Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,436
- 1,627
- Thread starter
-
- #21
Hii sio kero hata kidogo.Serikali nzuri huweka good welfare ya jamii, siyo kutengeneza kero kwa jamii.
Ujue serikali nazo hupenda kupendwa!
Mimi nalipia aina zote za kodi rafiki.umewahi kulipa kodi gani mkuu? Tuanzie hapo 🤣 maana kuna jamaa angu alisema tuanze kutozwa kodi ya kumiliki simu , afu ukimwangalia yeye anakaa kwa dada ake arusha
Wapo TRA wenye mamlaka ya usimamizi wa kodi na hawajawahi kushindwa kusimamia mapato ya Taifa hili.Hapo itaongeza tu mrundikano wa kodi ambao ata usimamizi wake utakuwa mgumu na kuwapa mzigo mkubwa wananchi. Fikiria kwanza tax imposed on motorvehicles mpaka sasa.
Kwa fikra zako unaona si kero lakini wakabidhi Hilo jukumu hao collectors uone,Hii sio kero hata kidogo.
Ukiitazama kwa jicho la kuu, utaona kuwa ni aina ya jambo ambalo litapunguza msongamano wa vyombo vya moto, huduma za vyombo zitaongezeka mfano parking, usalama wa vyombo pia utakuwa juu sana tofauti na ilivyo sasa.
Hii ni sahihi kwa jamii endapo Serikali wakiitaka lakini.
Mbona hiyo kodi ipo, halmashauri zinatoza kwenye STAND.Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
🤣🤣🤣 Zamani ilikuwepo hii kodi-badae ikawekwa kwenye mafuta ya gari kwani Kuna watu 20 yrs wapo Kisemvule awajafika ata Moro🤣🤣 so unaikuta Kila ukinunua Lita moja ya Petrol/DieselHabari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
Kodi gani hiyo mtu analipwa kwa njia ya mkono kwa mkono?Kwa fikra zako unaona si kero lakini wakabidhi Hilo jukumu hao collectors uone,
Kodi yeyote ambayo payer and collector wanakutana uso Kwa uso Kuna kuvimbiana tu,.
Hii mbona ilikuwepo ikafutwa? Kama ni wa af2 huwezi juwa, kulikuwa na usajili wa namba za mikoa mfano MG 1234 morogoro, IR Iringa nk. Hizi gari hazikuruhusiwa kuvuka mkoa ukivuka unapigwa faini. Ilikuwa ni kodi kwa mtindo wa faini.Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
Nimeamini Usen.nge ni kipaji pia!Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
Haaaaahaaaaa waite waite waje haraka.🤣🤣🤣 Zamani ilikuwepo hii kodi-badae ikawekwa kwenye mafuta ya gari kwani Kuna watu 20 yrs wapo Kisemvule awajafika ata Moro🤣🤣 so unaikuta Kila ukinunua Lita moja ya Petrol/Diesel
Hii haijakaa sawa hata kidogo.Yaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.
Sijazungumzia Usajiri mpya wa Plate Number hapa kwamba kila Mkoa uwe na aina yake hapana. Yaani wewe ukitaka kuingia mkoa mwingine tunakupa Control Number unalipa chap maisha yanaendelea.Hii mbona ilikuwepo ikafutwa? Kama ni wa af2 huwezi juwa, kulikuwa na usajili wa namba za mikoa mfano MG 1234 morogoro, IR Iringa nk. Hizi gari hazikuruhusiwa kuvuka mkoa ukivuka unapigwa faini. Ilikuwa ni kodi kwa mtindo wa faini.
Ndio huduma zinavyoboreshwa sasa. Lazima ujenge nchi yako.Hii haijakaa sawa hata kidogo.
Yaani chombo kimenunuliwa kwa ajili ya kurahisisha usafiri toka eneo moja kwenda jingine na unapotekeleza hilo unatozwa kodi!
Maana ya kodi ilitakiwa kuboresha huduma au bidhaa na sio kutozwa kwa ajili ya kuipatia serikali pesa toka kwa raia wake bila sababu za msingi. Serikali ifanye vitu vya ubunifu kama kuuza huduma au bidhaa na sio kujiamulia lolote wasijue watu wanatafuta pesa kwa jasho pia.
Na isitoshe serikali hii ya Mama kodi zinazokusanywa hatujui zinakoelekea.
Huelewi nini? Nimekwambia ilikuwepo ikafutwa. Sijasema waanze kusajili magari upya. Waliona ni ya kijinga wakaifuta sababu wao ndo wanamiliki magari mengi.Sijazungumzia Usajiri mpya wa Plate Number hapa kwamba kila Mkoa uwe na aina yake hapana. Yaani wewe ukitaka kuingia mkoa mwingine tunakupa Control Number unalipa chap maisha yanaendelea.
Stand sio Mkoa rafiki. Hapa nazungumzia kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine.Mbona hiyo kodi ipo, halmashauri zinatoza kwenye STAND.
Au mpaka hizo pesa ziende TRA?
Kivipi?Itachochea ongezeko la bei za nauli
Kwako ni wazo la kijinga ila kwao sijawasikia bado. Hili bado ni wazo.Huelewi nini? Nimekwambia ilikuwepo ikafutwa. Sijasema waanze kusajili magari upya. Waliona ni ya kijinga wakaifuta sababu wao ndo wanamiliki magari mengi.
Sasa wataona umeleta wazo la kijinga.
Huyo ndio mwigulu kwenyeweMwigulu anafuatilia kwa ukaribu majibu. Kuweni makini