Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

A stupid thinking capacity.

Unamtukana nini sasa amemaanisha jambazi sugu aliepumzika baada yakupata ubunge,
Ingawaje yakuachishishwa ubunge amerudia katabia kake kwani hivi majuzi kakimbia na hela za m4c.
Si unajua wezi/majambazi mikono yao ina tabia yakuwasha wakipumzika wizi.
 
mkuu yule demu alitoa tamko kumpinga Heche alikuwa ametumwa na wale wahanga wa BAVICHA ambao huwa wanashinda fcbk kupiga majungu na soga alafu eti nao ni makamanda, lakini bado haibadilishi uwezo wa Heche kuwa jamaa ni jembe na anakubalika sana na anafaa zaidi japokuwa baadhi ya vijana uchwara wa CDM hawapendi kusikia hilo but still Heche ni dhahabu ndani ya CDM na hata kama akigomeba urais wa dunia sisi vijana wenzake tutampa kula.

Big up John Heche

Na wewe umetumwa na nani,kuwadi wa uzandiki wewe!mmezoea kutumuwa na wachagga basi unadhani kila mtu anatumiwa!
Subili siku yako ifike utupwe kama condom!
 
photo.JPG


heche1.JPG


Pichani ni katika mikutano mbalimbali inayoendeshwa na Mwenyekiti BAVICHA huko mkoani Kagera. Kijana huyu ameonyesha njia ya nini kinatakiwa sasa hivi kufanya badala ya kuhangaika na kulalakinia serikali kama Zitto afanyavyo.

Kwa mtazamo wangu afanyacho Zitto anataka serikali ya CCM ijirekebishe na hivyo kukosa uhalali wa kujenga hoja ya kuikosoa makosa yao wakati wa uchaguzi mkuu ujao, ndo maana naona viongozi wengi wa Chadema taifa hawako na ajenda za kulalamikia serikali au kuinyooshea vidole, ila kuwaelewesha wananchi.

Adui mkubwa wa CCM ni yule anayeingia vijijini kuwafungua akili wananchi, hawa wa kulalamika mjengoni hawainyimi serikali na CCM usingizi.

Zitto anatakiwa aelekeze nguvu huko kwenye kujenga chama matawini kama wenzake wanavyofanya. Kufanya afanyayo yamefanywa miaka nenda rudi na vyama vya upinzani kuanzia NCCM Mageuzi, CUF na vinginevyo bila kubadili sura ya wapiga kura kwa sababu hawakuingia kwenye source kubwa ya wapiga kura vijijini ambako CCM wamejichimbia kujihakikishia turufu ya kura kwenye uchaguzi mkuu.
 
Ni hoja nzuri kwa maslahi mapana ya chama.Naamini viongozi watalichukua pendekezo hili kwa umakini mkubwa.Hongera mkuu kwa lengo lako zuri la kuimarisha chama zaidi.

Wazo lako ni sahihi kwa wapuuzi na wazo kama hilo limewahi tolewa na dk slaa ndani ya kamati kuu kwamba mchumba yake (josephine mshumbusi) anafaa kuchukuwa nafasi ya mwasibu mkuu wa chadema ili achukue nafasi ya samson mwigamba lakini wajumbe wakamtosa lakini slaa akafanya hila mpaka mwigamba akatolewa pale makao makuu na akaona aibu kumuweka mchumba yake sababu wajumbe walisha anza kushout.
 
Zitto a.k.a mdogo wake Shibuda bado tunamhitaji CDM!! Teh teh teh teh teh teh teh teh!!
 
Kwa wanafuatilia siasa za Tz ni wachambuzi siyo washabiki take my words come 2015 Shibuda atakuwa raia wa kawaida mtaani na huo utakuwa mwisho wake wa safari ya kisiasa !! Hapo ndipo prons na cons za Magamba zitakapo kuwa peupe kwa watu wa dizaini ya Shibuda!
 
Kuna kipindi fulani Dk slaa alipeleka mapendekezo kamati kuu kwamba mchumba yake ambae ni josephine mushumbusi anafaa kuwa mwasibu mkuu wa chadema lakini wajumbe wakamtosa lakini wa fitna na majungu ya slaa akamuondoa samson mwigamba.
 
mkuu huyu demu alitumwa na wenzake kule fcbk so usipate shida kwani pia ukweli utabaki pale pale John Heche ni jembe wala huwezi kumlinganisha na yuel mzee kijana wa UVCCM Martin shigela.

Nasikia hata morogoro aliwatoa nishai makuwadi wa uzandiki heche(msukule wa slaa) na yule katibu wake anaongea kama demu fulani hivi,
Sijui ana matatizo gani!
 
Nasikia jamaa alikuwa anasugua disc pale bills ni kweli?
Jamaa mbaya kwenye kusugua santuri a.k.a chapati alitisha enzi hizo.Ulikuwa ukimkuta katupia shati la ujiuji vifungo kafungua pembeni ana kitaulo atawarusha mpaka majogoo.

