Tanzania bado tuna safari ndefu sana.Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba?
Anyway wajuvi najua mtakuja kujimwambafy hapa kuhusu nani mmiliki wa internet lakini mkae mkijua swala la mtandao kuyumba mchi nzima kama taifa tumetia aibu.
Mkuu hili suala lipo nje ya uwezo wetu na halihusiani na Mkonga.Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba?
Anyway wajuvi najua mtakuja kujimwambafy hapa kuhusu nani mmiliki wa internet lakini mkae mkijua swala la mtandao kuyumba mchi nzima kama taifa tumetia aibu.
Waya wa kwanza kutandazwa ulitokea nchi gani? Nikimaanisha huko ulikotoka ndio kitovu na kumbe hata sisi tungeweza kuwa kitovu halafu wengine wafuatie you get my point?Mkuu hili suala lipo nje ya uwezo wetu na halihusiani na Mkonga.
Mkonga wa Taifa ni Fiber networks ambazo zina run humu humu nchini kwetu, hii picha ya Mkonga wa Taifa
View attachment 2989641
Hizo waya ndio zinasaidia watoa huduma za Internet kwa minara yao kuconect nazo na kuweza kusupply internet nchi nzima.
Ili kuconect na Dunia sasa hautumiki Mkonga bali waya za Baharini, na kila mtoa huduma anatumia waya wale anaotaka yeye mwenyewe. Hizi waya za Baharini nazo.
View attachment 2989642
Mwanzo nilifikiri ni waya mmoja imekatwa na Isp wote wanatumia huo waya ila ni waya nyingi zimekatwa na Meli, waya Wa Seacom, Essay etc km 45 toka South Africa,
Kampuni ilionusurika ni Tigo sababu ina waya ambao unapitia Madagascar, ila sababu nchi ni kubwa, nchi nzima kupitia Madagascar ndio maana internet ikawa slow sana.
Source cloudflare
East African Internet connectivity again impacted by submarine cable cuts
On Sunday, May 12, issues with the EASSy and Seacom submarine cables again disrupted connectivity to East Africa, impacting a number of countries previously affected by a set of cable cuts that occurred nearly three months earlierblog.cloudflare.com
kwa nnavyojua hizo fiber hazina source wala destination, ni mfumo wa point-to-point (tuma/pokea)Waya wa kwanza kutandazwa ulitokea nchi gani? Nikimaanisha huko ulikotoka ndio kitovu na kumbe hata sisi tungeweza kuwa kitovu halafu wengine wafuatie you get my point?
Hatutoweza kuwa kitovu , content unazo zi access kwenye internet zote zinaanzia huko, sicial medias, systems,IOTs na kadhalika.Waya wa kwanza kutandazwa ulitokea nchi gani? Nikimaanisha huko ulikotoka ndio kitovu na kumbe hata sisi tungeweza kuwa kitovu halafu wengine wafuatie you get my point?
Ngoja yanga waje wakusikie m napitatuHuwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba?
Anyway wajuvi najua mtakuja kujimwambafy hapa kuhusu nani mmiliki wa internet lakini mkae mkijua swala la mtandao kuyumba mchi nzima kama taifa tumetia aibu.
Huwezi kuwa na internet yako. Mabara yote yanungwa Kwa cables zinazopita chini ya bahariHuwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba?
Anyway wajuvi najua mtakuja kujimwambafy hapa kuhusu nani mmiliki wa internet lakini mkae mkijua swala la mtandao kuyumba mchi nzima kama taifa tumetia aibu.
Pia hakutakuwa na International calls/voicekwa nnavyojua hizo fiber hazina source wala destination, ni mfumo wa point-to-point (tuma/pokea)
ukisema kuwe na internet yenu wenyewe nchini, kwa mantiki hii servers zilizo nje ya nchi hutaweza zi-access
Hiyo ni lugha ya kiswahili tu lakini ina jina lake halisiHuwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba?
Anyway wajuvi najua mtakuja kujimwambafy hapa kuhusu nani mmiliki wa internet lakini mkae mkijua swala la mtandao kuyumba mchi nzima kama taifa tumetia aibu.
Internet haina PA kuanzia wala PA kuishia, ni muunganiko tu wa Computer Dunia nzima, hakuna kitovu, ukiingia Tiktok, Aliexpress ama Alibaba basi waya wa kwenda China utahusika, ukiingia Amazon basi waya wa kwenda Usa unahusika etc.Waya wa kwanza kutandazwa ulitokea nchi gani? Nikimaanisha huko ulikotoka ndio kitovu na kumbe hata sisi tungeweza kuwa kitovu halafu wengine wafuatie you get my point?