Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Mkuu kuwa Gamba usiwe kipofu.Hoja hii inatoa ushauri kuboresha chama wala haimpigi vita Zitto.Zitto na Heche wote wana umuhimu ndani ya chama isipokuwa wabadilishiwe majukumu kwa afya ya chama.Hilo linakuuma nini?

Mkuu wewe usie gamba hautumii hata akili za ziada kuleta majungu yako dhidi ya Zitto hapa janvini? anyway ni rahisi maana utapata waungaji mkono ambo kwao wao Zitto ni adui

Zito ni Mbunge na katibu mkuu lakini umesahau kama Heche ni nani? au cheo cha heche hujui umuhimu wake ndani ya chama? au unadhani anavyofanya anafanya kwa kofia gani? na apewe cheo cha Zitto kwa misingi ipi ikiwa najukumu kubwa la kuongoza vijana
Au wewe huoni majukumu ya Said Arfu kama mbunge na makamu mwenyekiti, vipi kuhusu Mnyika unajua vyeo vyake......why Zitto
 
Kwa hiyo Chadema amumtaki Zitto Kabwe, kama majukumu ya kibunge mbona Mbowe anayo amjamtafutia wa kumrithi.

Kweli wewe ni kipofu.Tofautisha kati ya Mkiti na Katibu wa chama.Unapokuwa Naibu katibu mkuu unaongoza sekretariati ambacho ni chombo cha utendaji cha chama ambacho kinapaswa kufanya kazi za kiutendaji muda wote.Huwezi kuwa mjumbe wa sekretariati ambaye unakaa miezi 2 hujafika ofisini,huwezi kuwa mjumbe wa sekretariati ambaye vikao 4 mfululizo umeshindwa kuhudhuria,huwezi kuwa mjumbe wa sekretariati unayekosa nafasi ya kwenda hata mikoani kukagua shughuli za utendaji.Kazi ya Mkiti ni kuongoza vikao vya Kamati kuu na Baraza kuu na yale majukumu atakayopangiwa na sekretariati.Au unataka nikuwekee katiba ya CDM hapa ikufundishe zaidi?
 
Mkuu wewe usie gamba hautumii hata akili za ziada kuleta majungu yako dhidi ya Zitto hapa janvini? anyway ni rahisi maana utapata waungaji mkono ambo kwao wao Zitto ni adui

Zito ni Mbunge na katibu mkuu lakini umesahau kama Heche ni nani? au cheo cha heche hujui umuhimu wake ndani ya chama? au unadhani anavyofanya anafanya kwa kofia gani? na apewe cheo cha Zitto kwa misingi ipi ikiwa najukumu kubwa la kuongoza vijana
Au wewe huoni majukumu ya Said Arfu kama mbunge na makamu mwenyekiti, vipi kuhusu Mnyika unajua vyeo vyake......why Zitto

Gamba la Kobe at work! Unajua mambo ya CDM kuliko ya chama chako? Why?
 
Gamba la Kobe at work! Unajua mambo ya CDM kuliko ya chama chako? Why?

Mkuu This Home of Greater Thinker, nakuja na vihoja vyako vya kitoto unabanwa unakimbilia gamba............nonsense
tetea hoja yako kwa hoja....................why Zitto na sio wabunge wengine?
 
Upuuzi mwingine huu sasa heche ndo umfananishe na zitto au viroba vimeanza kupanda kichwani.
 
Mkuu This Home of Greater Thinker, nakuja na vihoja vyako vya kitoto unabanwa unakimbilia gamba............nonsense
tetea hoja yako kwa hoja....................why Zitto na sio wabunge wengine?

Ukibaraka wako usikufanye uwe kipofu.Mimi nimeleta pendekezo ambalo tayari viongozi wa chama wamelipokea.Wewe kinakuuma nini? Kwenye hoja yangu nimesema wazi kwanini nimeleta hili Pendekezo.Usitake kila mtu kuwaza unavyotaka wewe.Chuki zako kwa CDM hazitazuia chama kujengwa na kushauriwa.
 