 
Kuna kipindi fulani Dk slaa alipeleka mapendekezo kamati kuu kwamba mchumba yake ambae ni josephine mushumbusi anafaa kuwa mwasibu mkuu wa chadema lakini wajumbe wakamtosa lakini wa fitna na majungu ya slaa akamuondoa samson mwigamba.
Kwani hata Komu si alikuwa mtunza fedha wa Keys hoteli ya Ndesamburo unashangaa hayo CDM.
 
molema nazani unajua kwamba mdogo wa heche ni houseboy wa mbowe.
 
Kwani hata Komu si alikuwa mtunza fedha wa Keys hoteli ya Ndesamburo unashangaa hayo CDM.

Du!mpaka huu mwaka uishe tutasikia mengi!nilikuwa sijui
Nasikia john mrema a.k.a.molemo alikuwa mwalimu wa nyumbani wa mtoto wa ndesamburo
 
Watu wa kaskazini hamumtaki zito kwani mnajua anakubalika katika urais na ndio maana hamkosi sababu kila kukicha. Hivi umaarufu wa zito unaweza ukafananisha na nani hapo chadema
 
Nakushukuru sana mkuu kunisaidia kunyoosha maelezo.Wala sijasema Zitto hafai bali amezidiwa na majukumu ya kibunge.Nafasi ya Naibu Katibu mkuu inapaswa kukabidhiwa kwa mtu asiye na majukumu zaidi ya hilo moja tu la kukisambaza chama kila kona ya nchi.

Mkuu hujui kuwa Heche anataka ubunge Tarime? akishinda (amd most likely atashinda) si yatakuwa yale yale ya Zzk
 
Heche ni muziki mwingine kabisa mkuu; kwake yeye manenomaneo 19% ila kwa utendaji kazi uliotukuka ni 91%.

Hata siku moja mtu asidhani kwamba hatuwaoni hawa wana-CDM wanaokesha wakijituma kila leo kwa faida ya WaTanzania wote lakini bila kujikweza kila leo kwenye vyombo vya habari pasipo na ulazima.

Huyu kijana anastahili promotion kwa maoni yetu sisi tunaowatazameni huku nje ya uwanja.
 
Naamini kabisa kuna watu wanatumiwa humu ndani kwa makusudi mazima ya kuhakikisha Zitto Kabwe anakuwa mchafu daima ndani ya CDM, na haiishii hapa tu hata baadhi ya magazeti yanafanya juhudi hizo pia

Na Zitto hachafuliwa kwa bahati mbaya, HAPANA..... huu ni mpango mkakati baada ya kuonekana Zitto amekuwa tishio kwa ''wenye'' CDM yao.Maana kwa kadiri mambo yanvyozidi kwenda ndivyo ninavyo shindwa kutofautisha sakata la marehemu Wangwe na CDM kwa ujumla na hili analoandamwa nalo Zitto Kabwe

Toka Zitto amechukua na kugombea uenyekiti wa CDM na sakata zima hadi kuja kuzimwa basi amejitengenezea maadui wakubwa ndani ya CDM, na kama una akili timamu basi pasi na shaka utaelewa ni kundi la uongozi wa juu ndilo hasa lenye uhasama na zitto kabwe

Hivi sasa Zitto anatengenezewa picha ya msaliti, mroho wa madaraka nk nk kwasababu tu naamini ndani ya CDM ni wachache sana wanaoweza kusimama na kusimamia hoja zao ndani ya chama na si matakwa ya "wenye chama" wanavyotaka

Na hii ndio kila chaguzi ndani ya chama wele wenye kufuata matakwa ya wenye chama huwa tofauti na wenye fikra huru za kidemorasia ndani ya chama(akina zitto) na kufanya makundi ya Mbowe(wenye chama) na Zitto(fikra huru)

Tuhuma zote anazotuhumiwa Zitto humu kama kula bata na mukulu na kutooneka kwenye M4C nk hazina ukweli wowote, kwa kadri nijuavyo chama kinapanga kila kitu na si watu wanajipeleka kama unakwenda sokoni, safari zote za Zitto zinajulikana CDM na zinakwenda kwa mujibu wa nafasi zake.
Kama madai hayo yanaukweli mbona makao makuu au viongozi hawasemi chochote juu ya hilo

Wale wote mnaotumiwa katika hili mnatakiwa kufahamu kitu kimoja muhimu sana, mnajenga na kuyapa uhai na nguvu madai ya wapinzani wa CDM kuwa wadini na wakanda
Kwamba wale wote wanaoonekana wanakuwa tishio dhidi ya wa watu wa ukanda fulani basi wanapikiwa zengwe kama inavyotoke kwa mh Zitto Zuberi Kabwe

Just my opinion

We fallla hujui CHADEMA kaa kimya mbbwa kokko ww.
 
Back
Top Bottom