Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Siasa kweli imevamiwa na vichaa, kama majangiri yanapewa sifa zote hizi basi huko mbeleni sifa ya uongozi itakuwa lazima upitie ujambazi kwanza.
 
usimhusishe mzazi wake hana kosa mu attack huyu kilaza mwenyewe, maana mzazi wake hawezi kujibu ila huyu kilaza anaweza maana yupo hapa!

Wachana nae huyo akili zake ni sawa na kabati lililokosa vyombo!
 
Vijana wa Slaa na Mbowe wako kazini kummaliza Zitto, hawa wazee wanataka kufuta kabisa upinzani. Pingamizi kabaki ni huyu kijana wengine wote ni njaa tu.
 
Zitto Kabwe watu wa Kaskazini hawakutaki kuna thread zaidi ya nne zote utakiwi.
 
binafsi huyu zito simtaki kabisa yani, anapenda umaarufu wa vyombo vya habari but hataki kushiriki kwenye M4C.kwan yeye peke yake ndo amekitoa chama mbali? even so, so wat??? anaona heche anapiga kazi, anakubalika kwa vijana makini, then anaanza kuchonga.hivi hamna protocal za kufata kichama tumpige chini awe mbunge wa mahakama kama wenzie?? huyu jamaa ni gamba 4 sure na kadri tunavyozidi kumwacha anazidi kugawa vijana ndani ya chama while tunatakiwa tuungane dhidi ya adui no.1 ccm aka magamba
 
Mimi nashangaa hawa magamba, wanachadema wao wanapendekeza ni nani anaweza kuwa naibu, wao kwa umoja wao akina Rejeo. Ritz na ...basi yamekuwa yao. kwa sasa chadema ina hazina ya viongozi. Huyo ni Heche tu, wapo wengi ambao hawajapewa nafasi, subiri time will u, songa mbele J. heche mpaka kieleweke.

Mkuu nakushukuru sana.Hawa Magamba wanajua Heche akikabidhiwa mikoba ya kumsaidia Dr Slaa basi wanajua fika hawatasalimika.Heche ni Jembe kweli kweli.
 
Naamini kabisa kuna watu wanatumiwa humu ndani kwa makusudi mazima ya kuhakikisha Zitto Kabwe anakuwa mchafu daima ndani ya CDM, na haiishii hapa tu hata baadhi ya magazeti yanafanya juhudi hizo pia

Na Zitto hachafuliwa kwa bahati mbaya, HAPANA..... huu ni mpango mkakati baada ya kuonekana Zitto amekuwa tishio kwa ''wenye'' CDM yao.Maana kwa kadiri mambo yanvyozidi kwenda ndivyo ninavyo shindwa kutofautisha sakata la marehemu Wangwe na CDM kwa ujumla na hili analoandamwa nalo Zitto Kabwe

Toka Zitto amechukua na kugombea uenyekiti wa CDM na sakata zima hadi kuja kuzimwa basi amejitengenezea maadui wakubwa ndani ya CDM, na kama una akili timamu basi pasi na shaka utaelewa ni kundi la uongozi wa juu ndilo hasa lenye uhasama na zitto kabwe

Hivi sasa Zitto anatengenezewa picha ya msaliti, mroho wa madaraka nk nk kwasababu tu naamini ndani ya CDM ni wachache sana wanaoweza kusimama na kusimamia hoja zao ndani ya chama na si matakwa ya "wenye chama" wanavyotaka

Na hii ndio kila chaguzi ndani ya chama wele wenye kufuata matakwa ya wenye chama huwa tofauti na wenye fikra huru za kidemorasia ndani ya chama(akina zitto) na kufanya makundi ya Mbowe(wenye chama) na Zitto(fikra huru)

Tuhuma zote anazotuhumiwa Zitto humu kama kula bata na mukulu na kutooneka kwenye M4C nk hazina ukweli wowote, kwa kadri nijuavyo chama kinapanga kila kitu na si watu wanajipeleka kama unakwenda sokoni, safari zote za Zitto zinajulikana CDM na zinakwenda kwa mujibu wa nafasi zake.
Kama madai hayo yanaukweli mbona makao makuu au viongozi hawasemi chochote juu ya hilo

Wale wote mnaotumiwa katika hili mnatakiwa kufahamu kitu kimoja muhimu sana, mnajenga na kuyapa uhai na nguvu madai ya wapinzani wa CDM kuwa wadini na wakanda
Kwamba wale wote wanaoonekana wanakuwa tishio dhidi ya wa watu wa ukanda fulani basi wanapikiwa zengwe kama inavyotoke kwa mh Zitto Zuberi Kabwe

Just my opinion
 
Nice kick Mkuu. Thread iko njema tatizo wapokeaji wengine, sijui wana mushkeli wapi. Big up! Naunga hoja

Nakushukuru mkuu wangu kwa kuunga mkono hoja.Wanaopinga hii hoja ni vibaraka wa magamba walioko hapa Jamvini ambao haiwahusu.Lakini nashukuru wanachadema makini wameshagundua hilo na tayari limeshachukuliwa kama pendekezo ambalo litaangaliwa katika uchaguzi mkuu ujao ndani ya chama.
 
mkuu huyu demu alitumwa na wenzake kule fcbk so usipate shida kwani pia ukweli utabaki pale pale John Heche ni jembe wala huwezi kumlinganisha na yuel mzee kijana wa UVCCM Martin shigela.

Asante mkuu kumpa somo huyo Gamba.
 
Naamini kabisa kuna watu wanatumiwa humu ndani kwa makusudi mazima ya kuhakikisha Zitto Kabwe anakuwa mchafu daima ndani ya CDM, na haiishii hapa tu hata baadhi ya magazeti yanafanya juhudi hizo pia

Na Zitto hachafuliwa kwa bahati mbaya, HAPANA..... huu ni mpango mkakati baada ya kuonekana Zitto amekuwa tishio kwa ''wenye'' CDM yao.Maana kwa kadiri mambo yanvyozidi kwenda ndivyo ninavyo shindwa kutofautisha sakata la marehemu Wangwe na CDM kwa ujumla na hili analoandamwa nalo Zitto Kabwe

Toka Zitto amechukua na kugombea uenyekiti wa CDM na sakata zima hadi kuja kuzimwa basi amejitengenezea maadui wakubwa ndani ya CDM, na kama una akili timamu basi pasi na shaka utaelewa ni kundi la uongozi wa juu ndilo hasa lenye uhasama na zitto kabwe

Hivi sasa Zitto anatengenezewa picha ya msaliti, mroho wa madaraka nk nk kwasababu tu naamini ndani ya CDM ni wachache sana wanaoweza kusimama na kusimamia hoja zao ndani ya chama na si matakwa ya "wenye chama" wanavyotaka

Na hii ndio kila chaguzi ndani ya chama wele wenye kufuata matakwa ya wenye chama huwa tofauti na wenye fikra huru za kidemorasia ndani ya chama(akina zitto) na kufanya makundi ya Mbowe(wenye chama) na Zitto(fikra huru)

Tuhuma zote anazotuhumiwa Zitto humu kama kula bata na mukulu na kutooneka kwenye M4C nk hazina ukweli wowote, kwa kadri nijuavyo chama kinapanga kila kitu na si watu wanajipeleka kama unakwenda sokoni, safari zote za Zitto zinajulikana CDM na zinakwenda kwa mujibu wa nafasi zake.
Kama madai hayo yanaukweli mbona makao makuu au viongozi hawasemi chochote juu ya hilo

Wale wote mnaotumiwa katika hili mnatakiwa kufahamu kitu kimoja muhimu sana, mnajenga na kuyapa uhai na nguvu madai ya wapinzani wa CDM kuwa wadini na wakanda
Kwamba wale wote wanaoonekana wanakuwa tishio dhidi ya wa watu wa ukanda fulani basi wanapikiwa zengwe kama inavyotoke kwa mh Zitto Zuberi Kabwe

Just my opinion

Mkuu umeongea ukweli ngoja wenye chama chao waje kukujibu.
 
mkuu yule demu alitoa tamko kumpinga Heche alikuwa ametumwa na wale wahanga wa BAVICHA ambao huwa wanashinda fcbk kupiga majungu na soga alafu eti nao ni makamanda, lakini bado haibadilishi uwezo wa Heche kuwa jamaa ni jembe na anakubalika sana na anafaa zaidi japokuwa baadhi ya vijana uchwara wa CDM hawapendi kusikia hilo but still Heche ni dhahabu ndani ya CDM na hata kama akigomeba urais wa dunia sisi vijana wenzake tutampa kula.

Big up John Heche

Juzi kwenye kikao cha Bavicha huyu dada alikuwa mpweke mpaka nilimuonea huruma.Kila kijana alimtenga kama mchawi vile...
 
Nadhani Zitto moja ya mambo yaliomponza Zitto ni kutaka kitumbuwa cha wenye chama uenyekiti wa CDM, ever since anachafuliwa tu na kuundiwa mizengwe haina kichwa wala miguu.........................soon atapata ya Wangwe
 
Kwa hiyo Chadema amumtaki Zitto Kabwe, kama majukumu ya kibunge mbona Mbowe anayo amjamtafutia wa kumrithi.
 
Nadhani Zitto moja ya mambo yaliomponza Zitto ni kutaka kitumbuwa cha wenye chama uenyekiti wa CDM, ever since anachafuliwa tu na kuundiwa mizengwe haina kichwa wala miguu.........................soon atapata ya Wangwe

Mkuu kuwa Gamba usiwe kipofu.Hoja hii inatoa ushauri kuboresha chama wala haimpigi vita Zitto.Zitto na Heche wote wana umuhimu ndani ya chama isipokuwa wabadilishiwe majukumu kwa afya ya chama.Hilo linakuuma nini?
 
Juzi kwenye kikao cha Bavicha huyu dada alikuwa mpweke mpaka nilimuonea huruma.Kila kijana alimtenga kama mchawi vile...

yes! Hapo safi kwani na huo ndio mwanzo na still atazidi kujuta na siasa zake za fcbk na marafiki uchwara amabao eti nao wanajiita ni makanda.
 
Back
Top Bottom