Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Boss alimpa kwa huruma maana mdogo wa heche ambae ni chacha heche(houseboy wa mbowe)alipiga sana kazi 2010 kule Hai mpaka akahakkisha mbowe anakuwa mbunge.vp chacha Heche bado anatumia ile gari ya mbowe au kashampola maana wachaga kwa kutumia maboya ni noma sana.

mkuu fauster! Usiku mwema.
 
Mzee Mwenyekiti wa Chama hawezi kupangiwa majukumu yake na Sekretarieti kama ni hivyo ndani ya CDM basi katiba ina matatizo.Kazi ya Baraza Kuu ni nini? Ama Kamati Kuu ambayo imekasimishwa Mamlaka yake na Baraza Kuu kwa baadhi ya mambo inajukumu gani???.

Ninachokifahamu mimi Sekretarieti ni engine ya utendaji na ufanya kazi chini ya Katibu Mkuu ambaye ni Mtendaji na Msaidizi Mkubwa wa Mwenyekiti.Vile vile kazi za Mwenyekiti lazima zionyeshwe ndani ya Katiba pamoja na viongozi wengine.Hii ni Katiba inayopitishwa na Baraza Kuu ama Mkutano Mkuu.

Kwa muundo huu Sekretarieti uagizwa kutekeleza majukumu yake toka kwa Mwenyekiti ama Kamati Kuu na pengine Baraza na kuwasilisha taarifa ya utekeleza.Hili la kumpangia Mwenyekiti majukumu ni geni labda useme kumuandalia Agenda za Vikao ili aweze kuendesha vikao baada ya Agenda kupitishwa na wajumbe.

Lema anaingia vikao vya kamati kuu na kujiita ni mjumbe wa kamati kuu kwa sababu mbowe ni binamu wake na anaendesha M4C ili apate pesa ya kujikimu maana mpwa kachoka mbaya baada ya kuporwa ubunge.
 
mkuu fauster! Usiku mwema.

Mwakani mkwe wa mbowe hatasikilizwa tena mbowe na slaa hana chake ndani ya chadema lazima tubadilishe ukanda na ukabila maana tumechoka na huo ubaguzi yaani mpaka madeleva wa makao makuu ni wachaga watupu hii haikubaliki hata siku moja.
 
Heche anafaa kuachiwa Ubunge wa Tarime. Mwita Waitara na Esta Matiko watafutiwe majimbo mengine ili kutomvunja moyo kamanda

Heche anafaa kuwa kuwadi wa mbowe 2013 maana jamaa atakuwa na stress sana mwakania atakovyokuwa anaoga uenyekiti na vp mnaendelea kumuandaa Lema kuwa mwenyekiti wenu wa cdm taifa?kazi njema ila mtaona nguvu ya umma inavyoshinda uongozi maslahi binafsi wa mbowe.
 
WanaJF,

Kiongozi wa Bavicha Taifa John Heche ni kati ya wanamapinduzi waliojitolea na kufanya kazi kubwa sana ya kupigiwa mfano.

Kila tunaposoma vyombo vya habari John Heche anaripotiwa yuko vijijini kufungua mashina, ofisi na kuingiza wanachama wapya. Ni mwezi uliopita tu alikuwa mikoa ya nyanda za juu kusini na kuingiza maelfu ya wanachama.

Wiki hii mwanzoni alikuwa Morogoro na leo yuko vijijini Kagera akifanya kazi kubwa ajabu. Hata anapokuwa mapumzikoni Dar John Heche hatulii ofisini bali anazunguka kila kona ya Dar akifanya mikutano na kuzindua mashina.

Ni wazi kabisa kwamba kiongozi anayependwa na nyota wa chama hicho kwa sasa Katibu Mkuu Dr Willibrod Slaa amekuwa na majukumu mengi kiasi kwamba pengo la Naibu katibu mkuu Bara linaonekana wazi.

Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe amekuwa na majukumu mengi ya kibunge kiasi kwamba anashindwa kumsaidia Katibu mkuu majukumu yake.Zitto awe tu mjumbe wa Kamati kuu ambaye atakuwa hana majukumu ya kila siku ndani ya Sekretariati.

Ninatoa mapendekezo kwa viongozi wa chama kwamba ikiwezekana katika uchaguzi wa sekretariati mpya mwakani John Heche akabidhiwe mikoba ya Zitto Kabwe kwa ufanisi zaidi.Ikumbukwe kutokana na majukumu mengi ya kibunge ya Zitto ameshindwa karibu mara 4 mfululizo kuhudhuria vikao muhimu vya chama hicho vilivyotoa maamuzi mazito.

John Heche ni Jasiri, mpambanaji, anayefanya kazi usiku na mchana na aliyejitolea maisha yake kwa ajili ya CHADEMA.

Hakika John Heche ni jembe kwelikweli anayepaswa kupandishwa daraja zaidi.

Nawasilisha.

Sijawahi ona mkulya kuhadi wa wachaga kama heche toka kipindi cha marehemu chacha wangwe japo alisurubiwa ili mbowe awe mwenyekiti wa chadema.
 
