Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Alitoa tamko akilani kauli ya Shibuda kugombea urais, yule Mwanamke wa BAWACHA akapingana naye akamwambia Heche usipende kuropoka hovyo.

mkuu yule demu alitoa tamko kumpinga Heche alikuwa ametumwa na wale wahanga wa BAVICHA ambao huwa wanashinda fcbk kupiga majungu na soga alafu eti nao ni makamanda, lakini bado haibadilishi uwezo wa Heche kuwa jamaa ni jembe na anakubalika sana na anafaa zaidi japokuwa baadhi ya vijana uchwara wa CDM hawapendi kusikia hilo but still Heche ni dhahabu ndani ya CDM na hata kama akigomeba urais wa dunia sisi vijana wenzake tutampa kula.

Big up John Heche
 
Mtu mwenye akili timamu kweli anamfananisha Zitto ya huyo kilaza? Slaa mwenyewe hajafika kiwango cha Zitto.
Sasa naona ngongo imekukolea, mwombe
Huyu mama muuza gongo akutandikia hata ngozi upumuzike!
 
Juliana Shoza ni Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA aliyemtoa nishai Heche, kama utaki unaacha.

mkuu huyu demu alitumwa na wenzake kule fcbk so usipate shida kwani pia ukweli utabaki pale pale John Heche ni jembe wala huwezi kumlinganisha na yuel mzee kijana wa UVCCM Martin shigela.
 
vijakazi vya mbowe hapa utavijua tu. aibu kwenu.

heche ana uwezo gani wa kumfananisha na zitto.

sasa unataka umfananishe Heche na yule playerboy alitolewa kimasomaso na Heche kwenye uchaguzi wa BAVICHA?

Au unataka umfananishe Heche na yule mzee kijana wa UVCCM martin shigela?

Shame upon you.
 
Nice kick Mkuu. Thread iko njema tatizo wapokeaji wengine, sijui wana mushkeli wapi. Big up! Naunga hoja
 
Haya mapendekezo ya nani amrithi nani kwavile anaonekana mitaani na mwingine yuko ofisini nadhani hayajengi

Viwekwe vigezo wazi kwa wanachama wote, juu ya majukumu na KPI za manaibu wakuu hata kama katiba inaelekeza maana sidhani kama wanazo KPI
 
Why Zito all the time? CDM mtapotea kukalia kumjadili mtu, achana nae, ingieni mstuni mjipange kuongo Nchi nxt season!.....
 
Mimi nashangaa hawa magamba, wanachadema wao wanapendekeza ni nani anaweza kuwa naibu, wao kwa umoja wao akina Rejeo. Ritz na ...basi yamekuwa yao. kwa sasa chadema ina hazina ya viongozi. Huyo ni Heche tu, wapo wengi ambao hawajapewa nafasi, subiri time will u, songa mbele J. heche mpaka kieleweke.
 
Kwa uwezo mkubwa ulioonyeshwa na Mpambanaji John Heche, mi binafsi naungana mkono kabisa na mtoa Hoja, lakini napendekeza CDM wafike mbali zaidi huyu jamaa ktk uchaguzi ujao ndani ya chama apewe nguvu zaidi kwa kuchaguliwa kuwa M/kiti wa Chama Taifa ili aweze kukijenga chama kuelekea 2015 na hatimaye apitishwe na chama kuwakilisha nafasi ya Urais kupitia CHADEMA kwani anakubalika na watu wa kada zote, hivyo Mbowe, Slaa na Zitto wamwachie huyu kijana mpambanaji.
Hahaaaa...UENYEKETI!!!!!!hapana TOO much:wink:
 
Mi nahisi nafasi aliyobaki nayo inamtosha tu,Na niSIZE yake! Refer to Julius MALEMA.... Haendi kutangaza cheo..ANATANGAZA, CDM.....:A S shade:
 
why zito all the time? Cdm mtapotea kukalia kumjadili mtu, achana nae, ingieni mstuni mjipange kuongo nchi nxt season!.....

kwanini asafirie nyota ya wenzake,wenzake wanapigwa na wengine wanapoteza maisha yeye anakula bata na kiranja mkuu hii haiwezekani lazima tuseme
 
Zitto ana tabia ya dharau na majivuno. Kama vipi apigwe chini tu.

Thank u, 100%, ile kashfa ya wizara ya nishati na madini afanyie investigation kwanza, Zitto si kiongozi at all....
Wasomi watakubia haya nisemayo.... short sighted, unpredictable & ana hongeka, period...
 
Zitto,chagulan,mchange hawana wazee ndan ya cdm pia ht walipotoka hapajulikan watakijengaje chama??
 
Back
Top Bottom