Pedi za kufua

Pedi za kufua

Kama nitakutana nazo sitazifua. Nachoma moto

Sasa si bora utumie za kawaida tu. Hivi kwanza hazitelezi? Maana sidhani kama zina gundi, unaweza kuta unaharibu siku hivi hivi!!!
 
Sasa si bora utumie za kawaida tu. Hivi kwanza hazitelezi? Maana sidhani kama zina gundi, unaweza kuta unaharibu siku hivi hivi!!!
zina kifungo unabana
 
Oooh kumbe!! Hebu tueleze zaidi....
Tampon sio,nzuri kwa sababu. Hedhi, Uchafu unaotoka kwa mfumo wa damu. Unatoka ndani kwenda nje,ukishaisokomeza tampon yako Huo uchafu unakuwa huko ndani tu,so possibility ya kuwa na funguz na other infection ni Kubwa mno
 
Mmh wadada humu kujifanya mnaona kinyaa. Mtadhani mkinya hamjinawishi. Jee mtaweza kuuguza? Mfano uwe na mama au ndugu yako wa karibu (siombei) awe na ugonjwa ambao umfanyie kila kitu(kuogesha, kumnawisha akipata haja kubwa au ikibidi kumbadilisha pedi) kama huna uwezo kabisa trust me kinyaa unaweka pembeni na you will always find a way ya kuanika au kufua maana wapo watu hawana uwezo wa pedi za kila mwezi.mimi nilishapitia huko ingawa ki ukweli haikuwa rahisi sec.sikuwa hata na boyfriend wa kunipa hata hela life ilikuwa so tough.
 
Kuna Uzi humu wengi walikuwa wanalalamika kama zile sijui HQ zinawawasha Mara sijui zinafanyeje kwenye papuchi!
Ngoja niutafute ule Uzi nikiupata nakuwekea hapa
kwahiyo unashauri nini???
 
Watu tushaacha hata kufuli za kufua.

Dah! Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Tampon sio,nzuri kwa sababu. Hedhi, Uchafu unaotoka kwa mfumo wa damu. Unatoka ndani kwenda nje,ukishaisokomeza tampon yako Huo uchafu unakuwa huko ndani tu,so possibility ya kuwa na funguz na other infection ni Kubwa mno
We unaongelea zile za kutumbukiza nadhani, sio hizi za kufua?!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom