Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Kumbe mbowe mkwe wa mtei? Duh yaani baba mkwe alikuwa mwenyekiti akamuachi mkwe wake mbowe!!!? Nchi ya zaidi ya ya 40m population hakuonekana zaidi mkwewe tu? Mmmh maswali mengi kuliko majibu
Mkuu ulikuwa haulifahamu hilo,sasa wewe ulijua Mbowe kapata uenyekiti kwa kigezo gani? elimu,utashi wa siasa au kukubalika. Hana sifa hata moja kati ya hizo zilizomfanya kuwa kiongozi.Usistaajabu Heche akapewa nafasi ya Zitto kwa kuwa amekubali kulamba miguu ya Mbowe.
 
Nadhani sasa umekubaliana na hoja yangu kwamba heche ni msukule wa slaa!heche ni kichaa kama vichaa wengine,hana sera kazi yake ni kufokafoka na ndio maana tarime hawamtaki,

Anaishi mjini sababu ya chama na ndio maana hana maamuzi binafsi(msukule)
Hakuna mtu ataeshangaa pindi akapewa ukurugenzi pale makao makuu maana anamaliza mda wake mwakani.
Mleta mada anajaribu kupima kina cha bahari kwakutumia kijiti!
Hivi hamna raha mkiandika pumba zenu bila kumtaja rais ajae zitto kabwe?
Mnaonyesha jinsi gani anawanyima usingizi.
When you talk about zitto talk about presidential position ,zitto did not deserve to be deputy general secretary,thats why in 2009 he contested chairman position .
So your free to offer that position to your ghost john heche or anyone you want!
Hahahaa!poor mind!
Entired mind can not provide a wise decision!
 
Magamba wamealikana kila kona kuja kutoa mapovu hapa Jamvini.Viongozi wa CDM mnapaswa kugundua kitu hapa.
 
Juliana Shonza, halafu wewe una uwezo kuniambia nikae kimya humu JF sababu JF sio mali ya Chadema.

Molemo kakusahihisha vizuri sana Juliana Shonza siyo kiongozi wa Bawacha...!
 
wanajf,

kiongozi wa bavicha taifa john heche ni kati ya wanamapinduzi waliojitolea na kufanya kazi kubwa sana ya kupigiwa mfano.

Kila tunaposoma vyombo vya habari john heche anaripotiwa yuko vijijini kufungua mashina, ofisi na kuingiza wanachama wapya. Ni mwezi uliopita tu alikuwa mikoa ya nyanda za juu kusini na kuingiza maelfu ya wanachama.

Wiki hii mwanzoni alikuwa morogoro na leo yuko vijijini kagera akifanya kazi kubwa ajabu. Hata anapokuwa mapumzikoni dar john heche hatulii ofisini bali anazunguka kila kona ya dar akifanya mikutano na kuzindua mashina.

Ni wazi kabisa kwamba kiongozi anayependwa na nyota wa chama hicho kwa sasa katibu mkuu dr willibrod slaa amekuwa na majukumu mengi kiasi kwamba pengo la naibu katibu mkuu bara linaonekana wazi.

Naibu katibu mkuu zitto kabwe amekuwa na majukumu mengi ya kibunge kiasi kwamba anashindwa kumsaidia katibu mkuu majukumu yake.zitto awe tu mjumbe wa kamati kuu ambaye atakuwa hana majukumu ya kila siku ndani ya sekretariati.

Ninatoa mapendekezo kwa viongozi wa chama kwamba ikiwezekana katika uchaguzi wa sekretariati mpya mwakani john heche akabidhiwe mikoba ya zitto kabwe kwa ufanisi zaidi.ikumbukwe kutokana na majukumu mengi ya kibunge ya zitto ameshindwa karibu mara 4 mfululizo kuhudhuria vikao muhimu vya chama hicho vilivyotoa maamuzi mazito.

John heche ni jasiri, mpambanaji, anayefanya kazi usiku na mchana na aliyejitolea maisha yake kwa ajili ya chadema.

Hakika john heche ni jembe kwelikweli anayepaswa kupandishwa daraja zaidi.

Nawasilisha.

ni ushauri wa kupembua tu vema na wala sio ugomvi, hongera kwa ushauri wako nafikiri vyombo vinalifanyia kazi
 
WanaJF,

Kiongozi wa Bavicha Taifa John Heche ni kati ya wanamapinduzi waliojitolea na kufanya kazi kubwa sana ya kupigiwa mfano.

Kila tunaposoma vyombo vya habari John Heche anaripotiwa yuko vijijini kufungua mashina, ofisi na kuingiza wanachama wapya. Ni mwezi uliopita tu alikuwa mikoa ya nyanda za juu kusini na kuingiza maelfu ya wanachama.

Wiki hii mwanzoni alikuwa Morogoro na leo yuko vijijini Kagera akifanya kazi kubwa ajabu. Hata anapokuwa mapumzikoni Dar John Heche hatulii ofisini bali anazunguka kila kona ya Dar akifanya mikutano na kuzindua mashina.

Ni wazi kabisa kwamba kiongozi anayependwa na nyota wa chama hicho kwa sasa Katibu Mkuu Dr Willibrod Slaa amekuwa na majukumu mengi kiasi kwamba pengo la Naibu katibu mkuu Bara linaonekana wazi.

Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe amekuwa na majukumu mengi ya kibunge kiasi kwamba anashindwa kumsaidia Katibu mkuu majukumu yake.Zitto awe tu mjumbe wa Kamati kuu ambaye atakuwa hana majukumu ya kila siku ndani ya Sekretariati.

