anna mwakaringa
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 351
- 75
mnhh!!mimi ule ubaridi nauogopa sana,nahisi ni kama imechanganywa na Mint ya kwenye Colgate hivi,nilitumia siku moja tu mpaka leo naiogopa.
Duhhhh pole sana mami siyo ww peke yako kuna rafiki yangu aliacha kabisa kuzitumia hizi hc pads coz aliambiwa kuwa ule ubaridi unakuwa unavuta kizazi!!!! Lkn kwangu mie am really ok kabisa sijui coz kila mtu na mtazamo wake!!