kweli wanaweza kuubania hadi wawe na uhakika wa kumweka mtu atakayeshinda. Ndio sababu wanakataa kukiri kwamba jamaa ameachia ngazi wanasingizia hawana taarifa.
 
mnatuchanganya sasa mara ccm mara cdm kipi ni kipi sasa..
Magamba ikipondwa JF utawasikia ooh, JF ni Chadema na Mwanahalisi ikiiponda magamba tayari wanaropoka ooh, Kubenea ni Chadema ! Nani kawadanganya ? Kubenea anapigania haki tu kama wengine wetu humu JF. Tofauti ni kwamba sisi wengine tunaamini kabisa kuwa CCM hata siku moja hakina jeuri ya kubadilika wala kujivua magamba, chama kimeoza to the core.

Kuna wengi tu ndani ya CCM kama Kubenea ambao kama fisi wana matumaini kuwa mkono wa binadamu kuna siku utadondoka lakini siku zote watabaki wakimeza mate hadi yawakauke. Hawa mimi nawaambia na sitachoka kuwaambia kuwa adui wa taifa letu ni CCM na mpaka siku watakapoamka na kuutambua ukweli huu, mafisadi kama Kikwete wataendelea tu kudunda.
 
nitasikitika sana kama kubenea ataenda Igunga

Hivi hakuna wanyamwezi wazuri hadi aende huyu?? and we expect maendeleo ya kweli kabisaaa?? barabara nzuri, umeme, elimu, afya, teknohama na kilimo from kubenea??? mtu ambaye for the past 36 months all his mind was focused on Lowassa basi??

kweli watanzania ni mbayuwayu... we need a serius Tananian from Igunga mwenye uchungu na weledi wa kujua tanzania inataka ni na si mtu ambaye kila akiamka anaanza na Lowassa then bismillah

hapan!!!

kwa hilo, God forbid

You two are out of your minds,...by the way what is Tananian?or who is that?

Ha ha haa, Duh....! chineke ooo Ogah! i was about to unleash terror and spit.....
MTM,

You must be genius.....!
 
Because of masalia ya ZItto yapukutishwa?

Sasa naanza kuamini maneno ya wale wanaosema "masalia ya zitto" na
zitto assassin group,...
kwa kua zitto hampendi kubenea basi na jamaa kavaa ugomvi na kubenea usio mhusu,
upuuzi kweli kweli
 
Nadhani kuna upotoshaji mkubwa sana tunapotaka kuteua mgombea. Sidhani kama mgombea mzuri ni yule mwenye PHD maana hapa tunaongelea watu wenye elimu na umaarufu fulani.


Kwa njisi nilivyoshuhudia uchaguzi uliopita, wananchi hawana haja na kiwango cha elimu ya mgombea wana haja na mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja mbele yao. Watu wanamtaka mtu ambaye ni approachable siyo mheshimiwa fulani.

Tumeshuhudia vijana hata hawajamaliza chuo wanawagalalgaza waheshimiwa kwa hoja.

Wote tumeshuhudia bungeni vijana wa cdm na NCCR wanavyojua kujenga hoja kuliko hata maprofesa na madr ubungeni.


Mimi naamini kama cdm wanaweza kumpta kijana yoyte hata kama bado yuko chuo na anauwwezo wa kujenga hoja kama akina silinde na anatokea ingunga basi wamchukue huyo waachane na hawa waheshimiwa ni wazito wamezoea kutumia pesa tu.

Mimi naamini upepo ulioko igunga leo wa kuamini kuwa ccm wameshika jimbo kwa sababu ya pesa za RA unaweza kubadilika ghafula.

Mtu anayejua kupanga hoja hahitaji hela za kampeni, naamini igunga wapo vijana watakao muunga mkono kijana mwenzao
 
Kubenea naye ni shipa na isitoshe ni mwanachama halisi wa CCM. Anayebishia hili aangalie jinsi serikali ya CCM inavyomgharimia kwenda India kila mara. Mambo ya wabongo wakati mwingine yanakera. Na hii ndiyo maana wanalia lia CCM mbaya lakini hawaingii mitaani kuiondoa. Angalia ndugu zetu pale Kenya.

Kupanda kwa bei ya unga ni kimbembe wakati sisi tunalalama tu. Lolote lawezekana Kubenea kugombea Igunga ingawa hana ubavu wa kushinda. Maana hao wanyamwezi wa kule hawasomi magazeti.
 
Sasa naanza kuamini maneno ya wale wanaosema "masalia ya zitto" na
zitto assassin group,...
kwa kua zitto hampendi kubenea basi na jamaa kavaa ugomvi na kubenea usio mhusu,
upuuzi kweli kweli

Hujakosea......umechelewa sana kuamini,wenzako walishaanza zamani sana.Siku nyingine uwe unawahi
 
na huyu mboje nasikia ni mzaliwa igunga, ingawa ni mtumishi wa serikali lakini loote laweza kufanyika ili kumpata, nasiki anakubalika sana. Na ndiye aliyekuwa mpinzani hatari wa rostam, huyu alikuwa mwiba.

Hivi sasa kwa vyanzo vya habari yuko masomoni usa. Huyu anaweza kufaa kutumika kuiwakilisha igunga katika kupambana na ujinga maradhi, umasikini uliokithiri kwa wakazi wa igunga. Shida ya igunga sio taa za barabarani watu hawa hawana magari, wanatembea kwa miguu madaraja yanahitajika, si majengo ya zahanati bali huduma muhimu za tiba, maji na makazi bora. Anahitajika mtu kutoka igunga. Chadema wamtafute mtu huyu asimame igunga anakubalika.

Maoni zaidi wana jf
ituganhila masshikolo,
igunga
unaonekama mzuri sana wa propaganda kama nato wanavyofanya Libya. Elezea hali halisi ya Igunga si kutudanganya humu. Je sikweli wananchi wa igunga hawana bima za afya? what about idadi ya shule? na mengineyo mengi aliyotaja yule fisadi. Rostam kaleta maendeleo mengi pengine kuliko wabunge wengi, sema alikuwa anashiriki kuiba keki ya taifa.
Sasa anzia hapo, kwamba yule fisadi ni kweli kaleta maendeleo lakini tunahitaji mbunge .........
 
halafu hii poll ya kupigia kura za maoni mbunge wa igunga sioni kama ina mantiki kwani wengi humu JF wapo nje ya Tanzania, kwa hiyo haina msaada wowote. au kwa lugha rahisi haireflect uhalisia jimboni. Tumejifunza uchaguzi uliopata wa urais jinsi slaa alivyokuwa akiongoza hapa fj kumbe hajulikani kabisa sehemu zingine za Tanzania.
 
Kubenea naye ni shipa na isitoshe ni mwanachama halisi wa CCM. Anayebishia hili aangalie jinsi serikali ya CCM inavyomgharimia kwenda India kila mara. Mambo ya wabongo wakati mwingine yanakera. Na hii ndiyo maana wanalia lia CCM mbaya lakini hawaingii mitaani kuiondoa. Angalia ndugu zetu pale Kenya. Kupanda kwa bei ya unga ni kimbembe wakati sisi tunalalama tu. Lolote lawezekana Kubenea kugombea Igunga ingawa hana ubavu wa kushinda. Maana hao wanyamwezi wa kule hawasomi magazeti.

Nimeziona hisia zako. 1972 Chief Buthelezi wa Wazulu alikuja kuhutubia chuo kikuu mlimani. Aliwakuna wengi kwa usemi kuwa "kwenye mapambano kuna mbinu nyinyi, mojawapo ni kupigana ukiwa ndani ya kambi ya adui lakini kubwa zaidi mafanikio ya mapambano ni "survival" hata ukiwa ndani ya kambi ya adui" ANC walikuwa wanamwita msaliti but HE WAS A FIGHTER WITHIN THE SYSTEM HE WAS FIGHTING.

Hoja yako inavuta hisia kali lakini kumbuka mikakati inatofautiana. Cha msingi ni kufanikisha lengo na adui wa hili ni MUDA baadhi ya wapambanaji hufa au huuwawa kabla ya mafanikio. Ni vizuri USURVIVE uone mafanikio.

I do not buy the thread it is like testing the current before crossing a river.
 
kwani kubenea ni fisadi awezi na siyo kweli hayo mambo
ni ulongo ulongo ulongo
 
tafathali naomba kuuliza kubenea si mmja wawajumbe wa almashaurikuu ya cdm..?
 
Kubenea siyo mmiliki wa gazeti la Mwanahalisi, bali mhariri gazeti hilo. Hivyo anaweza na anayo haki ya kugombea ubunge kupitia chama chochote anachopenda yeye. Kwakuwa Kubenea ni mwanamageuzi hawezi wala hataki kugombea kupitia Magambaz. Kwa kipindi hiki na wakati huu, kujiita Mwana Magambaz ni kujidhalilisha na kujishusha hadhi.

nani kakudanganya? Jamaa ni mhariri na mkurugenzi
 
ataandika awape wenzie warushe hewani, hela mbaya sana vipande 30 vilimuuza Yesu! tuwe makini wandugu.
 
KUBenea ndani ya Mwanahalisi ni Pulshers, mkurugenzi na mhariri mtendaji. Yeye ndiyop gazeti na gazeti ndiyo yeye. Ukweli ni kwamba wamekutana na Membe na Msekwa wamekubaliana jamaa ajitose. La muhimu ni kwamba hatim,a ya gazeti lake...
 
Taarifa nilizozipata sasa hivi, yule mwandishi wa habari mashuhuri nchini, Bw. Said Kubenea anatarajiwa kugombea ubunge katika jimbo la Igunga lililowachwa wazi na mbaya wake Rostam Aziz.

Tayari mazungumzo kati ya Kubenea ambaye mmoja wa wazazi wake wanatoka Igunga yamefanyika naye inasemekana amekubali ofa hiyo. Anatarajiwa kugombea kupitia chama cha magamba.

Mwingine anayetajwa kutaka kujitosa jimboni Igunga, ni Hussen Bashe na Peter Kafumo.
crapppppppppppppppppppppppppp
 
Back
Top Bottom