Pemba: Migomo Imeanza Kushamiri CUF dhidi ya CCM

Nyinyi mnaokoment humu mnajifanya hamlijui lile bango la ccm pale kisonge znz .kila siku ya mungu linaandika habari za utengano na kuwatusi wapemba na kwaita machotara warudi kwao .hata baada ya muafaka na kuwa na serekali ya pamoja hayo mabango yaliendelea kubagua na hakuna kiongozi yeyote wa ccm aliyekemea .mbajifanya hamjui kwamba ccm ndio chanzo mnalaumu cuf tu .niafazali huko znz wazungu wajerumani walijengeana ukuta ili wabaguane kama huna vyombo vya dola kuna njia mbadala za kuinyesha hisia zako
 
Kwa hiyo mtindo huu ndo utaisaidia CUF kuingia madarakani?

CUF hakuna namna itaingia tu madarakani kama sio leo ni kesho ni jambo ambalo haliwezi kuzuilika kwa sababu kila siku zikienda umati wa wananchi wa Zanzibar wanaongezeka kuikataa ccm tena kwa hasira zaidi. Labda ifike wakati wafute uchaguzi kuchagua viongozi kibaki chama kimoja tu.

Migomo ni mizuri sana mana hawa ccm wa mtaani wao ndio hupiga simu kwa mkuu wa mkoa au wilaya waje na polisi wamchukue fulani na fulane akalale ndani.
 
Huko Mungu yuko chini siasa iko juu, eti nimtelekeze mzazi wangu mtoto wangu ama Dada yangu kisa siasa, hiyo siasa nilizaliwa nayo ama nimeikuta tu. Kilichofanywa na CCM huko Zanzibar ikishurikiana na tume ya uchaguzi si cha kuungwa mkono, ila hunigombanishi na ndugu zangu sababu tu mapenzi yao kisiasa ni tofauti na mimi. Alafu pembeni nadai haki nada Demokrasia nini sasa maana ya haki nini maana Demokrasia, eti alafu uneanda msikitini mara tano, huku kifua kimejaa chuki, wanaojifanya wanaijua dini ndiyo watenda dhambi wakubwa.

Migomo ni mizuri sana mana hawa ccm wa mtaani wao ndio hupiga simu kwa mkuu wa mkoa au wilaya waje na polisi wamchukue fulani na fulane akalale ndani.
 
Hongereni sana!
Mtapata maendeleo makubwa mkifanya hivyo!!
Hovyooooo!!!!!
 
huo ni ujinga na upumbavu mkubwa, nimediriki kutumia lugha hii, kwani haipendezi kwa hao ndugu, hili ni tatizo la watawaliwa kutokujua majukumu yao, kwani wao wameacha majukumu yao ss wanaingilia majukumu ya watawala, wanakomoana wao wenyewe kwa ujinga wao, lakini watawala wanakula happy kwa sababu wamewajaza ujinga, Maalim na Shen watakaa pamoja watakunywa gahawa pomoja na kuzungumza, ila nyie wajinga mnajitenga kwa upumbavu wenu.
Hujanijibu bado, ulitaka wafanyeje?
 
Wajinga hao. Wapemba wa Ilala Buguruni nendeni huko mkaungane na wasuria wa Pemba mpembuke vizuri

Mjinga ni wewe mpaka leo hujui identity yako, unaishi ndani ya nchi yako kama mtumwa, taifa lako la Tanganyika limefutwa na mkoloni mweusi mpaka leo umeshindwa kujiita mtanganyika unajificha kwenye kivuli cha JMT ambalo sio taifa lako.
 
Sasa nyie wananchi wa Pemba mkifanyiana hivi mnamkomesha nani?

Wanasiasa wanaendelea na maisha yao Maalim akiumwa Shein anamjulia hali wewe babu yako akifariki auendi kumzika kisa ni mwana ccm.
Hyo ndo demokrasia ssm waliyoitaka..Waache wananchi wafanye wanachoona kinawafaa mana hawana utawala
 
Kwa hiyo mtindo huu ndo utaisaidia CUF kuingia madarakani?

CUF ishaingia madarakani na maalim seif ndio rais halalai wa Zanzibar, hivyo ni vionjo tu umesahau kule Zanzibar CCM wanavaa soksi usoni wanapita wakipiga watu wakijua tu hawa ni CUF, wanatia majumba ya watu moto na kuwapiga? kwanini ccm wasigomewe kwa kila kitu?? mbona bado sana tunahitaji na mengine ambayo yatawaumiza zaidi
 
huo ni ujinga na upumbavu mkubwa, nimediriki kutumia lugha hii, kwani haipendezi kwa hao ndugu, hili ni tatizo la watawaliwa kutokujua majukumu yao, kwani wao wameacha majukumu yao ss wanaingilia majukumu ya watawala, wanakomoana wao wenyewe kwa ujinga wao, lakini watawala wanakula happy kwa sababu wamewajaza ujinga, Maalim na Shen watakaa pamoja watakunywa gahawa pomoja na kuzungumza, ila nyie wajinga mnajitenga kwa upumbavu wenu.
Haisaidii kitu kwa maneno yako wenyewe washaamua wewe unawashwa na nini?
 
