Pemba: Migomo Imeanza Kushamiri CUF dhidi ya CCM

Pemba: Migomo Imeanza Kushamiri CUF dhidi ya CCM

Haisaidii kitu kwa maneno yako wenyewe washaamua wewe unawashwa na nini?
Kwa kuwa wameaumua kifanya ujinga huo ni juu yao, ila hatutaki kusikia malalamiko yoyote yale kwani wamejitosheleza kwa kila jambo, lakini pia wamwambie maalim asifanye mazungumzo na Shein.
 
Wajinga sana nyinyi wapemba siasa ndio zinawafanya mtengane hivyo na kuvunja udugu wa damu
 
Kuna watu wengine wanafurahia hali hii
 
View attachment 334432

#‎Pemba‬.
Wanachama wa CUF Wilaya ya, Majimbo yote matano (Wete, Kojani, Mgogoni, Mtambwe na Gando) leo wameafikiana ktk kikao chao kuendelea na mgomo rasmi juu ya CCM kwa mambo yote ya kijamii ikiwemo Arusi,Misiba,Biashara, Ugonjwa na hata magari na meli na kuazimana vitu/vfaa vya majumbani nk. (CUF kwa CUF na CCM kwa CCM tu mpaka kieleweke)
"Mikutano ya Matawi kwa sheiha zote za Wilaya ya Wete itafanyika kwa uhamasishaji zaidi, katika hatua hio bila kujali uzawa/udugu, din...i, kabila au tunapo toka.

Tumekubaliana kama aliefiliwa ni CUF mmoja au wawili au idadi yeyote basi kuungana nae ni kutokwenda kwenye msiba huo uliowakuta wana CCM waliomo ndani ya familia yake.
HAYO TUME KUBALIANA"
Alisema mmoja wa wafuasi hao wa CUF.
Mapemba mabaguzi sana
 
ndugu yako anaeunga mkono ndugu zako wateswe na kuwawa na serikali ya BARA aka mkoloni mweusi,huyo si ndugu yako ni shetani...
bado tunaikumbuka january chungu 27 2001..
 
UBAGUZI WA RANGI, ITIKIKADI SIO SERA NZURI, ITAKICHAFUA CHAMA NA CCM WATAPATA CHA KUONGEA, HII SERA HAIKUBALIKI POPOTE DINIAN
Ndio ishatokea sasa na kukubalika pemba
 
Hapo ndo mtajua JK alikuwa MTU makini. Ile honorary PhD yake aliyopata ni haki yake
 
Yaani kachomoka mzazi wako huendi kisa siasa?waliangalie jambo hili kwa mtizamo mwingine.
Waliishi hivi huko nyuma na ndo maana CCM ikakubali kwa shingo upande kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Sasa SUK imekufa/imeuawa kibudu na wameamua kurudi kule kule..
 
Nchi ya mapinduzi haikabidhiwi kwa karatasi. R.I.P bibi uliyoyasema kwenye vikao vya siri vya Chama
 
Uongo na uzushi mtupu, we mtuma mada kama huna kazi katafute jembe ukalime acha kuzuwa
 
Nilijua yatatokea haya..Na hapo ni mwanzo tu mengi yanakuja. CCM wana wakati mgumu kutekeleza shughuli zao Zanzibar
Wakati gani mgumu!? Watanyooka tu hawa CUF! Hawana kazi watawezaje kujitenga na wenye PESA zao!? Hamjui mtu akiwa na PESA anaweza kukodi hata wakuja kuzika!? Ujinga ujinga tu
 
Wakati gani mgumu!? Watanyooka tu hawa CUF! Hawana kazi watawezaje kujitenga na wenye PESA zao!? Hamjui mtu akiwa na PESA anaweza kukodi hata wakuja kuzika!? Ujinga ujinga tu
Na wenye pesa zao ni wapemba...hapo sasa
 
watafanya huko huko kwenye wajinga lakini Unguja hawathubutu na wajaribu waone kilichomtoa kanga manyoya wakati yeey anaruka juu ya anga haaaaaa
 
View attachment 334432

#‎Pemba‬.
Wanachama wa CUF Wilaya ya, Majimbo yote matano (Wete, Kojani, Mgogoni, Mtambwe na Gando) leo wameafikiana ktk kikao chao kuendelea na mgomo rasmi juu ya CCM kwa mambo yote ya kijamii ikiwemo Arusi,Misiba,Biashara, Ugonjwa na hata magari na meli na kuazimana vitu/vfaa vya majumbani nk. (CUF kwa CUF na CCM kwa CCM tu mpaka kieleweke)
"Mikutano ya Matawi kwa sheiha zote za Wilaya ya Wete itafanyika kwa uhamasishaji zaidi, katika hatua hio bila kujali uzawa/udugu, din...i, kabila au tunapo toka.

