Nashukuru kwa kulitambua hilo..hizi zinatuepusha na matatizo mengi sana kiafya maana ni natural kabisa ..hakina kemikali yoyote iliyotumika katika kuzitengenezaWanawake shida sana kuwaelewa!
Zile nyingine ambazo sio za kufua ukiwakuta wanavyolalamika kama zinawaletea matatizo!
Sasa mmeletewa hizo za kufua nazo tatizo khaaaa!
Hivi huwa mnataka nini?
Santee sana DadaMimi wakati nasoma sec.mama hakuwa na uwezo wa kuninunulia Pedi kila mwezi nimeishia kutumia vitambaa na kufua na kuanika.sikuwa Mdada wa mjini. Mambo ya kufua nimeyapitia. Usijali muuzaji utapata wateja
Unazifua na sabuni?Hazihitaji maji mengi hata. Maji kiasi cha kawaida tu. Na zinatakata vizuri sana, maana ni nyepesi.
NdioUnazifua na sabuni?
Kawida ya wanaume wa jf.Hii maada nilifikiri wachangiaji wakubwa watakuwa akina mama but naona akina baba wako mbele sasa sijui tafsiri yake

Yes. Tatizo kufua ila ni nzuri.Kiafya ni salama sana
Kila packet ina mfuko unaobana kabisa wa kuhifadhia .Swali langu ni kwamba ukibadilisha utahifadhi wapi mpaka muda wa kurudi nyumbani kwa wale wanaenda ofisini,shule na kwenye biashara???
Au unafunga unarudisha kwenye mkoba(mmmmh cpati picha unafungua mkoba kwenye daladala utoe nauli hy harufu itakavyosambaa na joto la Dar.
Pili tusidanganyane eti kufua maji kidogo tu yanatumika ....chupi yenyewe tu kwa wanao jua kufua vizur unaweza maliza robo ndo maana chupi lazma ufue kwenye beseni au ndo co kwenye kopo la kuogea sasa ndo uje ufue midam ya cku nzima kwa maji kidogo?????
Alafu kwenye kuanika sasa maana kunika chupi nje ckuhiz co issue kama ilivyokuwa zamani kwani ckuhiz watu wanajua kufua chupi zikataka au wengine wanavaa pantiliner so chupi haifubai kabisaaa sasa hy pedi unaanzaje kuanika nje kila mtu ajue uko period????
So baada ya kuhifadhi kwenye mfuko wake naweka ped yenye damu kwenye pochi uwiiiii....samahani dadangu co kwamba nabeza biashara yako but kila nikijaribu kuvuta picha hainingiii kufua damu tena damu zimekaa masaa kadhaa..Kila packet ina mfuko unaobana kabisa wa kuhifadhia .![]()
Jamani mm kama ni ushamba acha niwe mshamba tu,sasa hizo za kudumbukiza k haitotanuka kweli? maana ikijaa bleed inaumuka inakuwa kubwaa, sasa kila mwez ukichomeka kwa cku 5 unaweka hy kitu hauwezi kupata mtera kweli???
So baada ya kuhifadhi kwenye mfuko wake naweka ped yenye damu kwenye pochi uwiiiii....samahani dadangu co kwamba nabeza biashara yako but kila nikijaribu kuvuta picha hainingiii kufua damu tena damu zimekaa masaa kadhaa..
Hata mimi nimewazaaaaa hayo ulowaza nikaishia tu kughairi.Swali langu ni kwamba ukibadilisha utahifadhi wapi mpaka muda wa kurudi nyumbani kwa wale wanaenda ofisini,shule na kwenye biashara???
Au unafunga unarudisha kwenye mkoba(mmmmh cpati picha unafungua mkoba kwenye daladala utoe nauli hy harufu itakavyosambaa na joto la Dar.
Pili tusidanganyane eti kufua maji kidogo tu yanatumika ....chupi yenyewe tu kwa wanao jua kufua vizur unaweza maliza robo ndo maana chupi lazma ufue kwenye beseni au ndo co kwenye kopo la kuogea sasa ndo uje ufue midam ya cku nzima kwa maji kidogo?????
Alafu kwenye kuanika sasa maana kunika chupi nje ckuhiz co issue kama ilivyokuwa zamani kwani ckuhiz watu wanajua kufua chupi zikataka au wengine wanavaa pantiliner so chupi haifubai kabisaaa sasa hy pedi unaanzaje kuanika nje kila mtu ajue uko period????
Acha uoga.hii me siwezi kaka acha tu hii fashion inipite