Pemba: Migomo Imeanza Kushamiri CUF dhidi ya CCM

Pemba: Migomo Imeanza Kushamiri CUF dhidi ya CCM

Hiyo ni ngonjera tu! Wakati ccm waliokuwa wanafanya ufedhuli hamkuwepo?haya hizi hazikuwepo?au munamshirikisha Allah pale mambo yenu ya kifedhuli yanapoenda mrama?wakati wazanzibari walipotandikwa risasi kwa mamia ni Allah aliye wajaalia ccm kibali hicho cha kuua raia wake ili iendelee kupinga maamuzi Halali ya wazanzibar? Hivi unajua kuwa unafiki pia ni dhambi?
Acha ujinga huo, hakuna mtu anaweza kupiga watu risasi bila sababu. Na ss wameanza tena chokochoko itafikia mahala watakwenda kuvamia vituo vya polisi, baada ya hapo unategemea nn? jibu lake wataanza kulaumu kuwa polisi wanapiga watu risasi, ebu tujaribu kuwa wakweli.
 
CCM walichofanya Sio kizuri,nadhani this is justified.Kama huna nguvu za kijeshi you use all means available to you.Haki haiombwi inadaiwa.
Sasa nyie wananchi wa Pemba mkifanyiana hivi mnamkomesha nani?

Wanasiasa wanaendelea na maisha yao Maalim akiumwa Shein anamjulia hali wewe babu yako akifariki auendi kumzika kisa ni mwana ccm.
 
Wakati gani mgumu!? Watanyooka tu hawa CUF! Hawana kazi watawezaje kujitenga na wenye PESA zao!? Hamjui mtu akiwa na PESA anaweza kukodi hata wakuja kuzika!? Ujinga ujinga tu

Mkuu hii post utakua umeandika ukiwa chooni!!
Embu soma logics za watu waliotulia kwanza.
 
Nyinyi mnaokoment humu mnajifanya hamlijui lile bango la ccm pale kisonge znz .kila siku ya mungu linaandika habari za utengano na kuwatusi wapemba na kwaita machotara warudi kwao .hata baada ya muafaka na kuwa na serekali ya pamoja hayo mabango yaliendelea kubagua na hakuna kiongozi yeyote wa ccm aliyekemea .mbajifanya hamjui kwamba ccm ndio chanzo mnalaumu cuf tu .niafazali huko znz wazungu wajerumani walijengeana ukuta ili wabaguane kama huna vyombo vya dola kuna njia mbadala za kuinyesha hisia zako
Hilo ndiyo tatizo lenu mnacomment kitu ambacho hamkijui. kwani machotara wengi ni wapemba? hivi unajua ya kuwa unguja kuna machotara wengi sana kuliko Pemba? na kitu chengine una comment kuhusu Germany wakati issue yake na Zanzibar ni tofauti kabisa. hebu jaribu kuembelea Zanzibar( unguja na Pemba) upate clue ya demographic make up na siyo kusoma kupitia JF...
 
UBAGUZI WA RANGI, ITIKIKADI SIO SERA NZURI, ITAKICHAFUA CHAMA NA CCM WATAPATA CHA KUONGEA, HII SERA HAIKUBALIKI POPOTE DINIAN
umekazia na wino. vibaraka utawajua HATA WAJIFICHE VIPI. Maalimu mmemjima haki yake kwa sababu ipi kama sio hiyo ulioikazia wino.
 
siasa ivunje udugu!!!! wapemba mmevurugwa tena acheni kuvuta bangi choooni taften sehemu yenye hewa safi ndo mvute....dini yenu mmeisahau inasemaje au Ndio mibange
 
UBAGUZI WA RANGI, ITIKIKADI SIO SERA NZURI, ITAKICHAFUA CHAMA NA CCM WATAPATA CHA KUONGEA, HII SERA HAIKUBALIKI POPOTE DINIAN
sikiliza wewe usiyeelewa balaa likitokea sehemu haliangalii wewe ni nan.
Na hilo halijaamuliwa na chama hilo balaa wameakua wananchi wenyewe.
 
Zanzibar wanaenda mbele hatua kumi kisiasa wanarudi nyuma hatua kumi na moja!
 
Yaani apa kila topic utaona wanajadiliwa wapemba au wazanzibari wapemba wazanzibari wapemba wazanzibari, ivi nyie wabongo mnajadiliwa na nani eti ee? Au nyie muko perfect? Huwa mnapenda sana kujadili wazanzibari, ebu waacheni waznz tafuteni yenu sasa mjadili waacheni wapemba wafanye wanavyotaka hayawahusu
 
Back
Top Bottom