Yawezekana kazi anayofanya heche isiwe na thamani sana kwako ila kwa chama chake na kwa wanachama ni lulu.

Kazi anazozifanya zito kwa sasa zina manufaa sana kwa chama na kwa Tanzania kwa ujumla.

Kila mwanachama wa CDM kwa wakati huu wa kikuimarisha chama anapaswa kuyafanya kila awezalo kuwatia nguvu Heche na Zito kabwe pia.

Kwa wana jembe na nyundo hii kwao ni misamiati............

Tafakari .....................chukua hatua..........................Vua gamba ........................vaa uzalendo..............

Heche anafanya kazi kwa maslahi ya mbowe alie mpangishia chumba mabibo.
 
Heche ni muziki mwingine kabisa mkuu; kwake yeye manenomaneo 19% ila kwa utendaji kazi uliotukuka ni 91%.

Hata siku moja mtu asidhani kwamba hatuwaoni hawa wana-CDM wanaokesha wakijituma kila leo kwa faida ya WaTanzania wote lakini bila kujikweza kila leo kwenye vyombo vya habari pasipo na ulazima.

Huyu kijana anastahili promotion kwa maoni yetu sisi tunaowatazameni huku nje ya uwanja.

Chadema bana ! yaani mnampambanisha Zito na Heche !? Dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu ! huoni haya kula nyama ya mwanao !
 
Ukiona wafuasi wa Magamba hapa jamvini wameitana kila kona kuja jamvini kupinga hoja hii basi ujue ni Pendekezo muafaka kabisa.Hakuna Pendekezo lolote jema kwa CDM magamba wataliunga mkono hapa jamvini.Nawashauri viongozi wenye nafasi CDM wanaopita hapa jamvini wachukulie pendekezo hili kwa umakini mkubwa.Kazi kubwa ya kujenga chama inayofanywa na John Heche ni Shetani tu anaweza kupinga.Naamini ni suala la muda tu utaamua jambo hili kwa maslahi mapana ya CDM.
halafu wala si wengi ni wawili ama watatu kikubwa wana ac nyingi na kila moja anakot mwenzake wanajaza page pumba kibao matusi saana ila mi nasikitika mdogo wangu ZITTO kwa nini apendwe na hawa jamaa!!!!! mungu ongeza nguvu uilinde chadema dhidi ya maadui wa ndani na nje
 
photo.JPG

Heche ni muziki mwingine kabisa mkuu; kwake yeye manenomaneo 19% ila kwa utendaji kazi uliotukuka ni 91%.

Hata siku moja mtu asidhani kwamba hatuwaoni hawa wana-CDM wanaokesha wakijituma kila leo kwa faida ya WaTanzania wote lakini bila kujikweza kila leo kwenye vyombo vya habari pasipo na ulazima.

Huyu kijana anastahili promotion kwa maoni yetu sisi tunaowatazameni huku nje ya uwanja.

Chadema bana ! yaani mnampambanisha Zito na Heche !? Dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu ! huoni haya kula nyama ya mwanao !
 
Ni hoja nzuri kwa maslahi mapana ya chama.Naamini viongozi watalichukua pendekezo hili kwa umakini mkubwa.Hongera mkuu kwa lengo lako zuri la kuimarisha chama zaidi.

Kama walivyokupa ukurugenzi wa halmashauri na bunge wakati hata kuwa mwenyekiti wa mtaa wa vunjo hujawahi!
 
photo.JPG

Heche ni muziki mwingine kabisa mkuu; kwake yeye manenomaneo 19% ila kwa utendaji kazi uliotukuka ni 91%.

Hata siku moja mtu asidhani kwamba hatuwaoni hawa wana-CDM wanaokesha wakijituma kila leo kwa faida ya WaTanzania wote lakini bila kujikweza kila leo kwenye vyombo vya habari pasipo na ulazima.

Huyu kijana anastahili promotion kwa maoni yetu sisi tunaowatazameni huku nje ya uwanja.
 
halafu wala si wengi ni wawili ama watatu kikubwa wana ac nyingi na kila moja anakot mwenzake wanajaza page pumba kibao matusi saana ila mi nasikitika mdogo wangu ZITTO kwa nini apendwe na hawa jamaa!!!!! mungu ongeza nguvu uilinde chadema dhidi ya maadui wa ndani na nje

Huwa wanakutana mamba club baada ya M4C.
 
Boss alimpa kwa huruma maana mdogo wa heche ambae ni chacha heche(houseboy wa mbowe)alipiga sana kazi 2010 kule Hai mpaka akahakkisha mbowe anakuwa mbunge.vp chacha Heche bado anatumia ile gari ya mbowe au kashampola maana wachaga kwa kutumia maboya ni noma sana.

Mfumo wa kubebana haupo,mbowe hajawa mbunge 2010 pekee, unataka kuwadanganya watu bila kaka yake heche kupiga kampeni mr mbowe angepigwa chini? Je 2000~2005 ubunge alipewa na nani?

Unavoamini eti ubunge wa mbowe haukutoka kwa wananchi? Jikaze we mtoto utachumbiwa!
 
Back
Top Bottom