Pedi za wanawake wakati wa hedhi

Pedi za wanawake wakati wa hedhi

Pia mkumbushane kuzitupa mbali baada ya kuzitumia...maana wengine wanatupa mpaka vibarazani........na inakuwa kero kwa watu wengine....
 
Hello chicas/wadada,

Naomba mnisaidie hii information tafadhali.

1. Kuna aina ngapi za pedi zinauzwa na kutumikaTanzania, mimi naifahamu brand ya 'always' tu.

2. Ukinitajia hizo pedi naomba uniambie zinatengenezwa wapi, Tanzania ama nje ya nchi? na kampuni gani?

3. Pia bei ya hizo pedi kwa kila paketi moja ni Tshs. ngapi?

Kama kuna wakaka wanafahamu pia, msisite kuchangia hii mada.

Nawatakia wikend murua

Belinda

Usihofu kuja na mzigo wako hapa Bongo hadi ukija na contena....
 
Hello chicas/wadada,

Naomba mnisaidie hii information tafadhali.

1. Kuna aina ngapi za pedi zinauzwa na kutumikaTanzania, mimi naifahamu brand ya 'always' tu.

2. Ukinitajia hizo pedi naomba uniambie zinatengenezwa wapi, Tanzania ama nje ya nchi? na kampuni gani?

3. Pia bei ya hizo pedi kwa kila paketi moja ni Tshs. ngapi?

Kama kuna wakaka wanafahamu pia, msisite kuchangia hii mada.

Nawatakia wikend murua

Belinda

JF Doctor is more or less your place puta!!!
 
Asanteni wakuu wote kwa kuchangia hii mada. Kwa mlioniuliza maswali ninaomba niwajibu kwa kina siku za usoni.
 
Duhhhh pole sana mami siyo ww peke yako kuna rafiki yangu aliacha kabisa kuzitumia hizi hc pads coz aliambiwa kuwa ule ubaridi unakuwa unavuta kizazi!!!! Lkn kwangu mie am really ok kabisa sijui coz kila mtu na mtazamo wake!!
😂Nop bhana mwambie aulize how ubaridi unavuta kizazi
 
Back
Top Bottom