Nasaha Zangu kwa watu wa Zanzibar

Kwa atua hii mlio fikia inaonyesha jinsi gani anavyopenda na kujali mambo ya kisiasa kuliko mambo ya Dini ivi nyinyi ndugu zetu nnalifaham lengo la kuumbwa kwenu

Je nmeumbwa kwa ajili ya kushabikia vyama na Kuwapenda viongozi wa vyama kuliko hata ndugu zenu wa nyumba Moja Subhannallah hivi ndivyo Dini yetu inavyotufunza

Mtume swallallahu alayh wassallam anasema " Hakika Nimekuachieni vitu viwili hamtapotea kamwe pindi mtakapo Shikamana navyo kitabh cha Allah (Quran) na Sunna
J e hayo mnayofanyiana sasa hivi ndio kushikanamana na Quran na Sunna uko?

Allah Subhannaw wataala anasema " Shikamaneni katika kamba ya Allah wala msi farakane "

Nini Maana ya kamba ya Allah?

Amepokea Imam Muslim kutoka kwa Zeyd Ibn Arqam yakuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema

" Hakika Mimi nmekuachieni vizito viwili kimoja wapo ni kamba ya Allah nayo ni Kitabu chake Yule atakayekifuata atakuwa yupo katika uongofu na atakayekiacha atakuwa yupo katika upotevu "

Amepokea Imam Maliki katika Muwatwa kutoka kwa Abee Urayra ya kuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema " Hakika ya Allah anaridhia kwenu nyinyi mambo matatu, Mumuabudu yeye pasi na kumshirikisha na kitu chochote ,KUSHIKAMANA Katika KAMBA ya ALLAH wala msifarakane na kuwapa Nasaha wale ambao Allah amewatawalisha jambo lenu

Sasa ikuwa Dini inawataka muwekitu kimoja alafu nyinyi kwa kufuata matamanio ya nafsi zenu Hamtaki

Je iko wapi Utii wa Allah na Mtume wake?

Je uyo kiongozi ambaye nyinyi mlitaka awe Rais na Allah na Mtume wake nani mnampenda na kumtii?

Ivi huyo angekuwa Rais.yupo ikulu Je angekuwa anajua kwamba kojani kuna famiia ya mzee mfaume Leo ajala nmepekee chakula?

Kwanini mnaipa Dini mgongo na kupinduka mipaka ktk Kuwapenda viongozi wenu Subhanallah!!!

Achaneni na mambo hayo mcheni mola wenu hili ndilo mlilo umbiwa kwalo hao viongozi watazikwa makaburi yao na nyinyi makaburi yenu? Min mtaenda kumjibu Mola Wenu?

Itaendelea In Sha Allah...
 
Umesema kweli kabisa: Ila tunaomba fatwa ya watu walioandaliwa na ccm wanaovaa masoksi usoni kushambulia watu kwa silaha za moto, mapanga na visu kuwahujumu watu kisa tu ni wanacuf, lakini pia watu kubambikiziwa kesi na kulazwa ndani siku kadhaa na mateso mbali mbali, waislamu wanaofanywa matendo haya wanatakiwa kufanya nini?
 
huo ni ujinga na upumbavu mkubwa, nimediriki kutumia lugha hii, kwani haipendezi kwa hao ndugu, hili ni tatizo la watawaliwa kutokujua majukumu yao, kwani wao wameacha majukumu yao ss wanaingilia majukumu ya watawala, wanakomoana wao wenyewe kwa ujinga wao, lakini watawala wanakula happy kwa sababu wamewajaza ujinga, Maalim na Shen watakaa pamoja watakunywa gahawa pomoja na kuzungumza, ila nyie wajinga mnajitenga kwa upumbavu wenu.
Ujinga na upumbavu ni pale unapong'ang'ania madaraka ilihali wananchi hawataki. Ujinga na upumbavu ni pale unapotumia vyombo vya dola kuingia madarakani kwa nguvu. Wananchi watafikisha ujumbe kwa kupinga utawala uliopo kwa njia tofauti na mojawapo ni hiyo ya pemba. Mimi nawapongeza wapemba kwa maamuzi yao
 
Aliyewapanga kufanya mambo kama haya basi ana akili dongo ya kufikiri..kwani hapo huo ni mtafaruku wa Nchi au FAMILIES?
ngoja mtu afiwe na mwanae au mke wake ndo watajua makubaliano yao ya kijingaa
 
Nasaha Zangu kwa watu wa Zanzibar

Kwa atua hii mlio fikia inaonyesha jinsi gani anavyopenda na kujali mambo ya kisiasa kuliko mambo ya Dini ivi nyinyi ndugu zetu nnalifaham lengo la kuumbwa kwenu

Je nmeumbwa kwa ajili ya kushabikia vyama na Kuwapenda viongozi wa vyama kuliko hata ndugu zenu wa nyumba Moja Subhannallah hivi ndivyo Dini yetu inavyotufunza

Mtume swallallahu alayh wassallam anasema " Hakika Nimekuachieni vitu viwili hamtapotea kamwe pindi mtakapo Shikamana navyo kitabh cha Allah (Quran) na Sunna
J e hayo mnayofanyiana sasa hivi ndio kushikanamana na Quran na Sunna uko?

