Pedi za wanawake wakati wa hedhi

Pedi za wanawake wakati wa hedhi

Msitumie pedi dada zangu zinaua kizazi, ukitaka kuamin imwagie maji pale katikati ,ikijaa iache kama dakika 2 utakuta ni barafu, ndio maana hamuish kuumwa tumbo na baadae kuwa matasa, tumien pamba ,pedi zina madhara meng, mpenzi wangu nimempiga marufuku, kila muda wa hedhi ilikuwa lazima apate shida hadi kizazi,


umesema kweli kabisaaaa,ndio maana sasa magonjwa ya uzazi hayaishii,haya mapedi yanatuua vizazi
 
chonde chonde wadada achanen na pedi, mnaua vizazi, shaur yenu, kila siku mara tumbo,mara kitovu kinavuta, n.k MZUNGU aliwaletea vidonge akaona mmebumburuka, kawakamata kwenye pedi
 
Mmh nitajaribu hizo za hc ila maelezo ya humu mbona mvurugano? Wengine wanasema nzuri, wengine zinavuta, sijawahi kunitumia kwa kweli, nikija bongo, nabeba na pedi zangu
 
Mmh nitajaribu hizo za hc ila maelezo ya humu mbona mvurugano? Wengine wanasema nzuri, wengine zinavuta, sijawahi kunitumia kwa kweli, nikija bongo, nabeba na pedi zangu

Hc ni best pad kwa bongo hii kuliko hizo nyingine sema ule ubaridi wake wengi una washinda. Mana inatibu hadi minor infections.
 
Duu
Zipo nyingi.

But kwa sasa my favourite ni Hc au Hq. Inakotengenezwa sijui..sijachunguza. Inauzwa elfu tatu kubwa ndogo 2500, naipenda as haisababishi muwasho.

Ila ndogo sn, kwa wenyr heavy bleeding ni tabu
 
Mi naziona nzuri aisee hasa ule ubaridi hadi maumivu ya tumbo huisha kabisa. Tofauti na hizo nyingine. Ila watu wametofautiana.

Lakini pia ni laini sana hata hazichubui, kimsingi ni pads nzuri sana. Zile always siwezi kuvaa hata kwa nusu saa kwani zinanichubua sana. Wanaosema zina madhara mhhhh mi naona tujitahidi sana kubadili baada ya muda mfupi, hata ukiwa kazini.
 
Back
Top Bottom