Tumekubaliana kama aliefiliwa ni CUF mmoja au wawili au idadi yeyote basi kuungana nae ni kutokwenda kwenye msiba huo uliowakuta wana CCM waliomo ndani ya familia yake.
HAYO TUME KUBALIANA"
Alisema mmoja wa wafuasi hao wa CUF.
huo ni muendelezo wa ujinga wa wana cuf. tuliona wakipakaza vinyesi nyumba za wana ccm na kuweka vinyesi kwenye visima vya maji. hao wanaodhani kuna mgogoro zanzibar wajue kuna watu wagomvi tu kwa asili yao.
 
Sasa nyie wananchi wa Pemba mkifanyiana hivi mnamkomesha nani?

Wanasiasa wanaendelea na maisha yao Maalim akiumwa Shein anamjulia hali wewe babu yako akifariki auendi kumzika kisa ni mwana ccm.
Sasa watu wakishindwa kuamka usinginzini utawaamsha vp amnanamna
 
Hiyo ni ngonjera tu! Wakati ccm waliokuwa wanafanya ufedhuli hamkuwepo?haya hizi hazikuwepo?au munamshirikisha Allah pale mambo yenu ya kifedhuli yanapoenda mrama?wakati wazanzibari walipotandikwa risasi kwa mamia ni Allah aliye wajaalia ccm kibali hicho cha kuua raia wake ili iendelee kupinga maamuzi Halali ya wazanzibar? Hivi unajua kuwa unafiki pia ni dhambi?
Nasaha Zangu kwa watu wa Zanzibar

Kwa atua hii mlio fikia inaonyesha jinsi gani anavyopenda na kujali mambo ya kisiasa kuliko mambo ya Dini ivi nyinyi ndugu zetu nnalifaham lengo la kuumbwa kwenu

Je nmeumbwa kwa ajili ya kushabikia vyama na Kuwapenda viongozi wa vyama kuliko hata ndugu zenu wa nyumba Moja Subhannallah hivi ndivyo Dini yetu inavyotufunza

Mtume swallallahu alayh wassallam anasema " Hakika Nimekuachieni vitu viwili hamtapotea kamwe pindi mtakapo Shikamana navyo kitabh cha Allah (Quran) na Sunna
J e hayo mnayofanyiana sasa hivi ndio kushikanamana na Quran na Sunna uko?

Allah Subhannaw wataala anasema " Shikamaneni katika kamba ya Allah wala msi farakane "

Nini Maana ya kamba ya Allah?

Amepokea Imam Muslim kutoka kwa Zeyd Ibn Arqam yakuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema

" Hakika Mimi nmekuachieni vizito viwili kimoja wapo ni kamba ya Allah nayo ni Kitabu chake Yule atakayekifuata atakuwa yupo katika uongofu na atakayekiacha atakuwa yupo katika upotevu "

Amepokea Imam Maliki katika Muwatwa kutoka kwa Abee Urayra ya kuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema " Hakika ya Allah anaridhia kwenu nyinyi mambo matatu, Mumuabudu yeye pasi na kumshirikisha na kitu chochote ,KUSHIKAMANA Katika KAMBA ya ALLAH wala msifarakane na kuwapa Nasaha wale ambao Allah amewatawalisha jambo lenu

Sasa ikuwa Dini inawataka muwekitu kimoja alafu nyinyi kwa kufuata matamanio ya nafsi zenu Hamtaki

Je iko wapi Utii wa Allah na Mtume wake?

Je uyo kiongozi ambaye nyinyi mlitaka awe Rais na Allah na Mtume wake nani mnampenda na kumtii?

Ivi huyo angekuwa Rais.yupo ikulu Je angekuwa anajua kwamba kojani kuna famiia ya mzee mfaume Leo ajala nmepekee chakula?

Kwanini mnaipa Dini mgongo na kupinduka mipaka ktk Kuwapenda viongozi wenu Subhanallah!!!

Achaneni na mambo hayo mcheni mola wenu hili ndilo mlilo umbiwa kwalo hao viongozi watazikwa makaburi yao na nyinyi makaburi yenu? Min mtaenda kumjibu Mola Wenu?

Itaendelea In Sha Allah...
 
Back
Top Bottom