Allah Subhannaw wataala anasema " Shikamaneni katika kamba ya Allah wala msi farakane "

Nini Maana ya kamba ya Allah?

Amepokea Imam Muslim kutoka kwa Zeyd Ibn Arqam yakuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema

" Hakika Mimi nmekuachieni vizito viwili kimoja wapo ni kamba ya Allah nayo ni Kitabu chake Yule atakayekifuata atakuwa yupo katika uongofu na atakayekiacha atakuwa yupo katika upotevu "

Amepokea Imam Maliki katika Muwatwa kutoka kwa Abee Urayra ya kuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema " Hakika ya Allah anaridhia kwenu nyinyi mambo matatu, Mumuabudu yeye pasi na kumshirikisha na kitu chochote ,KUSHIKAMANA Katika KAMBA ya ALLAH wala msifarakane na kuwapa Nasaha wale ambao Allah amewatawalisha jambo lenu

Sasa ikuwa Dini inawataka muwekitu kimoja alafu nyinyi kwa kufuata matamanio ya nafsi zenu Hamtaki

Je iko wapi Utii wa Allah na Mtume wake?

Je uyo kiongozi ambaye nyinyi mlitaka awe Rais na Allah na Mtume wake nani mnampenda na kumtii?

Ivi huyo angekuwa Rais.yupo ikulu Je angekuwa anajua kwamba kojani kuna famiia ya mzee mfaume Leo ajala nmepekee chakula?

Kwanini mnaipa Dini mgongo na kupinduka mipaka ktk Kuwapenda viongozi wenu Subhanallah!!!

Achaneni na mambo hayo mcheni mola wenu hili ndilo mlilo umbiwa kwalo hao viongozi watazikwa makaburi yao na nyinyi makaburi yenu? Min mtaenda kumjibu Mola Wenu?

Itaendelea In Sha Allah...
Hizo nasaha wapekekee ssm sio wananchi..Waliosababisha hayo yote ni wao na kwa mziki huo sijui watafanya kazi na nani
 
Wazawa wa Mabwana wawaombee msamaha babu zao juu ya dhuluma, uonevu, unyanyasaji wa babu wa watwana. Na waahidi suala hilo halitajitokeza tena toka sasa mpaka vizazi vijavyo tena waahidi kwa maandishi. Pia wangeze kuwa haitakaa itokee Sultan kuja kuikalia Zanzibar.

Kutoka hapo sasa ndiyo hao wazawa wa watwana waridhie kushirikiana nao bila kinyongo na wasiwasi. Hii nadhani yaweza kurejesha maelewano. Makaburu na waafrika kusini walitumia njia hii.Nawaza tu baada ya kuhisi yawezekana chanzo cha haya kiko huku. Yawezekana nikawa nimekosea kabisa kutoa pendekezo hili.
 
vipi umepata bwana mpemba?
huo ni ujinga na upumbavu mkubwa, nimediriki kutumia lugha hii, kwani haipendezi kwa hao ndugu, hili ni tatizo la watawaliwa kutokujua majukumu yao, kwani wao wameacha majukumu yao ss wanaingilia majukumu ya watawala, wanakomoana wao wenyewe kwa ujinga wao, lakini watawala wanakula happy kwa sababu wamewajaza ujinga, Maalim na Shen watakaa pamoja watakunywa gahawa pomoja na kuzungumza, ila nyie wajinga mnajitenga kwa upumbavu wenu.

mbona povu linakutoka? Lete mtazamo wako na fikira zako nini kifanyike kwa ccm waliopo Zanzibar kupiga simu kwa wakuu wa mikoa na kuwataka waje na polisi kuwachukua wana cuf kulazwa ndani na kubambikiziwa kesi za uongo? vipi kuhusu vijana walioandaliwa ambao wanavaa soksi usoni kupita na kupiga watu na kutia nyumba za watu moto wananchi wanakosa sehemu za kukaa ambao wanastiriwa ni baadhi ya ndugu zao?
 
Wakati mwingine siasa ni kama ujinga fulani hivi. Maana unacha kusaidiana na ndugu yako kisa tu hayupo upande wa chama unachoshabikia wewe.
 
Back
Top Bottom