Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

Tataizo Waziri aliyepo pale hajiamini nduo wale aliosema Mpango kwamba Katibu anamdharau Waziri
 
Eeenh Heeee!

Pole sana kwa kugusa panapouma.
Hicho kilugha hapo umemwekea nani, kama sio kuthibitisha u-'comical' ninaouandika hapa kumhusu huyo Abbas?

Kama ni "kusakama" unakokuandika hapa, mimi ninamsakama mtu anayeyasema ninayoyasikia akiyasema; bila kujali aliyemtuma akayaseme.

Kwa hiyo, kama unaona kwamba ninamsakama 'comical' Abbas, inakuwa hivyo kwa anayoyawasilisha na anavyoyawasilisha. Hicho ndio kipimo ninachokitumia.

Huyo jamaa yako ni 'comedian' hasa, in the true sense of the word!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…