Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

photo.JPG

Heche ni muziki mwingine kabisa mkuu; kwake yeye manenomaneo 19% ila kwa utendaji kazi uliotukuka ni 91%.

Hata siku moja mtu asidhani kwamba hatuwaoni hawa wana-CDM wanaokesha wakijituma kila leo kwa faida ya WaTanzania wote lakini bila kujikweza kila leo kwenye vyombo vya habari pasipo na ulazima.

Huyu kijana anastahili promotion kwa maoni yetu sisi tunaowatazameni huku nje ya uwanja.

Asante sana mkuu.Umenena vema sana.
 
hivi mbona una dharau sana we msomi mav*?
Kwani Boda boda na vijiweni sio watz??

poor you!umeishiwa hoja umebaki kutukana humu,
Watoto wa uswshilini mna matatizo sana.
Una akili fupi kama kidole chako cha mwisho!
Huna hadhi hata yakulitaja jina la zitto,rais ajae.
Bora kuwa fukara wa maisha kuliko kuwa fukara wa akili kama wewe.
Umezoea kucheza mnanda na viduku.
Poor u.
Hopeless
Nonsense
 
Mfumo wa kubebana haupo,mbowe hajawa mbunge 2010 pekee, unataka kuwadanganya watu bila kaka yake heche kupiga kampeni mr mbowe angepigwa chini? Je 2000~2005 ubunge alipewa na nani?

Unavoamini eti ubunge wa mbowe haukutoka kwa wananchi? Jikaze we mtoto utachumbiwa!

Acha kukurupuka wewe,soma vizuri kilichoandikwa na faustine!
 
halafu wala si wengi ni wawili ama watatu kikubwa wana ac nyingi na kila moja anakot mwenzake wanajaza page pumba kibao matusi saana ila mi nasikitika mdogo wangu ZITTO kwa nini apendwe na hawa jamaa!!!!! mungu ongeza nguvu uilinde chadema dhidi ya maadui wa ndani na nje

na nyinyi mko wangapi,?tunampenda zitto sababu ndie kiongozi pekee anaewexa kulikomboa taifa hili.
 
photo.JPG

heche1.JPG

Pichani ni katika mikutano mbalimbali inayoendeshwa na Mwenyekiti BAVICHA huko mkoani Kagera. Kijana huyu ameonyesha njia ya nini kinatakiwa sasa hivi kufanya badala ya kuhangaika na kulalakinia serikali kama Zitto afanyavyo.

Kwa mtazamo wangu afanyacho Zitto anataka serikali ya CCM ijirekebishe na hivyo kukosa uhalali wa kujenga hoja ya kuikosoa makosa yao wakati wa uchaguzi mkuu ujao, ndo maana naona viongozi wengi wa Chadema taifa hawako na ajenda za kulalamikia serikali au kuinyooshea vidole, ila kuwaelewesha wananchi.

Adui mkubwa wa CCM ni yule anayeingia vijijini kuwafungua akili wananchi, hawa wa kulalamika mjengoni hawainyimi serikali na CCM usingizi.

Zitto anatakiwa aelekeze nguvu huko kwenye kujenga chama matawini kama wenzake wanavyofanya. Kufanya afanyayo yamefanywa miaka nenda rudi na vyama vya upinzani kuanzia NCCM Mageuzi, CUF na vinginevyo bila kubadili sura ya wapiga kura kwa sababu hawakuingia kwenye source kubwa ya wapiga kura vijijini ambako CCM wamejichimbia kujihakikishia turufu ya kura kwenye uchaguzi mkuu.

Mkuu Candid Scope umeupitia huu uzi wa mwenzako https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/327840-pendekezo-john-heche-amrithi-zitto-kabwe.html

Swali; why Heche vs Zitto? na sio Heche vs wengine au Zitto vs wengine

Kunawatu humu ndani wanatuhumiwa kulipwa na Nape kufanya kazi fulani, sasa je na ninyi mnalipwa na nani kufanya nini?
 
Last edited by a moderator:
Kama walivyokupa ukurugenzi wa halmashauri na bunge wakati hata kuwa mwenyekiti wa mtaa wa vunjo hujawahi!

Hahahaa!huyo molemo ndio yule tetea wa vunjo?aliepata kura 2000?alieshindwa na mzee mrema(jogoo wa vunjo)tokea hapo nilimdharau sana yule kijana.
Kazi yake akiwa bungeni ni kubeba mikoba ya waheshimiwa,pamoja nakuwapiga mizinga wabunge wa viti maalumu.
Nasikia wanamuita matonya sikuhizi.
Kana tabia ya kikuwadi na kujifanya kajuaji mda wote kumbe kiboko yake ni mzee mrema.
Nasikia kanajiita kakurugenzi ,mwakani mjiandae kurudi kibororoni,mwika,vishumundu na kwingineko.maana kitakachowapata mtakiona.
Wenyewe mtakimbia mji huu!
Hahahaa!molemo a.k.a ant zitto,a.k.a jack chapombe,a.k.a kura 2000,a.k.a wamizinga,a.k.a kuwadi,a.k.a mbeba mabegi na mikoba ya wabunge viti maalumu.
Chamoto utakipata kijana!
 
This topic is very interesting!! Zitto Kabwe sometime back snubbed Jamii Forums following smear campaigns from his political opponents in and out of his party. However, Zitto is back in JF and he has been putting very interesting posts and comments. In those discussions, those myopic opponents of him failed to show up as the subjects are farbeyond their comprehensions!! Few have dared to contribute, others started with opposing him just as usual and ended agreeing with him and others continued to attack him as well! However, political wind of many contributors seem to blow on his side.

Then we see this thread blaming Zitto for being aloof on many party activities because 'he is busy with bunge issues'. I wonder, has hon Said Arfi, MP, managed to attend all party proceedings? Has Hon Freeman Mbowe, MP, managed to attend all meetings? Recently there was a CC meeting of CHADEMA that suspended 2 councilors of Mwanza, was Mbowe present? Wasn't he in the US? What about John Mnyika? What about Tundu Lissu? Arent they Directors? Are performances of all these not affected by being Wabunge? Now why single out Zitto Kabwe only? This is ridiculous! Unless we hear the Secretary General of CHADEMA complains about his right-hand man's absence then we will know there are problems, if not, it seems are arrangement are in place when Zitto is away!!

Je ni walewale wapinzani wake kisiasa? ni walewale wenye hoja chakavu juu yake zisizo na uthibnitisho zaidi ya nimesikia, inadaiwa na inasemekana?

Lastly, Haven't we heard that Heche will vie for the Tarime constituency come 2015? Na yeye hatalemewa kwa majukumu ya kibunge? au huko ataenda kuwa mzigo kama Shibuda na Selasini ?
 
Kama alivyo uwawa chacha zakayo wangwe!

Sahihisha mkuu sio kama alivyouawa,sema kama mlivyomuua chacha wangwe.
Ila kwa zitti mmegonga mwamba vinginevyo nae ingebaki story kama ya wangwe!
Siku babu slaa au mbowe akiwa rais kamanda wangwe atafufuka!
Na kale kakatibu ka bavicha ,kale kanaongea kama kademu ,kanajiita kamunishi nasikia kametumwa na babu slaa eti wamuue kabisa kisiasa makamu mwenyekiti bavicha shonza.
Sasa kwa tafsiri ingine mkiishindwa kumuua kisiasa kama munishi alivyobabwa akisuka njama hiyo basi njia pekee ni kumuua kimwili,maana ukimuua mtu kimwili basi hat siasa yake ndo mwisho.
Kama ilivyofanyika kwa kamanda wangwe.
Sasa mkaambie shonza anakaburuta mahakamani sio mda mrefu.
tunalalama ccm ikishilikiana na jeshi la polisi inauwa wenyeji wa mbeya kina mwangosi ,mwakyembe,mwandosya wamenusurika kumbe na nyinyi wakaskazini cdm mmepanga kummaliza juliana!
You will going to pay for this!
Hopeless!
 
Mkuu umenifurahisha kwa mapointi yako uliyomwaga hapa..

Ona akili zingine hizi,yaani kwako pumba ndo point!huyu ndo mkurugenzi wa nini vile nikumbusheni jamani.

Mkurugenzi wa vilaza?yah ndio yeye.

Kilaza mwingine@work
 
Mbowe anasomesha mtoto chekechea kwa milion 15 vp wewe unakulipa sh ngapi kwa kazi ya chadema TV?
Kula posho bwamdogo maana mwakani huna chako ila boss wako analijua hilo.

