Pedi za kufua

Pedi za kufua

Hii maada nilifikiri wachangiaji wakubwa watakuwa akina mama but naona akina baba wako mbele sasa sijui tafsiri yake
 
7169eb352c13f826b28cd45a31811ade.jpg
Habari wamama na wadada nauza pedi nzuri sana za kufua. Ni nzuri sana kiafya hazina kemikali kabisa, ni pedi zinazodumu kwa muda mrefu sana, unatumia mwaka mmoja na zaidi. Zipo 4 kwenye packet. Na packet moja ni Tsh 10,000/= Zinapatikana Arusha,kwengine kote tunatuma kwa Bus kwa uaminifu sana, HAKUNA UTAPELI.

Mawasiliano 0765554391.
586cd2bdf5e69513a7ed93deb872b198.jpg
cae0b3fb672d965f5be608dc2a33a635.jpg

Hygenical its not adviceable
Hivi v2 tunakubali majaribio ya kichina yanakuja kufanyika africa hata jina AFRIPAD hedhi ni uchafu
Acha zibaki PAMPERS za kufua kwa watoto
 
Ni nzuri utumie kwa emergence kama za kawaida zimeisha. Ila kutumia kila siku duh! Kufua mtihani
 
Jamii ya daraja la tatu zingewafaa sana ila huku mjini inakabiliwa na changamoto ya maji na usiri. Wataanika wapi hiyo pedi mpaka ikauke sawasawa? Ikishatumika inahifadhiwa vipi huko uswahilini ambapo hakuna mita ya mraba iliyo wazi? Vipande vyao vyepesi vya kanga "huanika" chini ya godoro. Kwa kuzingatia ukosefu wa maji na usiri wa kuanika na kutupa kuna mtu huko Kenya au Uganda alibuni pedi za kutengenezwa na mavi ya ng'ombe, kwa hiyo, ikishatumika inatupwa na taka zingine inaoza na kurudi udongoni haraka. Hata hivyo bado kuna vijiji ambavyo mazingira yanafaa hizo pedi kutumika na kuna uhitaji mkubwa sana. Kwa hiyo wanachofanya wenzio ni kutafuta ufadhili wa mashirika ambayo hununua hizo pedi na kupeleka au kutoa fedha kwa wanaharakati ambao hununua na kupeleka vijijini. Fikiria kuandika pendekezo kwa mashirika yanayojishughulisha na elimu na ustawi wa watoto wa kike.
 
7169eb352c13f826b28cd45a31811ade.jpg
Habari wamama na wadada nauza pedi nzuri sana za kufua. Ni nzuri sana kiafya hazina kemikali kabisa, ni pedi zinazodumu kwa muda mrefu sana, unatumia mwaka mmoja na zaidi. Zipo 4 kwenye packet. Na packet moja ni Tsh 10,000/= Zinapatikana Arusha,kwengine kote tunatuma kwa Bus kwa uaminifu sana, HAKUNA UTAPELI.

Mawasiliano 0765554391.
586cd2bdf5e69513a7ed93deb872b198.jpg
cae0b3fb672d965f5be608dc2a33a635.jpg
Taratibu za kuwa wakala zikoje mkuu
 
Hygenical its not adviceable
Hivi v2 tunakubali majaribio ya kichina yanakuja kufanyika africa hata jina AFRIPAD hedhi ni uchafu
Acha zibaki PAMPERS za kufua kwa watoto
Naomba nikukosoe, hizi sio za Kichina, ni made in Uganda na ndo maana zikaitwa AFRIPADS zingekuwa za wachina zingekuwa na jina la KICHINA.Na sio za majaribio.
Kiwanda kipo Uganda wanashona na kufanya packaging wenyewe.
 
Wanawake shida sana kuwaelewa!
Zile nyingine ambazo sio za kufua ukiwakuta wanavyolalamika kama zinawaletea matatizo!
Sasa mmeletewa hizo za kufua nazo tatizo khaaaa!
Hivi huwa mnataka nini?
 
kwani tulisema zina shida gani?
 
Jamii ya daraja la tatu zingewafaa sana ila huku mjini inakabiliwa na changamoto ya maji na usiri. Wataanika wapi hiyo pedi mpaka ikauke sawasawa? Ikishatumika inahifadhiwa vipi huko uswahilini ambapo hakuna mita ya mraba iliyo wazi? Vipande vyao vyepesi vya kanga "huanika" chini ya godoro. Kwa kuzingatia ukosefu wa maji na usiri wa kuanika na kutupa kuna mtu huko Kenya au Uganda alibuni pedi za kutengenezwa na mavi ya ng'ombe, kwa hiyo, ikishatumika inatupwa na taka zingine inaoza na kurudi udongoni haraka. Hata hivyo bado kuna vijiji ambavyo mazingira yanafaa hizo pedi kutumika na kuna uhitaji mkubwa sana. Kwa hiyo wanachofanya wenzio ni kutafuta ufadhili wa mashirika ambayo hununua hizo pedi na kupeleka au kutoa fedha kwa wanaharakati ambao hununua na kupeleka vijijini. Fikiria kuandika pendekezo kwa mashirika yanayojishughulisha na elimu na ustawi wa watoto wa kike.
Santee sana nitalifanyia kazi
 
Haki ya Mungu Wanawake kwa hii hali ya Period ni ya wakuhurumia Duuu... Mpaka Mwezi uishe wanakuwa wampepitia changamoto nyingi Duuuu halafu ndio life cycle yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom