Pedi za kufua

Pedi za kufua

wadada wanao tumia hizi za kudumbukiza ukiwapa hizo si hawatajua ni za kazi gani?
landscape-1438632777-gettyimages-182870400.jpg
Hizi ni nzuri sana
 
ni idea nzuri hasa kwa wanaoishi vijijini wana maji mengi na muda mjini utaanika wapi uswahili na maji ya kununua
 
mmh, ile midamu inavyotia kinyaa, hilo pedi la kutupa tu ukilitoa hutaki hata kuliangali, ndo ije swala la kufua, means ushike ile midamu tena kwa siku 5, Big No kwa kweli. Mbaya zaidi ina maana ukiwa kazini au shule au kwenye biashara means ukibadilisha (mana kubadilisha pedi ni lazma sio hiari) ulifunge kwenye mfuko, ukifika nyumbani una kazi ya kufua pedi 2 au 3 khaaa, naweza shindwa kula siku zote 5
 
Jamani mm kama ni ushamba acha niwe mshamba tu,sasa hizo za kudumbukiza k haitotanuka kweli? maana ikijaa bleed inaumuka inakuwa kubwaa, sasa kila mwez ukichomeka kwa cku 5 unaweka hy kitu hauwezi kupata mtera kweli???
Hizi si nzuri kabisaa. Sikushauri utumie wala kujaribisha...
 
mmh, ile midamu inavyotia kinyaa, hilo pedi la kutupa tu ukilitoa hutaki hata kuliangali, ndo ije swala la kufua, means ushike ile midamu tena kwa siku 5, Big No kwa kweli. Mbaya zaidi ina maana ukiwa kazini au shule au kwenye biashara means ukibadilisha (mana kubadilisha pedi ni lazma sio hiari) ulifunge kwenye mfuko, ukifika nyumbani una kazi ya kufua pedi 2 au 3 khaaa, naweza shindwa kula siku zote 5
ni mtihani kwa kweli .adhabu tosha .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom