Uchaguzi 2020 Pendekezo la Kauli-Mbiu ya Upinzani katika Uchaguzi Mkuu 2020

Kushabikia Upinzani huu wa kina Lisu na kina Mbowe na vijana wao ni aina ya ujinga mkubwa,maana wananchi tunaona serikali ya sasa inafanya nini..kuna nyakati nyingi sana waTanzania wanapoteza muda tu kuwasikiliza na kuwashabikia wasanii wa kisiasa.
Unadhani Nyerere wakati anadai uhuru alikuwa amewafanyia nini watanzania?
 
Kushabikia Upinzani huu wa kina Lisu na kina Mbowe na vijana wao ni aina ya ujinga mkubwa,maana wananchi tunaona serikali ya sasa inafanya nini..kuna nyakati nyingi sana waTanzania wanapoteza muda tu kuwasikiliza na kuwashabikia wasanii wa kisiasa.
Inawezekana tukawa wajinga au mazuzu lakini kujitambua ni mhimu maana hatukuimbwa kuwa waitikiaji hata kwenye ujinga wenyewe
 
Serikali ifanyacho sio hisani bali ni wajibu wa serikali yoyote, hata serikali ya wakoloni ilifanya miradi ya maendeleo, kwani ni wajibu wa mkusanya kodi. Kwani wakiingia madarakani wapinzani, watavunja hicho kinachofanywa na serikali ya sasa?
Huyu tumeambiwa ni yesu mpya Mwibara
 
Kushabikia Upinzani huu wa kina Lisu na kina Mbowe na vijana wao ni aina ya ujinga mkubwa,maana wananchi tunaona serikali ya sasa inafanya nini..kuna nyakati nyingi sana waTanzania wanapoteza muda tu kuwasikiliza na kuwashabikia wasanii wa kisiasa.
Serikali ani ambayo haikufanya nini? Tangu wakoloni mpaka JK tumeona kila mtawala alifanya nini. Hukuwepo duniani wakati rais wa sasa anatumwa na JK kusimamia ujenzi wa miundombinu? Mwaka huu mtakaa tu!
 
Back
Top Bottom