Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Kila mmoja ana maeneo yake ambayo anafanya vizuri sana. Hakuna sababu yoyote ya kumng'ong'a mtu.
 
Kweli CHADEMA mmemchoka Zitto, yaani mmefikia hatua ya kumfanaisha huyo Heche na Zitto Kabwe?. Upeo wa Heche ni mdogo sana, nahisi na elimu yake ni ndogo sana kwa jinsi nilivyomuona last week kwenye kipindi kimoja ITV. Kuna tofauti ya mtu wa kuweza kuongoza na kuaminiwa na watu wenye busara zao na yule anayeweza kuwaconvice watu wa vijiweni na madereva wa bodaboda. Heche uwezo wake uko huko kwa madereva wa bodaboda, na he is not one among of the cream of this nation.
Kwa sisi wengine tusikuwa na vyama tubaki kuwaangilia tu upuuzi na ubinafsi wa CDM, sio muda mrefu mnapoteza dira, najua inauma ila ni vugumu kwa makuli, madereva bodaboda, watu vijiweni, kuchukua nchi huku middle class wa nchi wakiangalia tu, hata watu wa vijiweni wawe wengi namna gani, na wajitokeze wengi kupiga kura siku ya uchaguzi, kamwe hataweza kutawala, ndio itafanya vyombo kama jeshi kuchua nchi
CHADEMA andaeni tabaka na kuchua dola, siyo kila wakati maandamano, kumbukeni Popularism is not Democracy,

hivi mbona una dharau sana we msomi mav*?
Kwani Boda boda na vijiweni sio watz??
 
Na wewe umetumwa na nani,kuwadi wa uzandiki wewe!mmezoea kutumuwa na wachagga basi unadhani kila mtu anatumiwa!
Subili siku yako ifike utupwe kama condom!

kaa huko we zuzu na muhanga wa BAVICHA kazi wivu tu kama choo, mlifanya visa vyote lakini kamanda Heche akawatoa nishai na sasa mmebaki kupiga majungu fcbk lakini mwenzenu Heche anazidi kupaa angani......
 
Kwa wanafuatilia siasa za Tz ni wachambuzi siyo washabiki take my words come 2015 Shibuda atakuwa raia wa kawaida mtaani na huo utakuwa mwisho wake wa safari ya kisiasa !! Hapo ndipo prons na cons za Magamba zitakapo kuwa peupe kwa watu wa dizaini ya Shibuda!

Nakushukuru kwa pointi zako mkuu...
 
Nakubali na kuutambua mchango wa Kamanda Heche ila nadhani bado hajafikia hatua ya kuvivaa viatu vya kamanda Zitto
 
Unamtukana nini sasa amemaanisha jambazi sugu aliepumzika baada yakupata ubunge,
Ingawaje yakuachishishwa ubunge amerudia katabia kake kwani hivi majuzi kakimbia na hela za m4c.
Si unajua wezi/majambazi mikono yao ina tabia yakuwasha wakipumzika wizi.
Ha ha haaaa! unanikumbusha mzoea vya kunyonga....

kaa huko we zuzu na muhanga wa BAVICHA kazi wivu tu kama choo, mlifanya visa vyote lakini kamanda Heche akawatoa nishai na sasa mmebaki kupiga majungu fcbk lakini mwenzenu Heche anazidi kupaa angani......
Kweli pesa ni shetani, posho kidogo tu inakufanya utoe matusi kwa mtu usie hata mjua, kweli sasa nimeamini mhuni lazima atamtetea mhuni mwenzake
 
Kila mmoja ana maeneo yake ambayo anafanya vizuri sana. Hakuna sababu yoyote ya kumng'ong'a mtu.

PakaJimmy
Dhahiri kila mmoja anakuwa na mwelekeo wa lipi anaona linafaa/linamfaa kufanya kwa manufaa ya mbadiliko kwa watanzania na chama au binafsi, lakini kuna kupishana katika mizani ya nini bora zaidi katika mageuzi tunayotaka kama tunataka kweli yafanyike. Hili la kuwanyoshea kidole mawaziri na wale wa magogoni limezoeleka tangu enzi za NCCR Mageuzi kwa vikubwa tu lakini mzizi wa fitiha haukukatwa; tunaohusika halituumizi kichwa kwa vile halitatuondolea kiti tunachokikalia. Hapa kwa kile kinachofanywa na Heche ndo kwenyewe, ndo maana unaona watu wazima wazima wanavyohaha huku na kule kutwa kucha kuzima kasi hiyo kwani wanajua vika walikojichimbia kunasambaratika, kwani tulizoea wa mijini tu hawatatutoa jasho. Kasi ya kuzima mikutano ya kufungua matawi ya vyama vya upinzani nini kama si kudhoofisha kasi ya badiliko nchini ya kuwafikia wananchi wa vijijini yaliko maskani ya CCM miaka nenda rudi?

Tunachofanya hapa ni kuwakumbusha ambao wanafikiri kushinda wananyoshea videle mawaziri na Ikulu kwamba ndio mageuzi kumbe huko ni hitimisho wakati mzizi wa fitina unaanzaia huko vijijini, ndilo linalotakiwa kufanyika kwa sasa.
 