Ninatoa mapendekezo kwa viongozi wa chama kwamba ikiwezekana katika uchaguzi wa sekretariati mpya mwakani John Heche akabidhiwe mikoba ya Zitto Kabwe kwa ufanisi zaidi.Ikumbukwe kutokana na majukumu mengi ya kibunge ya Zitto ameshindwa karibu mara 4 mfululizo kuhudhuria vikao muhimu vya chama hicho vilivyotoa maamuzi mazito.

John Heche ni Jasiri, mpambanaji, anayefanya kazi usiku na mchana na aliyejitolea maisha yake kwa ajili ya CHADEMA.

Hakika John Heche ni jembe kwelikweli anayepaswa kupandishwa daraja zaidi.

Nawasilisha.

Heche anafaa kuchukua nafasi ya MBOWE au SLAA kabisa
 
ni ushauri wa kupembua tu vema na wala sio ugomvi, hongera kwa ushauri wako nafikiri vyombo vinalifanyia kazi

Nakushukuru mkuu wangu.Wala usijali kwani wote wanaotukana matusi hapa ni wafuasi wa Magamba.Kwa hiyo utagundua kwamba wafuasi wa magamba wanapinga ushauri huu kwa vile wanajua utawaumiza.Wanaelewa fika Dr Slaa atakuwa na msaidizi atakayelala vijijini huko kuimarisha chama huku Dr Slaa akitimiza majukumu makubwa ya kitaifa na kimataifa ndani ya chama huku akikiandaa chama kupokea madaraka kwa njia ya amani.
 
Nakushukuru mkuu wangu.Wala usijali kwani wote wanaotukana matusi hapa ni wafuasi wa Magamba.Kwa hiyo utagundua kwamba wafuasi wa magamba wanapinga ushauri huu kwa vile wanajua utawaumiza.Wanaelewa fika Dr Slaa atakuwa na msaidizi atakayelala vijijini huko kuimarisha chama huku Dr Slaa akitimiza majukumu makubwa ya kitaifa na kimataifa ndani ya chama huku akikiandaa chama kupokea madaraka kwa njia ya amani.
Hivi kumbe Slaa bado anasikika kwenye duru za siasa ya Tanzania?
 
Kazi anayoifanya Zitto kwa CDM inafananishwa na matap tap ya Heche?? Dah, kweli hapo hamna chama!
Neno mwanamapinduzi limepoteza maana sasa Heche naye ni mwanamapindunzi.

Linamfaa mzazi wako.
Mbona umeishiwa sera kiasi hiki? Kama asubuhi unachangia kwa mtindo huu,itakapofika mchana si utatukana matusi humu.
Comment with smile, epuka jazba!

Mkuu Imany John hawa Mapunga Zeze kama Rejao, Ritz na zomba wasikufanye uilmwe BANN, By then tumewashaur Moods ku review Namna hawa jamaa walivyo register JF, Ikiwezekana wapimwe akili zao kwanza,
Haiwezekani wawe everyday wanachangia Matope especially kwa Threads ambazo haziwahusu
 
Last edited by a moderator:
Photo0027.jpg hivi karibuni temeke photo(13).JPG photo(21).JPG photo(21).JPG sasa kagera MULEBA 283021_462529927119900_1385524454_n.jpg hivi karibuni mwenge DOGO ANATIMIZA KAZI AMBAYO VIJANA WALITEGEMEA WALLAH DOGO AKIENDELEA HIVI HILI NI JEMBE SAANA TATIZO VIJANA WENGI KWENYE CHAMA CHAO WANA HILA NA UKWAMISHAJI BADALA YA KUMPA NGUVU ILA DOGO KWA KWELI ANAFAA SANA KISIASA SABABU HANA UBWANA NA YUKO TAYARI SAANA KWA KAZI HUYU DOGO LEMA,MNYIKA,MREMA,WENJE,SUGU,NI HAZINA KUBWA ZA CHAMA KWA BAADA YA SLAA,MBOWE,KOMU, NA WENZAKE KUSTAAFU
 
View attachment 65835hivi karibuni temekeView attachment 65838View attachment 65839View attachment 65839sasa kagera MULEBAView attachment 65841hivi karibuni mwenge DOGO ANATIMIZA KAZI AMBAYO VIJANA WALITEGEMEA WALLAH DOGO AKIENDELEA HIVI HILI NI JEMBE SAANA TATIZO VIJANA WENGI KWENYE CHAMA CHAO WANA HILA NA UKWAMISHAJI BADALA YA KUMPA NGUVU ILA DOGO KWA KWELI ANAFAA SANA KISIASA SABABU HANA UBWANA NA YUKO TAYARI SAANA KWA KAZI HUYU DOGO LEMA,MNYIKA,MREMA,WENJE,SUGU,NI HAZINA KUBWA ZA CHAMA KWA BAADA YA SLAA,MBOWE,KOMU, NA WENZAKE KUSTAAFU

Mkuu nakushukuru sana sana kwa picha hizi.Mungu akubariki sana!
 
Mkuu Imany John hawa Mapunga Zeze kama Rejao, Ritz na zomba wasikufanye uilmwe BANN, By then tumewashaur Moods ku review Namna hawa jamaa walivyo register JF, Ikiwezekana wapimwe akili zao kwanza,
Haiwezekani wawe everyday wanachangia Matope especially kwa Threads ambazo haziwahusu

Mkuu nakushukuru sana.Eti mambo ya CDM wao Magamba ndiyo washauri.Nadhani viongozi na wanachama makini wamenielewa.
 
Last edited by a moderator:
Zito atabaki kua Zito 2 hao watoto wanajaribu kuinga nyenendo zake hamna cha Heche wala Mnyika

soma pendekezo toa hoja za kupinga ama kukubali usianze jazba mwishoni utataka na kupigana huu ni ushauri wa kujenga chama tu si kwamba ndio maamuzi unapoamua kuchangia jf epuka ufb
 
Back
Top Bottom