Pedi za wanawake wakati wa hedhi

Pedi za wanawake wakati wa hedhi

Ni nzuri sana aiseehh unasikia harufu ya aerobic tu and not ile harufu kudadeki!!

Hizi ni kiboko aisee hafu zina ubarid flani ka ac flan hivi amazing. Hafu zinapunguza hadi maumivu ya tumbo unnecessary muwasho. Hafu unakua free sana.
 
Hizi ni kiboko aisee hafu zina ubarid flani ka ac flan hivi amazing. Hafu zinapunguza hadi maumivu ya tumbo unnecessary muwasho. Hafu unakua free sana.

Kabisa yaani unakuwa free haina kujistukia mara kwa mara nikivaa hc huwa najiamini saaaaaannnaa tuuuu!!!!
 
Kuna mtu kamuuliza swali hili hivyo akaona ni vizuri aliweke hapa ili kupata ushauri wa kina toka kwa wengine.

Mimi naomba kitu kimoja tu,DHUMUNI la kuuliza hivi tafadhali nisaidie mwanamama mwenzio
 
Hizi ni kiboko aisee hafu zina ubarid flani ka ac flan hivi amazing. Hafu zinapunguza hadi maumivu ya tumbo unnecessary muwasho. Hafu unakua free sana.

Hahahaaaaa!!! Hivi hazina madhara kweli, maana tusiwe tunafurahia tu ule ubaridi na kaharufu kazuri kumbe ni tatizo
 
Hahahaaaaa!!! Hivi hazina madhara kweli, maana tusiwe tunafurahia tu ule ubaridi na kaharufu kazuri kumbe ni tatizo

Kila kitu kina madhara ila naona hizi zinaunafuu wake tofauti na zile nyingine. Mana zinaruhusu ule ubaridi na kupunguza joto kwahyo hata fungus inakua ngumu. Mi naona ni best tofauti na nyingine.
 
Kila kitu kina madhara ila naona hizi zinaunafuu wake tofauti na zile nyingine. Mana zinaruhusu ule ubaridi na kupunguza joto kwahyo hata fungus inakua ngumu. Mi naona ni best tofauti na nyingine.

Yeah kwakweli ni the best kati ya nilizowahi kutumia
 
zipo zinazofuliwa na kutumiwa upya.....kwa hisani ya WATU WA MAREKANI....(on going research project to support children)
 
Hello chicas/wadada,

Naomba mnisaidie hii information tafadhali.

1. Kuna aina ngapi za pedi zinauzwa na kutumikaTanzania, mimi naifahamu brand ya 'always' tu.

2. Ukinitajia hizo pedi naomba uniambie zinatengenezwa wapi, Tanzania ama nje ya nchi? na kampuni gani?

3. Pia bei ya hizo pedi kwa kila paketi moja ni Tshs. ngapi?

Kama kuna wakaka wanafahamu pia, msisite kuchangia hii mada.

Nawatakia wikend murua

Belinda

Hivi ukawa wameshamaliza kugawana majimbo?
 
Kabisa yaani unakuwa free haina kujistukia mara kwa mara nikivaa hc huwa najiamini saaaaaannnaa tuuuu!!!!

mnhh!!mimi ule ubaridi nauogopa sana,nahisi ni kama imechanganywa na Mint ya kwenye Colgate hivi,nilitumia siku moja tu mpaka leo naiogopa.
 
Daaaa! nimegudua humu JF kuna wanawake wahache sana au hampendani. Mwenzenu Belinda Jacob kauliza swali la muhimu sana tangu jana saa 9.59 alasiri lakini mpaka muda huu kuna wanawake wachaheche sana ie 4 tu ndiyo waliomjibu/msaidia,Why? Lala1 and company uko wapi?

siyo kwamba hatupendani. Tatizo maelezo hayajitoshelezi, lakini kikubwa zaidi ni kuwa wengi wetu humu nikiwemo mimi tulishafikia ukomo wa hedhi (menopause) siku nyingi kwa hiyo si rahisi kujua aina za pedi. Mie najua pamba na hiyo hiyo always anayoijua.
 
Back
Top Bottom