Chadema tv ni mdudu au?mbona haijawahi onekana wala kusikika popote?
Kwahiyo haka kajitu shardcore ndo kanapatia ulaji humo?ndo maana kanatokwa povu sana.
Zingatia ushauri huo kula viposho ivo maana gharuka yaja mwakani.
Uchaguzi pumzisha wachagga cdm
 
WanaJF,

Kiongozi wa Bavicha Taifa John Heche ni kati ya wanamapinduzi waliojitolea na kufanya kazi kubwa sana ya kupigiwa mfano.

Kila tunaposoma vyombo vya habari John Heche anaripotiwa yuko vijijini kufungua mashina, ofisi na kuingiza wanachama wapya. Ni mwezi uliopita tu alikuwa mikoa ya nyanda za juu kusini na kuingiza maelfu ya wanachama.

Wiki hii mwanzoni alikuwa Morogoro na leo yuko vijijini Kagera akifanya kazi kubwa ajabu. Hata anapokuwa mapumzikoni Dar John Heche hatulii ofisini bali anazunguka kila kona ya Dar akifanya mikutano na kuzindua mashina.

Ni wazi kabisa kwamba kiongozi anayependwa na nyota wa chama hicho kwa sasa Katibu Mkuu Dr Willibrod Slaa amekuwa na majukumu mengi kiasi kwamba pengo la Naibu katibu mkuu Bara linaonekana wazi.

Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe amekuwa na majukumu mengi ya kibunge kiasi kwamba anashindwa kumsaidia Katibu mkuu majukumu yake.Zitto awe tu mjumbe wa Kamati kuu ambaye atakuwa hana majukumu ya kila siku ndani ya Sekretariati.

Ninatoa mapendekezo kwa viongozi wa chama kwamba ikiwezekana katika uchaguzi wa sekretariati mpya mwakani John Heche akabidhiwe mikoba ya Zitto Kabwe kwa ufanisi zaidi.Ikumbukwe kutokana na majukumu mengi ya kibunge ya Zitto ameshindwa karibu mara 4 mfululizo kuhudhuria vikao muhimu vya chama hicho vilivyotoa maamuzi mazito.

John Heche ni Jasiri, mpambanaji, anayefanya kazi usiku na mchana na aliyejitolea maisha yake kwa ajili ya CHADEMA.

Hakika John Heche ni jembe kwelikweli anayepaswa kupandishwa daraja zaidi.

Nawasilisha.

Huu upuuzi niliuona CCM, kumbe hata huku upo? We still have a long way to goooo
 
Nadhani umefika wakati uongozi wa CDM kuwa na mikakati ya kupambana na sredi za kuchonganisha viongozi kama hii! Hakuna kipindi uongozi unatakiwa kuwa na busara na hekima kama sasa! Ni ujinga na upuuzi kuanzisha sredi za kuchafuana mambo yasiyokua na maana yoyote. Binafsi naanza kuamini kuna viongozi na wanaCDM ambao wanatumia mitandao kuwachafua baadhi ya viongozi!
 
Mkuu Candid Scope umeupitia huu uzi wa mwenzako https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/327840-pendekezo-john-heche-amrithi-zitto-kabwe.html

Swali; why Heche vs Zitto? na sio Heche vs wengine au Zitto vs wengine

Kunawatu humu ndani wanatuhumiwa kulipwa na Nape kufanya kazi fulani, sasa je na ninyi mnalipwa na nani kufanya nini?

paulss
Achana na hao, sisi wengine ni mahiri katika uchambuzi, na tumeshawahi kuwa na uzoefu katika vyombo vya kimataifa. Nafasi niliyofanya katika moja ya magazeti ya Marekani katika kipindi cha uchaguzi wa Bush nikiwa mwanafunzi huko nilipata kujifunza mengi ambayo waandishi tunatakiwa kufanya tofauti na tufanyavyo Tanzania.

Waandishi na vyombo vingi vya habari Tanzania kinachofanyika zaidi ni uhabarishaji, lakini uchambuzi katika mambo kama ninayofanya ni wachache sana, na ndio maana wanahitimisha kwamba unafanya kwa kulipwa na fulani. Vyombo vingi vinawoga, waandishi wengi wanafanya kazi zao kwa wasiwasi na kujaa woga. Woga huo ndio unaotumiwa na watawala kuwapumbaza kwa bahasha za kaki na kuishia kunyamazia habari muhimu.