Kweli wewe ni kipofu.Tofautisha kati ya Mkiti na Katibu wa chama.Unapokuwa Naibu katibu mkuu
unaongoza sekretariati ambacho ni chombo cha utendaji cha chama ambacho kinapaswa kufanya kazi za kiutendaji muda wote.Huwezi kuwa
mjumbe wa sekretariati ambaye unakaa miezi 2 hujafika ofisini,huwezi kuwa mjumbe wa sekretariati ambaye vikao 4 mfululizo umeshindwa kuhudhuria,huwezi kuwa mjumbe wa sekretariati unayekosa nafasi ya kwenda hata mikoani kukagua shughuli za utendaji.Kazi ya Mkiti ni kuongoza vikao vya Kamati kuu na Baraza kuu na yale majukumu atakayopangiwa na sekretariati.Au unataka nikuwekee katiba ya CDM hapa ikufundishe zaidi?

Mzee Mwenyekiti wa Chama hawezi kupangiwa majukumu yake na Sekretarieti kama ni hivyo ndani ya CDM basi katiba ina matatizo.Kazi ya Baraza Kuu ni nini? Ama Kamati Kuu ambayo imekasimishwa Mamlaka yake na Baraza Kuu kwa baadhi ya mambo inajukumu gani???.

Ninachokifahamu mimi Sekretarieti ni engine ya utendaji na ufanya kazi chini ya Katibu Mkuu ambaye ni Mtendaji na Msaidizi Mkubwa wa Mwenyekiti.Vile vile kazi za Mwenyekiti lazima zionyeshwe ndani ya Katiba pamoja na viongozi wengine.Hii ni Katiba inayopitishwa na Baraza Kuu ama Mkutano Mkuu.

Kwa muundo huu Sekretarieti uagizwa kutekeleza majukumu yake toka kwa Mwenyekiti ama Kamati Kuu na pengine Baraza na kuwasilisha taarifa ya utekeleza.Hili la kumpangia Mwenyekiti majukumu ni geni labda useme kumuandalia Agenda za Vikao ili aweze kuendesha vikao baada ya Agenda kupitishwa na wajumbe.
 
Huyu ushindi wake kabla hata hajatangazwa nilipewa na holly spirit..he is the anointed one....As was praying that day the name was revealed to me and I told all other guys na the post ipo humu JF kwamba ni John Heche wala wasipate tabu!

Kamanda chapa mzigo and in due time God will Himself lift you up na hakuna takayekushusha hata angetumia njia gani!
 
Magamba wamealikana kila kona kuja kutoa mapovu hapa Jamvini.Viongozi wa CDM mnapaswa kugundua kitu hapa.

Heche anafaa kuachiwa Ubunge wa Tarime. Mwita Waitara na Esta Matiko watafutiwe majimbo mengine ili kutomvunja moyo kamanda
 
Huyu ushindi wake kabla hata hajatangazwa nilipewa na holly spirit..he is the anointed one....As was praying that day the name was revealed to me and I told all other guys na the post ipo humu JF kwamba ni John Heche wala wasipate tabu!

Kamanda chapa mzigo and in due time God will Himself lift you up na hakuna takayekushusha hata angetumia njia gani!

Mkuu umenifurahisha kwa mapointi yako uliyomwaga hapa..
 
Kweli pesa ni shetani, posho kidogo tu inakufanya utoe matusi kwa mtu usie hata mjua, kweli sasa nimeamini mhuni lazima atamtetea mhuni mwenzake

nyie jamaa kwa propaganda ni hatari-By Mbowe
 
kaa huko we zuzu na muhanga wa BAVICHA kazi wivu tu kama choo, mlifanya visa vyote lakini kamanda Heche akawatoa nishai na sasa mmebaki kupiga majungu fcbk lakini mwenzenu Heche anazidi kupaa angani......

Heche nae ni kamanda?
Yaani ccm watatawala milele kwa upuuzi wa vinyago vya mbowe kuitwa kamanda yaani wewe shardcole na wewe umepewa kazi ya chadema tv kweli kazi ipo maana hujajitambua bwa mdogo hao wachaga ni wajasiliamali wa kisiasa lakini bwamdogo endelea kulamba posho na hako kajimshahara ila mwakani huna chako.
 
Nyie jamaa kwa propaganda ni hatari- By Mbowe
 
nyie jamaa kwa propaganda ni hatari-By Mbowe

Mbowe anasomesha mtoto chekechea kwa milion 15 vp wewe unakulipa sh ngapi kwa kazi ya chadema TV?
Kula posho bwamdogo maana mwakani huna chako ila boss wako analijua hilo.
 
Mbowe anasomesha mtoto chekechea kwa milion 15 vp wewe unakulipa sh ngapi kwa kazi ya chadema TV?
Kula posho bwamdogo maana mwakani huna chako ila boss wako analijua hilo.

vile viwanda vyetu vishaanza kuzalisha bidhaa zetu- By Jk
 
Mkuu umenifurahisha kwa mapointi yako uliyomwaga hapa..

Boss alimpa kwa huruma maana mdogo wa heche ambae ni chacha heche(houseboy wa mbowe)alipiga sana kazi 2010 kule Hai mpaka akahakkisha mbowe anakuwa mbunge.vp chacha Heche bado anatumia ile gari ya mbowe au kashampola maana wachaga kwa kutumia maboya ni noma sana.
 
Back
Top Bottom