Kweli CHADEMA mmemchoka Zitto, yaani mmefikia hatua ya kumfanaisha huyo Heche na Zitto Kabwe?. Upeo wa Heche ni mdogo sana, nahisi na elimu yake ni ndogo sana kwa jinsi nilivyomuona last week kwenye kipindi kimoja ITV. Kuna tofauti ya mtu wa kuweza kuongoza na kuaminiwa na watu wenye busara zao na yule anayeweza kuwaconvice watu wa vijiweni na madereva wa bodaboda. Heche uwezo wake uko huko kwa madereva wa bodaboda, na he is not one among of the cream of this nation.
Kwa sisi wengine tusikuwa na vyama tubaki kuwaangilia tu upuuzi na ubinafsi wa CDM, sio muda mrefu mnapoteza dira, najua inauma ila ni vugumu kwa makuli, madereva bodaboda, watu vijiweni, kuchukua nchi huku middle class wa nchi wakiangalia tu, hata watu wa vijiweni wawe wengi namna gani, na wajitokeze wengi kupiga kura siku ya uchaguzi, kamwe hataweza kutawala, ndio itafanya vyombo kama jeshi kuchua nchi
CHADEMA andaeni tabaka na kuchua dola, siyo kila wakati maandamano, kumbukeni Popularism is not Democracy,
 
Ukibaraka wako usikufanye uwe kipofu.Mimi nimeleta pendekezo ambalo tayari viongozi wa chama wamelipokea.Wewe kinakuuma nini? Kwenye hoja yangu nimesema wazi kwanini nimeleta hili Pendekezo.Usitake kila mtu kuwaza unavyotaka wewe.Chuki zako kwa CDM hazitazuia chama kujengwa na kushauriwa.

Mimi na wewe nani anataka mwenzake awaze sawa navyotaka yeye? maana kuwa tofauti ya kimawazo na wewe basi jibu lako ni Gamba na kibaraka

na hapa janvini umelileta la nini? tuje kukupa like na kukupongeza?........may be i miss something in here
 
wewe ni kichwa cha wendawazimu,zitto apigwe chini kwa sababu ipi?

zitto,ni kibaraka wa ccm,hana nia ya dhati kukiondoa ccm madarakani,ndo maana anaambatana na JK katika safari zake:high5::high5:
 
Ukibaraka wako usikufanye uwe kipofu.Mimi nimeleta pendekezo ambalo tayari viongozi wa chama wamelipokea.Wewe kinakuuma nini? Kwenye hoja yangu nimesema wazi kwanini nimeleta hili Pendekezo.Usitake kila mtu kuwaza unavyotaka wewe.Chuki zako kwa CDM hazitazuia chama kujengwa na kushauriwa.

Hivi wewe una akili timamu kweli unatoa pendekezo Heche amrithi Zitto, huyo Heche ndio amekutuma kuja JF kumtafutia nafasi.
 
Hivi wewe una akili timamu kweli unatoa pendekezo Heche amrithi Zitto, huyo Heche ndio amekutuma kuja JF kumtafutia nafasi.

Wewe Gamba tulia unyolewe...! Wenye akili wameshachukua pendekezo langu.
 
Kwanini asipewe kamanda wa makanda,mkuu wa jeshi wa ardhini,mpigania haki,mpambanaji wa kweli,simba wa arusha, ex MP aka ex jambazi aka mzee wa bonet.
 
Kwanini asipewe kamanda wa makanda,mkuu wa jeshi wa ardhini,mpigania haki,mpambanaji wa kweli,simba wa arusha, ex MP aka ex jambazi aka mzee wa bonet.

A stupid thinking capacity.
 
Uwenyekiti hafai mpaka umchagulie unaibu katibu mkuu au kwa sababu kuna watu unaowapenda.
 
mkuu yule demu alitoa tamko kumpinga Heche alikuwa ametumwa na wale wahanga wa BAVICHA ambao huwa wanashinda fcbk kupiga majungu na soga alafu eti nao ni makamanda, lakini bado haibadilishi uwezo wa Heche kuwa jamaa ni jembe na anakubalika sana na anafaa zaidi japokuwa baadhi ya vijana uchwara wa CDM hawapendi kusikia hilo but still Heche ni dhahabu ndani ya CDM na hata kama akigomeba urais wa dunia sisi vijana wenzake tutampa kula.

Big up John Heche

Kweri muraaa.kilaza@work.
 
Back
Top Bottom