Umegundua habari moja muhimu sana ya kuhusu
mauaji ya Mwangozi ambayo Umoja wa nchi za Ulaya wameishuku Tanzania na kutaka haki itendeke kwa uwazi na uchunguzi uwe kwa uwazi na wahusika wachukuliwe hatua, utaona habari hiyo imenywea kabisa katika vyombo vyote vya habari, ni IPP tu ndio waliotoka kifua mbele katika hili. Huu ndio uanahabari wa Tanzania.

Unaweza kukumbuka mada kadhaa nyingi ambazo nilizileta kuhusu utendaji wa Mbunge Filikunjombe, wengi walinituhumu kuwa:
  • Filikunjombe mwenyewe anajitangaza
  • Nafanya kazi ya kumtangaza kwa malipo
Ukweli umekuja kujithihirika baada ya wengi kujua undani wa Mbunge huyo na sasa kauli zile zimepotea baada ya kusoma ukweli.

Tulio na uwezo wa kuchambua mambo haya tunatakiwa tujitahidi ili kuwaelimisha watanzania wengi ambao bado wanamwangalia mtu kwa upande mmoja tu bila kuangalia pande zote, matatizo ndiyo yanajitokeza mtu akishashika madaraka na kujutia, lakini kasoro tunazoziona na kuwatahadhalisha hawazioni na kuishia kuwa majuto ni mjukuu.

Hata vyombo vingi vya habari utakuta wanapomwita mhusika au kukutanisha jopo la watu kujadili jambo fulani, utakuta maswali muhimu ya msingi hayaulizwi ambayo hata mwanafunzi wa shule ya msingi angeweza kuuliza, na hivyo kukosa uwazi wa tukio na kukosa kupata msimamo na ukweli wa kitu halisi kutoka kwa wahusika. Hapo ndio utakapoona udhaifu huu wanautumia kujibu kwa majigambo na bila wasiwasi kwa vile hakuna wa kuwanyooshea vidole.
 
mkuu upo juu,,,,
usife moyo do the tell bro
 
WanaJF,

Kiongozi wa Bavicha Taifa John Heche ni kati ya wanamapinduzi waliojitolea na kufanya kazi kubwa sana ya kupigiwa mfano.

Kila tunaposoma vyombo vya habari John Heche anaripotiwa yuko vijijini kufungua mashina, ofisi na kuingiza wanachama wapya. Ni mwezi uliopita tu alikuwa mikoa ya nyanda za juu kusini na kuingiza maelfu ya wanachama.

Wiki hii mwanzoni alikuwa Morogoro na leo yuko vijijini Kagera akifanya kazi kubwa ajabu. Hata anapokuwa mapumzikoni Dar John Heche hatulii ofisini bali anazunguka kila kona ya Dar akifanya mikutano na kuzindua mashina.

Ni wazi kabisa kwamba kiongozi anayependwa na nyota wa chama hicho kwa sasa Katibu Mkuu Dr Willibrod Slaa amekuwa na majukumu mengi kiasi kwamba pengo la Naibu katibu mkuu Bara linaonekana wazi.

Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe amekuwa na majukumu mengi ya kibunge kiasi kwamba anashindwa kumsaidia Katibu mkuu majukumu yake.Zitto awe tu mjumbe wa Kamati kuu ambaye atakuwa hana majukumu ya kila siku ndani ya Sekretariati.

Ninatoa mapendekezo kwa viongozi wa chama kwamba ikiwezekana katika uchaguzi wa sekretariati mpya mwakani John Heche akabidhiwe mikoba ya Zitto Kabwe kwa ufanisi zaidi.Ikumbukwe kutokana na majukumu mengi ya kibunge ya Zitto ameshindwa karibu mara 4 mfululizo kuhudhuria vikao muhimu vya chama hicho vilivyotoa maamuzi mazito.

John Heche ni Jasiri, mpambanaji, anayefanya kazi usiku na mchana na aliyejitolea maisha yake kwa ajili ya CHADEMA.

Hakika John Heche ni jembe kwelikweli anayepaswa kupandishwa daraja zaidi.

Nawasilisha.

Definitely yes!!!
 
Back
Top Bottom