Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,791
Hizo Azamu Angels sijawahi kuzitumia hivi zinapatikana kwenye ma super market?
Noo zinapatikana Maduka ya kuuzia Ice cream za Azam
Wee tafuta tafuta tu utazipata.
Hizo Azamu Angels sijawahi kuzitumia hivi zinapatikana kwenye ma super market?
Hc ni best pad kwa bongo hii kuliko hizo nyingine sema ule ubaridi wake wengi una washinda. Mana inatibu hadi minor infections.
Baada ya kuona hizi HC zimesifiwa sana nikaona nijaribu... Ila huo ubaridi wake hapana kwa kweli unadhani nimeweka pipi kifua huku chini!
Noo zinapatikana Maduka ya kuuzia Ice cream za Azam
Wee tafuta tafuta tu utazipata.
Ngoja nitazitafta hizo ni zi test.
Ok mpenzi
Mi naziona nzuri aisee hasa ule ubaridi hadi maumivu ya tumbo huisha kabisa. Tofauti na hizo nyingine. Ila watu wametofautiana.
Shkamoo HQ ziko poa mno
ndogo mnoo yani kwa bleeding nyingi utakuwa unachafuka kila dakika binafsi napenda always utra ni kiboko yangu yaichubui hata robo unakuwa comfortable
Baada ya kuona hizi HC zimesifiwa sana nikaona nijaribu... Ila huo ubaridi wake hapana kwa kweli unadhani nimeweka pipi kifua huku chini!
Basi hizo ndio nzuri zinapooza mbunye ikakua cool sana,, ntakua nawanunulia michuchu yangu ikifika period, naanzza na mmoja jumatatu, hizo zitakua ni special ac za mbunye zimetengenezwa kwa ajili ya kkucool mbunye, ikitolewa humo ikakua cool sana na tamu ya kutafuna.
Diva ni HC (HUMAN CHERISH) sio hq
Ngoja niitafute hii
Manaake hizi nyingine zinanizingua